@MsafiiOfficial Profile picture

🅿️ E D R I

@MsafiiOfficial

BORN OF GOD | BORN TO WIN

Similar User
HOVA KE.🌴 photo

@HOVAKE1

Fanuel Arsene photo

@ArseneFanuel

Mr. Blue photo

@Mrbluezme

dax.! photo

@sim_dax

Kirahi photo

@kirahiJS

Mchaka photo

@regubchuwa

Aj🍂 photo

@Ajayidegreat

Tumelo Ramalebo photo

@sirramalebo

PREMIER ESSAYS photo

@Premierwriter10

Benson Mkondya photo

@Barrikbenson

Rádio TV LUZ photo

@radioetvluz

Telthem Anthony photo

@AnthonyTelthem

Ishkhid photo

@Ishkhid7

muuo_🇰🇪 photo

@Hicanwefarm

Cantons Omondi photo

@Cantons_Omondi

Pinned

Wakikutangulia usiogope wala kukataa tamaa ,kwani suala la kufika kiLa mmoja atafika kwa mda na wakati uliopangwa na MUNGU


🅿️ E D R I Reposted

🔴Clinical Quiz A patient with chronic liver disease presents with ascites. Which of the following is the most likely cause of the ascites❓ A. Hypoalbuminemia B. Portal hypertension C. Renal failure D. Heart failure #medx #medtwitter

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Eti hiyo h ina maana gani ?

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Misemo Bora Zaidi Kutoka Kwenye Magari 👉 Hekima ya barabarani, ucheshi wa maisha, na ujumbe wa kugusa moyo. Unapenda misemo yenye hekima, ucheshi, na ujumbe wa kipekee? Karibu kwenye Uzi huu. 👇

Tweet Image 1
Tweet Image 2

🅿️ E D R I Reposted

Hongera @DjiguiOfficiel na Mali kwa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #afcon2025🇲🇱🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Hongera @keddomuzo @ClatousCC na Zambia kwa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #afcon2025🇿🇲🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Kijana wa miaka 20-25, anaamka na chupa ya Konyagi mkononi. Where is his/her future?


🅿️ E D R I Reposted

Diagnosis?

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

🙂

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Mahusiano kazi sana, yani mpenzi wako akiumwa inabdi na wewe ujifanye huna Raha.💔😂


🅿️ E D R I Reposted

Afrika ni sehemu bora zaidi duniani kwa kuishi na nina sababu nyingi sana za kusema hivyo. Serikali zetu zingekua responsible kama wenzetu hakuna mtu angekimbilia diaspora kutafuta maisha. Bahati mbaya hata tukiachiwa ulaya yote na America alafu wao wakaja afrika bado…


🅿️ E D R I Reposted

30+ people ondoa rice cooker nyumbani. Huo wali utakuua. Kama unataka wanga kula viazi vitamu, mihogo, ndizi and etc.


🅿️ E D R I Reposted

What is the diagnosis or Syndrome ❓

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Kwenye taasisi kubwa na klabu kubwa ya kihistoria kama @YoungAfricansSC #Wananchi , watu wengi wanatoa mchango wao katika ujenzi wa klabu hii kubwa na kongwe barani Afrika, Muhimu zaidi sisi tuliopata bahati ya kuaminiwa katika kuitumikia klabu hii tuweke juhudi zetu zote katika…

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Karibu Jangwani "German Machine" Sead Ramovic🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

"Ni heshima kubwa sana kuwa hapa kuifundisha Young Africans Sports Club, ni Klabu kubwa sana yenye wachezaji wenye vipaji vikubwa na ni fahari kuwaongoza kuendeleza mafanikio ya Klabu hii yenye mataji mengi" Sead Ramovic #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Unamfukuza kocha kwa kuwa timu imepoteza michezo miwili? Au mkataba ulieleza hivyo? Miguel Ángel Gamondi katurudisha CAFCL group stage baada ya miaka 25. Katupa makombe. Pamoja na madhaifu yake (hatuelezwi) alihitaji kuvumiliwa kidogo. Tutapata taabu, lakini sisi ni WANANCHI.

Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted
Tweet Image 1

🅿️ E D R I Reposted

Kuna siku mtaani watu wa Tanroad walikua wanavunja vibanda vilivyopo kwenye road reserve, kuna watu walikua hata hawajatoa mali zao. Niliwaomba wale mabwana wawape muda waokoe hata mali zao. Wale jamaa wakaanza kunimind walihoji mimi ni nani. Wale wanaovunjiwa vitu wakala kona 🙌


🅿️ E D R I Reposted

Kitendawiliiiiii! Kuna maneno manne hapa yametamkwa kwa sauti na yamesikika vizuri Ni keywords 1. Afande 2. Pingu 3. Nitakuua 4. Tutakupata tu Je hawa ni kina nani?

CHEKI MTU ALIVYONUSURIKA KUTEKWA ..! Tukio hili la Jaribio la utekaji limetokea katika Hotel ya Rovvenpec Resort iliyopo Kiluvya,Madukani Dar es Salaam. Jamaa aliiga mbinu zangu (Golden folk style) za kutumia nguvu na kugomea kuondoka nao hivyo kutokana na nguvu za jamaa na…

Tweet Image 2


🅿️ E D R I Reposted

🚨THIS IS SERIOUS‼️ @kiuvarsity Dar es Salaam student is scared for his life and says they are terrorized not to speak about an abduction please follow up! The abduction of a young girl a week ago was witnessed by students but they are scared to speak up! Jamani mtu…

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.