@MangiMeli4 Profile picture

MangiMeli

@MangiMeli4

Only God Can! Father/@Man @Manchester United/ @Simba Sc/ @Real Madrid

Joined May 2020
Similar User
MWARABU WA TANGA🐐 photo

@mzee_mbuzi

dmkodabest photo

@dmkodabest

Mzee wa Jambo photo

@mihadi_nasbu

Lᴀsᴛ Bᴏʀɴ photo

@JbHasheem

The Navigator photo

@NoruDreamer

Whipraque daniel photo

@G__Chance

Justine Massai photo

@JustineMassai

Jerry's Store Tz photo

@JerryStoreTz

Sasha Wambura photo

@SashaWambura

BartonJohn photo

@JbartonMalongo

Boyka photo

@Boykaommy

Michael samwel..... ℹ photo

@michaelsamwell

MangiMeli Reposted

=>Unadaiwa na okra(FIFA) =>Unadaiwa na konkoni(FIFA) =>Unadaiwa na gamond(FIFA) =>Ulimtapeli mganga wako unadaiwa(GAMBOSHI) =>Dozi za sindano zmeisha huna pesa ya kuagiza nyingne(msd) =>Avic town mwenye nyumba anakudai kodi ya mwaka mzima haujalipa =>Ndoa ya uto na mzee pacome…

Tweet Image 1

MangiMeli Reposted

Kanisa Takatifu Katoliki la mitume limetimiza wajibu wa kitume. Amani ya bwana iwe nanyi baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) na maaskofu wote 37. Sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu. Kanisa katoliki limegoma kuwa wapambe wa serikali katika kuharibu demokrasi ya nchi yetu.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

"Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu. Kama hukubaliani namimi basi kwenu wewe ni kichaa.

Tweet Image 1

Huyu ni nani?

Tweet Image 1

MangiMeli Reposted

FATHER KITIMA AISHUKIA SERIKALI KUKATA WAGOMBEA WA UPINZANI.


MASELA sketi zimeuwa ndoto nyingi sana

CHAMPION hapo Kitaa ambaye unapambana sana kuhakikisha huyo Mwanamke anakupenda, fikiria muda unaopoteza wenzako wanafanya nini kwa ajili ya kesho yao! Amua sasa wakati unahangaika kumjazia texts na kumpigia wapo wanao wanakimbizana na michongo, hisia za mapenzi wamezizika na…

Tweet Image 1


MangiMeli Reposted

Re-tweet ujumbe wa kujiandikisha kupiga kura usambae kila mahali 🇹🇿


Mambo ya Walawi 19:28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.


Hawa City mbona hata nyama robo haifungwi haraka hivyo 🤣🤣🤣 Backbencher


🖐🖐🖐

Tweet Image 1

MangiMeli Reposted

Dada katuuza au ni upuuzi tu wa South Africa kuruhusu goli akiwa nyumbani..?! 👀 Mnaotaka Correct Score ya mechi za kesho tafadhali Retweet hapa nitawatumia DM. 👉Pia weka On Notification

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. ~1 Mambo ya Nyakati 16:34 IKAWE DOMINIKA NJEMA KWAKO


MSITUTISHE, Kubababake!!!

Tweet Image 1

Mimi siku zote, nitaendelea kuamini MaProf wengi ni viazi mfano ni @kitilam

Kubeba kuku nako ni tunu? Comrade Vipi tena??



Vijana njooni mpate madini

Kabla hujafanya maamuzi ya kumuoa huyo binti na kumfanya mama mtu, mama mjengo atakayekuzalia na kuwalea watoto wako….waza kwanza haya:- -At 45-50ages umepata gonjwa sugu mfano stroke/Ngwengwe/Figo/Cancer Etc. Je huyo binti anaweza simama na wewe mpaka mwisho wa uhai wako…



Waje watuambie, wamefanya nini? @ummymwalimu @LuhagaM @mwigulunchemba1


MangiMeli Reposted

Happy FATHER'S Day to all DADDY out there, Just IMAGINE watoto wako wamekaa na wenzao afu ww unapita unackia wanasema "that's is our Daddy"🔥🔥 RT za kutosha iwafikie RESPONSIBLE FARTHER popote walipo Duniani🔥🔥

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Sasa X ikifungwa hizi taarifa tutapataje?

JELA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KUBAKA NA KULAWITI Juni 10, 2024 Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kongwa Mh. Sara Mwalilino amemhukumu Bwana. Ramadhani Miraji, miaka 40, mkulima, mkazi wa mji mdogo wa Kibaigwa kifungo cha miaka 30 na kifungo cha maisha Jela kwa kosa la

Tweet Image 1


Hukukosea kuoa bali ulikosea kuoa mtu asiye sahihi kwako.

Moja ya kitu nimewahi kosea ni kuoa.



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.