MarwaSina1's profile picture. mass communicator,
football analyser
I believe what I see

Marwa Sina

@MarwaSina1

mass communicator, football analyser I believe what I see

Joined May 2022
Similar User
TheGoldMafia666's profile picture. “Gamble smart, win big always”

@TheGoldMafia666

Kwa Ile card ya harusi angu niliyowapa futa Grace uweke Anna tarehe ni Ile Ile TU.


Marwa Sina Reposted

Kama tunataka Kujenga team bora hatutakiwi kulaumiana sana, wala kulaumu marefa tunatakiwa Kudeal na mapungufu yetu ili tuwe bora zaidi.


Hawa ni wateja wetu wa kudumu sasa. Tunachofanya ni kutowafunga nyingi ili waendelee kuleta timu uwanjani. Tulipowapiga 5-1, kulikuwa na tetesi wataacha kucheza na sisi. Imetulazimu tupunguze dozi.” Miguel Ángel Gamondi


Nikitenda wema waga naenda zangu sikulazimishi unikumbuke📌📌


Marwa Sina Reposted

Twitter kila Mtu -Ana hela -kwao Maisha Safi -kila mtu Chadema -kila mtu mjuaji -kila mtu amesoma -kila mtu Ana Mahusiano


Marwa Sina Reposted

Allhamdulilah, kumekucha ni vyema kufikiria kabla ya matendo, tujifunze kuelewa kwamba, kabla ya chuki kuna furaha ilikatiza hapo kati, kwa kifupi kabla ya ubaya kuna wema ulio tangulia epuka kusikiliza fitna,na pia jiepushe kua mfitinishaji,elewa hio ni dhambi kubwa kwa MUNGU GM


Marwa Sina Reposted

Mungu ametuchagua tena kuona siku hii,sote tuseme AHSANTE KWA UHAI NA AFYA TELE. Goodmorning my beautful x friends.


Marwa Sina Reposted

“Usiogope kukosea kwa maana maisha hayajaja na maelekezo.” Good morning family ❤️


Kamwe usiruhusu mke wako ndo ampe jina mtoto wako wa kiume, itakuchukua muda kunielewa Good morning everyone


Marwa Sina Reposted

Ukiogopa kusemwa vibaya na wanaokujua hakuna utakalo lijua kwa wasiokujua ✍️🤞


Marwa Sina Reposted

Before hujalala leta handle yako tukufollow hapa 👇👇


Marwa Sina Reposted

Siku nyingine tena, Mungu asante na nafasi ya Uhai. Ijumaaa mubaraka. Gm.

ZipDmpjr22's tweet image. Siku nyingine tena, Mungu asante na nafasi ya Uhai.
Ijumaaa mubaraka.
Gm.

Marwa Sina Reposted

Mungu Ni mwema ni siku nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele Good morning Familia 👋🏽

thomas_yona_'s tweet image. Mungu  Ni mwema  ni siku  nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele

 Good morning Familia 👋🏽

MUNGU ni MWEMA

Mungu Ni mwema ni siku nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele Good morning Familia 👋🏽

thomas_yona_'s tweet image. Mungu  Ni mwema  ni siku  nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele

 Good morning Familia 👋🏽


Nmepata bluetick ya bure

MarwaSina1's tweet image. Nmepata bluetick ya bure

Hakuna sehemu yenye unafiki kama sehemu ya kazi, sio kila anae kuchekea anamaanisha, kuwa makini na nini unasema nani unamwambia usimwamini yeyote kazini, kuna matabasamu fake mengi sana makazini. Kazini sio sehemu ya amani kama unavyo dhani kuna vita kubwa sana ya Kiroho


Marwa Sina Reposted

Tazama robot linavyofanya upandikizaji wa Figo.🤔


Marwa Sina Reposted

Ukiona na mke wako ameweka kichwa chake kifuani mwako alafu akakuuliza Kwa upole 'Mme wangu, kuna mwanamke mwingine kwenye maisha yako isipokuwa mimi?' Kumbuka katika wakati huu; jibu lako halimati sana, kinachomata ni mapigo yako ya moyo. Control mapigo yako ya moyo, hii…

Labella_Mafia95's tweet image. Ukiona na mke wako ameweka kichwa chake kifuani mwako alafu akakuuliza Kwa upole 'Mme wangu, kuna mwanamke mwingine kwenye maisha yako isipokuwa mimi?' 

Kumbuka katika wakati huu; jibu lako halimati sana, kinachomata ni mapigo yako ya moyo. 

Control mapigo yako ya moyo, hii…

🙏🙏

Mungu Ni mwema ni siku nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele Good morning Familia 👋🏽

thomas_yona_'s tweet image. Mungu  Ni mwema  ni siku  nyingine Tena anatupa nguvu ya kusonga mbele

 Good morning Familia 👋🏽


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.