@MrRosham Profile picture

mr rosham rosham

@MrRosham

Reading & charting

Joined May 2022
Similar User
Laurent chizubo photo

@Laurentchizubo1

mtoto mdogo wa kiume katik makuziyake anaweka atention kwenye #vitu na #toys mtoto wa mdogo wa kike anaweka atention kwa #watu wakishakuwa zile #Atention wanabadilishana wakike ataweka #Atention kwenye vitu {vitu vya wanaume} wakiume ataweka #Atention kwa watu {wanawake} 😂🤣


muda mwingine tukikataa #misaada sio kwa ubaya wala sikwasababu tunajitosheleza kwa kilakitu ukweli ni kwamba tunauhitaji sana ila tu tunajiepusha na #masimango na #dharau za misaada mnayotupatia 🤍❤️‍🔥💔


usijihesabie #haki kwa kuangalia #dhambi za wengine wote ni wakosefu tofauti ni viwango2 #akilinamaarifakichwani


Usiwasaidie #ndugu kutokana na ukubwa wa matatizoyao wasaidie #ndugu kutokana na ukubwa wa kipato chako #JIPENDEKEZE UKIFILISIKA WANAKUHAMA 😂🤣


ili ujue #NGONO ZEMBE ni mbayasana na ni suala la #ROHOCHAFU angalia asilimia kubwa mwanamke yupo radhi kulala na mwanaume alie lalanae kipindi cha nyuma lakini ni vigumu kulala na #mwanaume mpya. hii ni kwasababu walivyolala mwanzo kila mmoja alifungamana na #UCHAFU wa mwenzie


usilazimishe #dini katika #familia yako. waonyeshe uzuri na utamu wa #dini katika matendoyako mwenyewe. #akili na maarifa kichwani


MAISHA YAMENIFUNZA KWAMBA KILAKITU KINA M'BADALAWAKE ISIPOKUWA #MAMA HANA M'BADALAWAKE.. eewe molawangu mtunze #MAMANGU popote alipo mjaalie kila la khery na umuepushie kila la shari daima mpaka kiama


MAISHA YAMENIFUNZA KWAMBA KILAKITU KINAM'BADALAWAKE ISIPOKUWA *MAMA* HANA M'BADALA. EEEEMOLLAH MTUNZE #MAMA NA UMPE KILA LA KHERY NA UMUEPUSHE NA KILA LA SHARI 🤍❤️🧕


wanauliza kaziyako na malipoyako ili wapime kiasi cha heshima watakayokupa


tabia na undani wa nduguzako utazijua baada ya kifo cha babayako


jaribu kutokuwa tegemezi ukiona mlango umeandikwa PUSH (sukuma) jaribu ku PULL (vuta) ili wasikuchoke


Ukipata muda wa kukaa na watotowetu usisahau kuwaambia wakati ulipojifungua nilikaa pembeniyako na nilikuhudumia kadri ya uwezowangu mpaka ulipo pona na kupata nguvu ya kufanya kazi zingine USIWALISHE MANENO YA SUMU,WAO NI SEHEMU YA MAJI YANGU NA KIVULI CHAKO ❤️🤍


ukiona ni vigumu kuthamini kile ambacho ALLAH amekubariki jaribu kutumia siku nzima na mtu ambae hana vitu ulivyonavyo ridhika na kidogo na ushukuru sana kwa icho kidogo kwani mgawaji ni MUNGU pekee zingatia sana neno MUNGU 🕋🏃


ni TABIA MBAYA SANA KUMPIJIA MTU SIMU ILI KUMWOMBA MSAADA ILIHALI HUJAONGEANAE MUDA MREFU NA NIKIBURI SANA KUMPIJIA MTU SIMU KUMJULIA HALI ILI UJE UMUOMBE MSAADA BAADAE FUNZO MPIJIE MTU SIMU NYAKATI ZOTE ZA MAISHA IKIWA ATAKUBALIANA NA WEWE KUMPIJIA SIMU akili kichwani


KUNAWATU UNATAKIWA KUWAPENDA NA_ KUNAWATU UNATAKIWA KUWAHITAJI 🤍❤️


UTAJIFUNZA MENGI KUHUSU TABIA ZA WATU SIKU UKIWA KWENYE SHIDA NA SIO KWENYE FURAHA UPATAPO TATIZO:Wapo watakao kaa na wew na wataondoka na wapo watakao kaa na wew mpaka mungu atakapo amua hatima ya maishayako HAKIKISHA UKITOKA UMEJIFUNZA KITU NA USIRUDISHE UBAYA JUU YA UBAYA 🤍


ILI UYAELEWE MAISHA INAKUPASA UTEMBELEE SEHEMU 4 1 MAKABURINI 2 MAHOSPITALINI 3 MAGEREZA 4 VITUO VYA WATOTO YATIMA 1,MAISHA si chochote tunapita2 tuache kiburi 2, AFYA ni bora kuliko chochote kwa kiumbe 3,UHURU ni bora kuliko kamba 4,Tambua thamani ya kila mmoja sote njia ni 1


wale vijana mtaanikwako ambao huwaelewagi unapopita kwenda mishemishezako,hawapo nadhifu wapo kiselasela2 hao ni wale vijana watakaochimba kaburilako, alafu washkajizako wa viyoyozi watapaki magariyao na watakaa pembeni kuepuka vumbi.. oy TUPEANE SALAMU THEN TUPITE {LIFE}


ipo siku baada ya miaka mingi kitakuja kizazi na kitasoma historia zetu na kusema hakika hawa waliishi kwa amani sana walipendana sana ila walikosa vingi kwasababu enzi zao utandawazi haukuwa kama sasa HII INAMAANISHA KWAMBA DINIANI TUNAPITA KAMA WALIVYOPITA WA KABLA YETU


TUSISAHAU HILI wakati tunajenga majumbayetu mazuri na kuyapamba kwa kilakitu, basi tusisahau na kupamba ibadazetu kwasababu MAUTI ni ya ghafla IBADA NI KAMA UNAVYOWEKA PESA ZAKO BANK MUDA WOWOTE UTAWEKA ILA HAUJUI NI LINI AU SAANGAPI UHARIBIFU UTATOKEA ILA ZIPO KWENYE USALAMA


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.