@MrElias_16 Profile picture

Elias George Kipande

@MrElias_16

Media personality📻📺📺, videographer📸🎥

Joined October 2019
Similar User
Joshua photo

@ombedu_wilson

Mwamba🇹🇿 photo

@Rusarock11

Honor photo

@muyuwilihaji

Ahmad👣 photo

@rajuQuire

quarantine_boy photo

@quarantineboy8

mchochezi wa Tweeter photo

@Taboraqueen

Nicky photo

@Kygo_Nicky

ELMAN photo

@xcix_me

Heri photo

@herimwaki1212

Chuga_Boy photo

@SantozHast86395

Jonas photo

@jonasmalanda

Big man😎 photo

@GershomMichael2

marco mbega photo

@MbegaMarco

Jitu la mtumba photo

@mohamedkachapa

_255_ Drixie♥️ photo

@Drixie94

kaka @FadhilMaulid basi hupeeendii Spida akifanya yake 🤣🤣

OH. MY. MITCHELL. #LetEmKnow



Naandika 🔥

Maalim Nash harakati hajazianza leo wala Jana Hii ni moja ya ngoma yangu kutoka kwa Nash Mc



Elias George Kipande Reposted

Bro learned something that day


kaka @George_Ambangil hivi ndugu yangu @bonifacejoseph_ kamuona huyu?

Real ones know



True

Bila ugomvi wala maneno ya chuki kuna baadhi ya wanetu wametupunguza kwenye maisha yao Na sisi bila kuuliza tumekubali na tumekaa nao mbali.Hatuwachukii kwa sababu umri unaenda na mambo yanabadilika. Nuff love and respec ✌️🙏



Elias George Kipande Reposted

Maisha ya sasa wengi tunaishi katika mfumo wa UONGO. Biblia : Wakolosai 3:9 inasema, “Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake.” Quruan : Sura ya 4- Aya ya 112 - "Lakini anaye tenda kosa au dhambi, kisha akamtwika asiye na hatia, basi…

Tweet Image 1

Elias George Kipande Reposted

Ng'winula Kingamkono: Kuna mstari mwembamba sana kati ya kuwa mbunifu na kuonekana kichaa


Sijui umeelewa @itsyokidwhizper

Ng'winula Kingamkono: Kuna mstari mwembamba sana kati ya kuwa mbunifu na kuonekana kichaa



Elias George Kipande Reposted

Kennedy Mmari: Uandishi wa habari unakufa kwa sababu watu hawapati taarifa wanazostaili. #UhuruNaUbunifu


Elias George Kipande Reposted

Last session nikiwa na marehemu #HaithamKim Wimbo tuliofanya hapa umetoka jana na tayari upo kwenye platform mbalimbali Kuusikiliza link ipo kwenye comment.


Elias George Kipande Reposted

Ili kuhakikisha msanii unayempenda ananufaika na kazi zake za sanaa, nunua album na usisambaze nyimbo kwa mtu. Album ya "A Father Figure" kutoka kwa @dizastavina inapatikana kwa Tsh.10,000/= Namba za kulipia ni: Mpesa: 0762 158871 Tigo Pesa: 0655 696811 #AffAlbum #DZSTVN

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

oii @bonifacejoseph_ yale yaleee

Kwenye Derby ya Congo DR iliyo wakutanisha AS Vita dhidi ya TP Mazembe mashabiki wa AS Vita waliondoka katikati ya mchezo baada ya mwamuzi kukataa goli lililo fungwa na timu yao baada ya mpira kuvuka mstari wa goli na kuondolewa na walinzi wa TP Mazembe. AS Vita 1-2 TP Mazembe

Tweet Image 1


kaka @Geoffrey87Lea team East umetuonaa?

TEAM EAST. 🌟 #NBAAllStar

Tweet Image 1


Elias George Kipande Reposted

Kutoka sehemu Moja kwenda nyingine ni HATUA. Hauwezi ukajikuta tu umefika pale bali hatua zako zitakufikisha. Kama unakubaliana na Mimi like hapa nishinde hili Chata kutoka Mwanza na Viunga vyake✊🏾

GIVEAWAY🎁 Jishindie zawadi ya T-shirt kutoka kwetu. Cha kufanya 1. Follow page yetu 2. Like hii post 3. Repost na sababu ya wewe kupata hii zawadi. Mwenye likes nyingi atajishindia zawadi yake ya T-shirt kutoka kwetu. Mwisho wa zoezi ni jumapili 14.01.23. #hatuamerchs

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Elias George Kipande Reposted

😂😂😂Lazima ujue kinagaubaga sio ujue juu juu tu Bofya Link 👉🏾👉🏾 youtu.be/mZQV_T1EZi4?si… ili utizime Full Episode 07 ya STORIES OF PROFESSOR #Professor #InAMarathon #eyesonthetopspot #ProducedByMe Sponsored By @treykash_fashions_


Elias George Kipande Reposted

Changamoto 3 kuu zinazowasumbua vijana. ~Rev Hananja. 🙌🏾


wewe @meckysixtus16 huyo aliyeanza ndio freshlikeuhhh au @barcitybaby

One of the Classic Hip hop Cypher in 2023 🎙



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.