Mamujee Products Ltd
@MamujeeLtdMamujee Products Limited opened its doors in the year 1998 in Tanga City, Tanzania. The company is manufacturing cosmetics for beauty. #SisiNiMamujee
Similar User
@NewTimesTZ
@KennedyMmari
@mushi_mzee
@Abbymexahnk
@PatricOleSosopi
@RahmaMwita
@acb_tanzania
@TanzaniaYaMama
@jwise017
@R00DGERS
@Siledius
@NajjatOmar
@Qailunu
@sonyjacky_
@KamigakikuMbise
OUD Luxury lotion inapatikana katika ujazo tofauti hadi ml 400. Wasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 ujipatie yako sasa! #SisiNiMamujee
Shampoo yetu ya pakiti ina ujazo wa kutosha kwa muosho mmoja na hupatikana kwa bei bomba. Kwa mahitaji ya kila siku, bidhaa hii ni pendekezo bora. #SisiNiMamujee
Ni jukumu letu kuzilinda afya zetu kwa kuhakikisha usafi wa maeneo tunayoyagusa mara kwa mara iwe majumbani au maofisini. Bidhaa yetu ya Septol Surface Sanitizer ni maalumu kwa kukulinda dhidi ya vijidudu hatari visivyoonekana. #SisiNiMamujee
Zipe nywele zako matunzo yakustahili na mafuta yetu mapya ya Shea & Cocoa Butter yenye virutubisho vya cocoa kwa afya ya nywele na ukuaji endelevu. Kujipatia bidhaa hii na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Je umeshajaribu Oud Luxury Petroleum Jelly yetu? Hii bidhaa sio yakukosa!!! Jipatie sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 . #SisiNiMamujee
Unaweza tumia hii gliserini yenyewe au ukachanganya na mafuta au losheni yako kwa mn’gao mzuri na marashi ya OUD siku nzima. #SisiNiMamujee
Ipe Ngozi yako afya na losheni yetu ya pure cocoa kutoka familia ya bidhaa za Young & Only. #SisiNiMamujee
Je, unataka kujua wapi unaweza pata bidhaa zetu au jinsi ya kuwa wakala wetu? Wasiliana nasi kwa urahisi kabisa kupitia Whatsapp +255 746 348 242 #SisiniMamujee
Matunzo yako ya ngozi huenda sambamba na bidhaa utumiazo. Gliserini yetu mpya zina manukato murua na ni mahususi kwa ngozi nyororo yenye muonekano wa kuvutia. 🔥Kujipatia bidhaa hizi na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Mafuta ya Young & Only Champion ni maalum kwa mwanaume anaeitunza ngozi yake. Jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Mvuto wa nywele upo katika matunzo. Kirutubisho kilichomo kwenye Mafuta yetu ya nywele ya Msusi Murua kinachochoea unyevunyevu hakitaruhusu nywele zako kuwa kavu na kudhoofu. #SisiNiMamujee
Ndio, mafuta yetu ya Young & Only Anti dandruff ni kiboko ya miwasho jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Matunzo ya nywele huwa na changamoto hususani linapokuja tatizo la nywele kukatika. Ili kuzuia kukatika kwa nywele, hakikisha unachana nywele zako taratibuna kwa nywele ngumu basi ziloweshe na kupaka mafuta kabla ya kuzichana. #SisiNiMamujee
Losheni yetu ya Oud Luxury, siri ya uzuri, ni mafuta yenye manukato murua ya Oud ni mahususi kwa ngozi nyororo yenye muonekano wa kuvutia. Kujipatia bidhaa hii na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Mafuta ya Young & Only Champion ni maalum kwa mwanaume anaeitunza ngozi yake. Jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Tumekuletea bidhaa zenye kiwango cha kuaminika kwa matunzo ya nywele zako. Jipatie shampoo zetu pamoja na jeli ambazo ni mahususi kwa matunzo ya nywele kuanzia kuosha hadi kuchana. #SisiNiMamujee
Jilinde na uwalinde uwapendao iwe nyumbani au ofisini kwa kusafisha mazingira yako na sanitaiza yetu ya Septol. #SisiniMamujee
United States Trends
- 1. #OnlyKash 29,9 B posts
- 2. Jaguar 45,3 B posts
- 3. Joe Douglas 10 B posts
- 4. $MOOCAT 1.401 posts
- 5. Maxey 13,6 B posts
- 6. Embiid 21,6 B posts
- 7. Rodgers 12,5 B posts
- 8. Jets 41,4 B posts
- 9. Nancy Mace 59,1 B posts
- 10. Woody 14,8 B posts
- 11. #HMGxCODsweeps N/A
- 12. #HowToTrainYourDragon 15,7 B posts
- 13. Cenk 10,6 B posts
- 14. Howard Lutnick 14,9 B posts
- 15. Toothless 14,9 B posts
- 16. #ysltrial 5.859 posts
- 17. Zach Wilson 1.568 posts
- 18. Sarah McBride 53,8 B posts
- 19. Saleh 18,9 B posts
- 20. Rove 5.543 posts
Who to follow
-
NewTimesTanzania
@NewTimesTZ -
Kenny Mmari Snr.
@KennedyMmari -
Mzee Mushi
@mushi_mzee -
∆bby Mêxæhnk Msangi
@Abbymexahnk -
Patrick Ole Sosopi
@PatricOleSosopi -
Rahuuuum
@RahmaMwita -
Akiba Commercial Bank PLC
@acb_tanzania -
Tanzania Ya Samia
@TanzaniaYaMama -
NYANI MZEE
@jwise017 -
MJUKUU
@R00DGERS -
SILEDIUS SEVERINE
@Siledius -
Odo
@NajjatOmar -
D A E Y E R
@Qailunu -
SonyJack
@sonyjacky_ -
𝑩𝒂𝒃𝒂 𝑾𝒂 𝑽𝒊𝒋𝒂𝒏𝒂 🇮🇱|🇷🇺
@KamigakikuMbise
Something went wrong.
Something went wrong.