Similar User
@WMBwire
@MtumwaWaYesu
@firstadventist
@KennedyJulius4
@SetApart_TZ
@Sdachurc
@Bochaberii
@MutukuJb
@KABAYAGU
@JacobMahox
“Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia. ” “Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Bwana wa majeshi, Yeye ndiye Mfalme wa utukufu. ” — Zaburi 24:9,10
“Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu. ” — Yohana 6:27
Kukaza fikra katika andiko bila Roho mtakatifu,kunaongoza katika ushupavu wa sheria na unafiki,ambavyo matokeo yake ni kujilinganisha na wengine badala ya kumwangalia Bwana Yesu Kristo mwenye kuanzisha na kutimiza imani yetu. (2Korth 3:6)
“Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu. ” Yohana 8:54
“Lakini ushuhuda nilio nao mimi ni mkubwa kuliko ule wa Yohana; kwa kuwa zile kazi alizonipa Baba ili nizimalize, kazi hizo zenyewe ninazozitenda, zanishuhudia ya kwamba Baba amenituma. ” — Yohana 5:36
𝗝𝗘, 𝗔𝗠𝗥𝗜 𝟭𝟬 𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 𝗦𝗜 𝗞𝗜𝗧𝗨 𝗧𝗘𝗡𝗔⁉️ 🧵🧵 "..ikiwa huduma ya mauti, iliyoandikwa na kuchorwa katika mawe, ilikuja katika utukufu, hata Waisraeli hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake; nao ni utukufu uliokuwa ukibatilika;"
Utume ni kipaumbele chako namba ngapi?? “Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi. ” Wakolosai 3:2
Sabato njema wana na binti za Mungu ikawe heri kwenu nyoote📌
Neno moja la Mungu linafilisi sababu milioni sa watu Mungu akiagiza "Ikumbuke siku ya Sabato" Neno hilo linafilisi sababu zote zinazoweza onekana kutetea kukumbuka siku ya ufufuo na kuuweka kuwa mbadala wa Sabato
Barikiwa mno Paulo analiweka sawa pia kwa 1Timothy 1:5-11 Neema haiondoi sheria
🚨‼️JE 𝐒𝐇𝐄𝐑𝐈𝐀 𝐘𝐀 𝐃𝐇𝐀𝐌𝐁𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐍𝐈 𝐈𝐏𝐈‼️🚨 🧵🧵 Mfupi
“Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake. ” Yohana 14:23 Utii wa Neno la Mungu ndio msingi wa mahusiano yetu na yeye.
“Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. ” Mathayo 7:20
𝗨𝘂𝘇𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗜𝗻𝗱𝘂𝗹𝗴𝗲𝗻𝗰𝗲𝘀 v/s 𝘂𝘂𝘇𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝘂𝗽𝗮𝗸𝗼 Kanisa katoliki chini ya Johann Tetzel (1517) liliuza cheti cha msamaha, lilisema "Mara fedha inaposikika ikipiga kwenye sanduku la hazina, nafsi inaruka kutoka toharani kwenda mbinguni."
Math 7 ²² Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? ²³ Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Tatizo hapa litakuwa ni nini?
Mwisho wa mwaka una mambo mengi,waliofanikiwa wanasaka location za kwenda kujirusha,wanaojitafuta wanakazana ndani ya miezi miwili wafanye chochote cha maana waseme mwaka hakupita Bure.*
Tito 2¹¹ Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; ¹² nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; ¹³ tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mung,
United States Trends
- 1. $CUTO 11 B posts
- 2. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 3. $RWA 16,9 B posts
- 4. #MondayMotivation 15,9 B posts
- 5. Good Monday 44,6 B posts
- 6. Victory Monday 1.937 posts
- 7. #MondayVibes 5.886 posts
- 8. #DeFi 21,6 B posts
- 9. Kikuchi 4.040 posts
- 10. #MondayMood 2.540 posts
- 11. Saquon 109 B posts
- 12. $SAVA 2.155 posts
- 13. Kemp 3.167 posts
- 14. Happy Thanksgiving 10,5 B posts
- 15. Cutoshi 1.410 posts
- 16. Uruguay 221 B posts
- 17. Snoop 20,1 B posts
- 18. The Angels 14,3 B posts
- 19. Teedra Moses 1.110 posts
- 20. Sloth 5.342 posts
Something went wrong.
Something went wrong.