@JChumambili Profile picture

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼

@JChumambili

Am Computer Engineer 50/50 Politics #Barcelona #Simba

Joined October 2019
Similar User
El'Noah photo

@BrElly255

official RayZer photo

@official_rayzer

6X photo

@Kaijage6x

F.m photo

@fratino_tino

Only son photo

@onlyson28

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

How to check a car before buying


Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Kilimo Kinahitaji - Mtaji - Kujituma - Utalaamu - Muda wako Ukipuuzia Haya utajikuta Kwa Eka Unapata - Gunia 15 za Mahindi badala ya 30 - Tenga 500 badala 1000 za Nyanya - Gunia 50 badala ya 100 za Kitunguu - Gunia 2 za maharage badala ya 8 Uamuzi ni Wako Lakini 😄

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Chagua Msimu Unaokufaa Kwenye Safari yako DECEMBER- MAY - Mazao ni machache Sokoni - Bei itapanda sana - Wakulima ni wafalme - Unataka Mtaji Mkubwa shambani JUNE - NOVEMBER - Mazao ni mengi Sokoni - Bei itashuka sana - Wanunuzi ni Wafalme - Unataka Mtaji wa kawaida

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

🎯🍅MADAWA🍅🧵unapotumia dawa za kuua wadudu kwenye nyanya, ni muhimu kuchagua dawa ambazo ni salama na zina uwezo wa kukabiliana na wadudu kwenye hali ya unyevunyevu na zina uwezo mzuri wa kudhibiti wadudu kwa muda mrefu. zingatiaa Viambata hiv Soma🧵🪡🍅🍅👇👇

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Dawa zipi unawez kutumia kuua wadudu kwenye nyanya wakati wa masika



Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Tumia dawa kwa kufuata maelekezo ya mtengenezaji ili kuepuka athari mbaya kwenye mimea na afya ya binadamu. Panga upuliziaji wakati ambapo mvua haipigi moja kwa moja ili dawa iweze kufanya kazi kikamilifu.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

1. Lambda-cyhalothrin: Dawa hii husaidia kudhibiti wadudu kama vidukari na viwavi. Inafaa kutumia kwa kufuata kipimo kilichopendekezwa ili kuepuka sumu kwenye mimea.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

2. Profenofos: Inafaa kwa kuua wadudu kama viwavi na vidukari. Profenofos inafanya kazi vizuri kwenye mimea yenye unyevunyevu, lakini unahitaji kufuata maelekezo ya matumizi kwa uangalifu.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

3. Abamectin: Dawa hii ni nzuri kwa wadudu kama vidukari na inafaa kutumia wakati wa masika. Inapunguza athari za wadudu kwenye majani na matunda.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

4. Imidacloprid: Dawa hii ni bora kwa wadudu wanaokula majani kama nzi wa mboga na funza,Inafanya kazi kupitia mfumo wa mmea, pia hupambana na wadudu kama minyoo na wadudu wengine wa kufyonza. Ni bora kutumia wakati wa masika kwa sababu inaweza kuvumilia unyevu kidogo.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

6. Dimethoate: Hii ni dawa inayofaa kwa wadudu wanaofyonza kama vidukari na minyoo. Ni muhimu kutumia kwa uangalifu na kufuata kipimo kilichopendekezwa.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

7.Acetamiprid:Hii ni nzuri kwa nzi weupe na hufanya kazi kwa kuingia kwenye mfumo wa mmea, hivyo inalinda mmea kwa muda mrefu hata kama mvua ikinyesha.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

8.Spinosad - Hii ni dawa asilia inayodhibiti wadudu kama viwavi na inajulikana kuwa na athari ndogo kwa mazingira.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Chlorfenapyr ambayo ipo kwenye SNOW TIGER,Dawa hii inafanya kazi kwa njia ya kulisha (ingestion)na kugusana(contact) na wadudu. inaweza kutumika wakati wa masika, lakini kwa tahadhari na kupanga muda mzuri wa matumizi ili kuongeza ufanisi wake dhidi ya wadudu.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

9. Neem Oil - Dawa ya asili ambayo hufanya kazi kwa kuzuia wadudu kujitokeza kwa wingi, na inaweza kudumu kwa muda hata katika hali za mvua. Ni salama kwa mazingira na afya ya binadamu.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

10.Cypermethrin - Dawa hii ni nzuri kwa kudhibiti wadudu kama minyoo, viwavi, na nzi weupe. Ni nzuri wakati wa masika kwa kuwa ina uwezo wa kukaa kwenye mmea kwa muda.

Tweet Image 1

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Unapolima nyanya zingatia lishe zifuatazo tukichukulia unalima kwenye udongo wenye madini hata kwa uchache 1. Nyanya iliyohamishiwa shambani/mche mdogo - Phosphate na Nitrate 2.ukuzaji nyanya kabla ya maua - Nitrate 3. Nyanya ikianza maua - Calcium,Potassium,Nitrate ...


Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Haya wakulungwa 📌SHAMBA LINAUZWA📌 Shamba lipo barabara ya kwanza ( madibila )- Songea >> km2 toka kijijini. >>Ekari 40 za pamoja >>Eka 1@ laki 3 >>Lipo karibu na mto Maongezi yapo📌

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Wanawake 10 wa kuepuka katika kuoa au ukioa uwe makini sana kiakili na financially. 1. Msomi 2. Msomi 3. Msomi 4. Mwenye kwao wana maisha mzuri kuliko kwenu 5. Alielelewa bila uwepo wa Baba japo Baba mzazi yupo. 6. Ambae yupo desperate na mitandao 7. Mwenye kipato kukuzidi…


Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

"KOPA NYEKUNDU na MVUA" Ni dawa ya kudhibiti ugonjwa wa madoa ya bacteria kwa kutumia viambata chake cha Cuprous oxide 862g/kg mettalic copper 750g/kg. Mara nyingi bacteria spot hushambulia mmea mara tu mvua inyeshapo. -Thread- (1/2)

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mr Cheteso🇹🇿🇷🇼 Reposted

Usikubali kujaza vocha au bando tengeneza lako mwenyewe🫵 Usikubali kulipia king'amuzi tengeneza chako🫵 Usilipie soda au bia tengeneza yako🫵 Usikubali kulipa ada shule jifunze mwenyewe 🫵


Loading...
United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.