@Mahmoudyk1 Profile picture

king_Mahmoudy

@Mahmoudyk1

ACTOR, FILM MAKER, PHLEGMATIC, INTERNATIONAL MODEL,CORDINATOR, HIDDEN talent...¶¶u$|©🎤, FOUNDER/C.E.O @aminazsoncoltd1

Similar User
Giwalastborn photo

@giwalastborn

JOSEPH photo

@AkinoshoJoseph

Björn Hillside photo

@tukay85

Chukwu Raphael photo

@arabface2014

MayDan. photo

@enny4real009

WENGI WAKIJIKWAA HUSEMA MANENO YA KUSADIKIKA, LAKINI NIKUAMBIE UKWELI KAMA HUJAWAHI JIKWAA BASI HUJAWAHI NYANYUKA KUTEMBEA. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA MCHAWI NA MWANAHARAKATI, MWANASIASA NA MSANII. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

Tweet from Airtel Tanzania (@airtel_tanzania), at 11:43, 08 Jun - Hamia Airtel ufurahie kuongea na uwapendao kwa uhuru huku ukifurahia MB za kutosha kuperuzi mtandaoni ukijiunga na vifurushi vya OFA YAKO. Piga *149*99#chagua 1: OFA YAKO kisha chagua UNI OFA. #HamiaAirtelSupa4G

Tweet Image 1

Tweet from Tigo Tanzania (@Tigo_TZ), at 11:58, 08 Jun - Jibusti! Tigo Pesa inakuwezesha kukamilisha miamala usipokuwa na salio la kutosha kupitia Tigo Pesa Bustisha. Piga *150*01# Au Tumia Tigo Pesa App https://t.co/4APyqappbd twitter.com/Tigo_TZ/status…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jibusti! Tigo Pesa inakuwezesha kukamilisha miamala usipokuwa na salio la kutosha kupitia Tigo Pesa Bustisha. Piga *150*01# Au Tumia Tigo Pesa App

Tweet Image 1


HAKIWEZI KUA IMARA SIKU ZOTE KAMA TUTAKING'ARISHA KWA RANGI PEKEE YAKE BILA KUZIBA UFA WAKE. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

KAMA TUTAWAZUIA KWA AMBAYO YANAWAPA FURAHA, BASI TUHAKIKISHE TNAWAPA KITAKACHOZIBA PENGO LA MBADALA WA HUZUNI ZAO. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

KAMA TUNASHUHUDIA VIFO VINGI NA BADO HATUTHAMINI THAMANI YA UHAI, BASI NI SAWA KUACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

TAMAA ZIMEFANYA TUGOMBANE WENYEWE KWA WENYEWE....KUPATA KIONGOZI MUADILIFI KWA NCHI YETU NI NGUMU. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

Iliwauma yaani kwenda na kuvuka kwenu lazima ulipie kile kitakachokuvusha ambacho ulikinunua kwa kazi ya kukuvusha. #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

TATIZO HOJA ZETU TULIWATUMA MABUBU, , NDIYO MAANA SAUTI ZETU ZINASIKILIZWA NA VIZIWI. #futurepresidentoftanzania #MBEBAMAONOHAFIIMPAKAYATIMIE

Tweet Image 1

Siasa si pango la wanyang'aji.. .kama mkishindwa jikiteni hata kwenye kilimo..... #futurepresidentoftanzania #MBEBAMAONOHAFIIMPAKAYATIMIE

Tweet Image 1

kupokezana vijiti katika tasnia hamtaki kwa sababu ya uchu wenu,NI Bora muhamie KWENYE siasa ili wapya wapate nafasi. MUDA MWINGINE MUNGU hutumia jeshi la shetani kuleta ushindi.


Rasta na tatoo kwa nchi yetu ya Tanzania Inaonekana kama uhuni,HIVYO inaweza ikawa kikwazo kupata uongozi.

Tweet Image 1

KUONEKANA KWAKO MACHONI KWAO KILA MUDA,NDIKO KUPOTEZAKO UMUHIMU WAKO KWAO.

Tweet Image 1

UNAYECHUMIA NAYE JUANI HUYO NDIYE MSHAURI MZURI MKAAPO KIVULINI KULA.

Tweet Image 1

Kumbe kula hela za waomba kura ni kujipendekeza kwa kuwaimbia? #futurepresidentoftanzania

Tweet Image 1

Ziko sawa japo zinafundishwa kwa lugha ya kibabe

This post is unavailable.

SIPENDI" sipendi kwa sababu si upendo, Sipendi kwa sababu kila kitu hutokea kwa usababisho au chanzo, Sipendi kwa sababu mnaitia nchi yangu doa, Yai nini! Kutekana? Hata kama mnalipwa madollar(pesa) #FUTUREPRESIDENTOFTANZANIA #NYOTASIYOKIMONDO


Huwezi ishi kwa tahadhari kama hujawahi pata ajali. #FUTUREPRESIDENTOFTANZANIA #nyotasiyokimondo

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.