Similar User
@icon_gram
@breezhuncho
@MACHUPA_GODAFA
@KhalfanSase
Ama kweli Magufuli akizomewa sana Kagera jana👇👇. Please retweet ili wengi waione aibu hii😂😂😂
UBWABWAAA..... watu wabaya watagoma ku retweet hii 😍😍
Sababu Ya Helicopter Ya CDM Kuzuiwa
Tofauti ya chadema na ccm. Ccm wakisimama jukwaa wanaomba kura kwa wananchi. Wanatuambia watatusaidiaje . Chadema Wao ni malalamiko,kwa polis,usalama,vyombo vya habari Mwisho wanaomba mchango,halafu wanasifia nyomi
Huu uzindizi una monyi badala ya nyomi,na bado mtabaki wawili na matusi yenu
CHADEMA hata kama hamjui kusoma kiingereza lakini inawabidi mje kusoma ujumbe wenu huku. Dunia nzima sasa inawafahamu kuwa nyinyi wapinzani ni watu wa kulazimisha mambo kinyume na sheria na taratibu zilizopo.
Naipongeza Tume ya Taifa ya uchaguzi ya awamu ya Tano kwa kufanya kazi kwa umakini na kumteua @TunduALissu kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya @ChademaTz pamoja na kukiuka taratibu na kutofuata taratibu ili akatwe na kuleta machafuko. Sasa sera huna sijui utavua nguo jukwaani!
Majimbo yaliyokuwa upinzani na yanaludi CCM asubuh sana ni; 1; Kawe. 2; Arusha Mjini. 3; Kigoma Mjini. 4; Bunda Mjini. 5; Hai. 6; Mbeya Mjini. 7; Iringa Mjini. Kazi kwenu wajumbe. @hpolepole @zittokabwe @ccm_tanzania @MagufuliJP @fatma_karume @Nnauye_Nape @kigogo2014 @ChademaTz
Watu 18 wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Wajumbe Tuinuane Mpaka Tushibe ndiiiiiii🍛🍛🍛🍛🍛🍲 Upo Online ? Usipoteze MB zako. Like, Retweet , Drop Handle 👇👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇👇Tukuinua chap chap
United States Trends
- 1. #IDontWantToOverreactBUT 1.197 posts
- 2. #Superman 43,4 B posts
- 3. #mondaymotivation 25,3 B posts
- 4. #SkylineSweeps N/A
- 5. Victory Monday 2.454 posts
- 6. John Williams 1.845 posts
- 7. Good Monday 57,4 B posts
- 8. SoftBank 8.895 posts
- 9. #IN_HALLUCINATION 38,8 B posts
- 10. James Gunn 17 B posts
- 11. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 12. Look Up 108 B posts
- 13. Lamar 63,7 B posts
- 14. Man of Steel 2.347 posts
- 15. Freeland 25,4 B posts
- 16. $BOOST 12,2 B posts
- 17. Zimmer 3.731 posts
- 18. Schiff 59,5 B posts
- 19. Plymouth Rock N/A
- 20. Burna 34,8 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.