MWANAMAPINDUZI
@MachumuKadutuAskofu Maximillian Kadutu|Mwanasiasa na Mchambuzi wa Mambo ya Siasa|Mpenda Haki na Maendeleo
Kwa maelekezo ya Mhe @TunduALissu SASA MAPAMBANO YAMEFUNGULIWA RASMI, tutapigania #KatibaMpya, Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaondoa hawa walioonyesha dalili mapema hawana cha kufanya mwakani. Hatususii uchaguzi tutaendelea ili tuone zaidi uovu wao uliojificha"-Askofu Mwanamapinduzi
kuna uwezekano mkubwa hata @DEUSDEDITHSOKA na wale wenzie wawili walitekwa kwa style hii sema wao changamoto inakuja walikuwa ndani ya kituo cha polisi chang'ombe kulikuwa hamna msaada wa kurekodi hata kelele hazikusaidia😭😭😭
🚨KWAKO IGP WAMBURA‼️ Huu ni ushahidi tosha - utekaji unaoendelea unahusisha askari polisi wasiofuata utaratibu (rogue officers) Muda umefika usimame uhesabiwe - tujue we binafsi kama kiongozi unahusika na magenge haya ya utekaji ama huhusiki Kama huhusiki: 👉🏽Toa tamko…
"Mkoa wa Dar es salaam una mitaa 637 tulitakiwa kuwa na wagombea, wenyeviti na wajumbe 3822. Wanachama wa Chadema waliofanikiwa kuchukua fomu na kurejesha fomu 3548 sawa na asilimia 92." Mhe. Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara
#TANZANIA: JARIBIO LA KUTEKWA NYARA KWA DEOGRATIUS TARIMO Video ikimuonyesha jaribio la kutekwa nyara kwa Deogratius Tarimo, Mfanyibiashara na mkazi wa Kibaha Pwani.
Huu sio UCHAGUZI ni UCHAFUZI, huwezi kuwa uchaguzi katika mazingira yasio na HAKI wala USAWA kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Zipo fomu za wagombea wa CCM zimekosewa, wengine mpaka mhuri umeandikwa CHACHA CHA MAPINDUZI na wamepitishwa, unajiuliza, HIKI NI KITU GANI?
"Rais mwenyewe alikemee jambo la wagombea wa upinzani kuenguliwa kwenye uchaguzi, hii itasaidia kupunguza nguvu ya dhuluma kwenye Taifa. Haiwezekani chama tawala wote wapatie alafu wapinzani wote wakosee. Kwa hili, Rais akinyamaza, tutajua amewatuma"- Askofu Mwanamapinduzi
Mhe. @TunduALissu anaeleza kuwa sheria ya uchaguzi ilinyang’anya @ortamisemitz usimamizi wa uchaguzi na bunge ilitakiwa itunge sheria ili @TumeYaUchaguzi isimamie ila haikufanyika na TAMISEMI inasimamia kinyume na sheria waliyotunga More 👇🏾 youtube.com/live/g9MZBTMHK…
Tuko darasani na @TunduALissu anaeleza kuwa sheria ya uchaguzi ilinyang’anya @ortamisemitz usimamizi wa uchaguzi na bunge ilitakiwa itunge sheria ili @TumeYaUchaguzi isimamie ila haikufanyika na TAMISEMI inasimamia kinyume na sheria waliyotunga 🙄 More 👇🏾 youtube.com/live/g9MZBTMHK…
Leo saa 4 😃 Singida💥 Na tusisikie @tanpol wanasogeza pua au kutoa milio Siasa waachieni wanasiasa! Gwiji wa siasa leo anaongea 🙌🏽 Hakuna kucheka na wahuni 👊🏽 T U N D U L I S S U 🌟
"Mungu anatumia watu kuleta ufumbuzi wa mambo magumu yanapotokea katika Taifa.Naamini Mungu atamsemesha Makamu Mwenyekiti Mhe @TunduALissu kwenye Mkutano wa Leo. Macho na masikio tuyaelekeze Singida Mjini, lipo Jambo la kutuvusha kwenye Uchaguzi huu dhalimu-Askofu Mwanamapinduzi
"Hongera sana kijana wangu, Wakili Msomi @AdvMahinyila kwa ushindi nafasi ya Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma. Sina mashaka kabisa na uwezo wako, unayo NGUVU ya kumshinda yule mwovu" - Askofu Mwanamapinduzi #WajumbewaHakiWanakuja 🇹🇿
LISSU ATEMA CHECHE SINGIDA MAHAKAMANI KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI, "HAKUNA KESI HAPA": youtu.be/k5KQMEYwoYM
Wananchi wa Kijiji cha Berege wameweka kambi ofisi ya Mtendaji wa kijiji kushinikiza jina la mgombea wao @AdvMahinyila lirejeshwe Polisi wenye silaha wameenda na Difenda lakini baada ya kuona nguvu ya umma wakawa wadogo kama piriton 🔥
MAZITO YA MBARALI "KAMA HAWARUDISHI WAGOMBEA WETU UCHAGUZI HAUFANYIKI, W... youtu.be/9ukVZRDieYI?si… via @YouTube
#TANZANIA: ASKOFU MWANAMAPINDUZI AWATIA MOYO WAPINZANI WALIOENGULIWA Askofu @MachumuKadutu awatia moyo vyama vya upinzani ambavyo wagombea wao wameenguliwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwaacha wagombea wa @ccm_tanzania wakiwa hawajaenguliwa hata mmoja, awataka…
Kesi hii inatakiwa itupiliwe mbali coz Haina msingi wa kisheria
Hakuna wasiwasi wa kupata ushindi!!!
United States Trends
- 1. Tyson 478 B posts
- 2. $MAYO 13,1 B posts
- 3. #wompwomp 5.873 posts
- 4. Syracuse 15,9 B posts
- 5. Paige 6.302 posts
- 6. Pence 59,8 B posts
- 7. Kiyan 18,9 B posts
- 8. Kash 101 B posts
- 9. The FBI 257 B posts
- 10. Debbie 33,6 B posts
- 11. Iron Mike 21,2 B posts
- 12. Whoopi 109 B posts
- 13. #LetsBONK 15,1 B posts
- 14. Shu Shu 27,3 B posts
- 15. Dora 24,5 B posts
- 16. Connor Williams 1.467 posts
- 17. Ronaldo 194 B posts
- 18. Mike Rogers 20,3 B posts
- 19. Gabrielle Union 2.248 posts
- 20. #Boxing 19,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.