@MmbandoKamili Profile picture

kamili mmbando

@MmbandoKamili

Kamili

Similar User
John Bin kasongo photo

@JohnBin18

WISE MSAFI photo

@wiseboy__msafi

Mfipa_mshamba. photo

@SNjelu

M. C.AKIM photo

@AKIM8712

FreemarketTz photo

@FreemarketTz

Liz Amy Kaindi photo

@lizkaindi

Junayd photo

@RajabuOthman3

Emmanuel Boakye Wasty photo

@boakye_wasty

Daffy Village photo

@DaffyVillage

Betram photo

@Betram14

kijambizi photo

@kijambizi2

Karanja Maguta photo

@karanjamaguta

g_mchihiya photo

@G_F_MC

sulley ibrah photo

@guzzeyn

Quwen Christie photo

@QuwenChristie

Viongozi wengi wamekuwa wakisema tumeapa kuisimamia sheria ya nchi pamoja na katiba. Bila kusahau waliomba kuongozwa na hekima na busara vyote kutoka kwa Mungu na Mungu amruhusu mtu kufanya ubaya kwa mwingine.


Kuna video inayotembea mtandaoni ikimuhusu mtoto Vicent akisema alifariki na baba, nibusara mamlaka husika zikamchukila hatua kali mwalimu aliyomrikodi hiyo video kwa kulinda haki za watoto na waopata wasiendele kupost zaidi. TUCHUKUE HATUA YA KUWALINDA WATOTO WETU.


Simba ni sawa na mwanamke aliyechukuwa mme wa mtu atajigamba mji mzima kila mtu ajue amemzidi mwenzake ujanja ila siku mume akirudi kwakwe anaanza kwenda kwa mganga wakati mwenye nae ametulia nakucheka kwani alijua ni weke atarudi


Viongozi wa siasa jitafakarini kwanza kwanini ndio mnaongoza kuwa na kauli tofauti tofauti midomoni mwenyu kama rangi za kinyonga, mwaka ule tulisema tulimsifu jirani na kusema ajae awe na viashiria vya dikteta, leo tunasema huyu ni dikteta, sasa mtasema mnataka mganga wa kienyej


Serikali ya Tanzania katika swala la milioni 50 kila kijiji tuseme hatujatoa kuliko kusema uwongo tutaukumiwa wananchi wasasa sio wale!


Nadhani dawa ya kufaulu shule za Serikali ni kuwekwa sheria ya kila kiongozi wa Umma lazima mwanae asome shule ya Serikali. Hii sheria itaonesha Uzalendo wa watawala wetu pia itafanya Serikali au watawala kuweka misingi bora ya elimu kwa shule zake.


Kumbe ukitembelea V8 ujui kama barabara ni mbovu? Hizi fedha za marudio ya uchunguzi zisingetosha hata kujenga kituo cha afya au bara ya kwa mnyamani Buguruni?


Siasa ya kumwaga damu watanzania tuikemee bila kujali itigadi zetu maana zao tunalopanda leo ndio tutakalo vuna kesho


Ungozi ni dhamana anaepewa mtu na wenzake kwahiyo tuitumie kwa hekima kubwa


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.