@IziCraft Profile picture

RangerMG

@IziCraft

DIT Student Origami Artist Disigning and Modeling

Joined May 2019
Similar User
TheTitus photo

@MiguluBaja100

Kosisochukwu Ukwuoma photo

@ukwuoma_uk1

Pinned

Jaman Nauza earburds pro 3 kwa 20000tsh derivery free Cont 0612244515 Jumla pia mzigo upo

IziCraft's tweet image. Jaman Nauza earburds pro 3 kwa 20000tsh derivery free
Cont 0612244515
Jumla pia mzigo upo

RangerMG Reposted

Neno la Mungu litabaki kuwa imara daima na milele.🙌

ClaudyJrJunior1's tweet image. Neno la Mungu litabaki kuwa imara daima na milele.🙌

RangerMG Reposted

HERI YA MIAKA 87 YA KUZALIWA KWA PAPA FRANCISCO ▪︎ Disemba 17, 1936 miaka 87 iliyopita Baba Mtakatifu Francis alizaliwa na leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwake. ▪︎ Karibu umtakie neno la Baraka katika kumbukizi hii muhimu katika safari ya maisha yake na mtakie kila jema.

radiomariatz's tweet image. HERI YA MIAKA 87 YA KUZALIWA KWA PAPA FRANCISCO 
▪︎ Disemba 17, 1936 miaka 87 iliyopita Baba Mtakatifu Francis alizaliwa na  leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwake.

▪︎ Karibu umtakie neno la Baraka katika kumbukizi hii muhimu katika safari ya maisha yake na mtakie kila  jema.

RangerMG Reposted

PRAY FOR US, O HOLY MARY MOTHER OF GOD. 🙏

GilbertDabari's tweet image. PRAY FOR US, O HOLY MARY MOTHER OF GOD. 🙏

RangerMG Reposted

Kinachopatikana Kwa Maombi kinalindwa na maombi ☺️👏🏽!! Gm watu wa Mungu 👊

cmfukwe_tz's tweet image. Kinachopatikana Kwa Maombi kinalindwa na maombi ☺️👏🏽!!
Gm watu wa Mungu 👊

RangerMG Reposted

Kama unamtaka Barbara Kuwa CEO WETU just Like na Repost hii, WE NEED MADAM BARBARA...🙏🙏

fumbokhanJr's tweet image. Kama unamtaka Barbara Kuwa CEO WETU just Like na Repost hii, WE NEED MADAM BARBARA...🙏🙏

Yule wazili msitaafu mzee wa kuona mabaya km ni anasemaga kwa nia njema sio personal.. Aseme kitu hapa @athanas_pius @DullahTheking2 @FKihamu @FKihamu @INFLUENCERjr

IziCraft's tweet image. Yule wazili msitaafu mzee wa kuona mabaya km ni anasemaga kwa nia njema sio personal.. Aseme kitu hapa @athanas_pius @DullahTheking2 @FKihamu @FKihamu @INFLUENCERjr

RangerMG Reposted
radiomariatz's tweet image.

RangerMG Reposted

Asilimia kubwa Ya Wanawake hawana kitu cha ziada kumuoffer Mwanaume zaidi ya SEX ✍️✍️

NasriAllyy's tweet image. Asilimia kubwa Ya Wanawake hawana kitu cha ziada kumuoffer Mwanaume zaidi ya SEX ✍️✍️

Duh Watu wana roho ngumu Wajuba hawajuag cha kivumbi wala nn Khee Hayaa😅

Ya kwanza imekwisha .. Bado pointi 15 mbele za kutafuta✊ Desemba 2 ishakuwa Mechi ya Jasho na Damu👊 Karibu Dar Es Salaam Al Ahly



Hii ni sawa na mtu mjanja kukushikisha sinia la wal unafurah nimebeba chakula halaf yeye ndo anakula unashtuka kamaliza chote Refer Inter vs barca uefa final, ss we furahia possession Uje uone km humaliz mkian Work for the results 😅

Matokeo ya leo ni magumu sana kuyaelewa, lakini hizi takwimu zinatupa mwanga wapi pakuanzia. Tugange yajayo Dec 2 tuna deni

privaldinho's tweet image. Matokeo ya leo ni magumu sana kuyaelewa, lakini hizi takwimu zinatupa mwanga wapi pakuanzia. Tugange yajayo Dec 2 tuna deni


RangerMG Reposted

🎙️Ilifika wakati Dada zangu waliolewa na Wanaume ambao hawakuwapenda bali walijua ni Dada zangu wakajua maisha poa, walizaa watoto wengi mpaka nikahoji wakasema napaswa kuhudumia Mimi, Afrika kosa kubwa ni kufanikiwa utakuwa na Maadui hadi Ndugu” Obi Mikel.

FKihamu's tweet image. 🎙️Ilifika wakati Dada zangu waliolewa na Wanaume ambao hawakuwapenda bali walijua ni Dada zangu wakajua maisha poa, walizaa watoto wengi mpaka nikahoji wakasema napaswa kuhudumia Mimi, Afrika kosa kubwa ni kufanikiwa utakuwa na Maadui hadi Ndugu” Obi Mikel.

RangerMG Reposted
radiomariatz's tweet image.

Nisamehe ila kiukwel hua naudhika na hizi idea manasema tu fursa mtaj mnawaz kuwa tunatoa wap na ardhi tunatoa wap mnasema tu outcome U tell us imaginations not reality It need money to get money FRUSTRATING 😓

Hapa uwe na mipapai yako 1000 tu - kila mpapai utoe matunda 20 kwa mvuno mmoja katika mwezi - Papai sokoni Sh. 2,000 ila wewe uza kwa 1,000 mzigo usilale - 1,000×20×1,000= Tsh. 20,000,000/= hii ni kwa mwezi mmoja tu hizi hela utaziweka wapi? FURSA NDO HIZI.

__abdulazack's tweet image. Hapa uwe na mipapai yako 1000 tu

- kila mpapai utoe matunda 20 kwa mvuno mmoja katika mwezi

- Papai sokoni Sh. 2,000 ila wewe uza kwa 1,000 mzigo usilale

- 1,000×20×1,000= Tsh. 20,000,000/= hii ni kwa mwezi mmoja tu

hizi hela utaziweka wapi? 

FURSA NDO HIZI.


Nfkir hii ni kwa washkaj wenye pesa tayal ndio Unatakiwa mda tofaut na hapo bro East or west money will come to a count🤗


RangerMG Reposted

Lord, Jesus Christ, Son Of God, Bless Me Today, Tomorrow, And Forever. Amen 🙏

GilbertDabari's tweet image. Lord, Jesus Christ, Son Of God, Bless Me Today, Tomorrow, And Forever. Amen 🙏

RangerMG Reposted

Hii dawa ya @Zain_herbs inaupiga mwingi sana Asilimia Kubwa waliotumia imekuwa na positive Impact Kwao..!! Fanya Kumcheck Doctor zain kwa namba hizi 0764381277 akupe tiba na kuondoa Changamoto kabisa. Mcheck Whatsapp Direct kupitia link hii wa.link/jfif60

fumbokhanJr's tweet image. Hii dawa ya @Zain_herbs inaupiga mwingi sana Asilimia Kubwa waliotumia imekuwa na positive Impact Kwao..!!

Fanya Kumcheck Doctor zain kwa namba hizi 0764381277 akupe tiba na kuondoa Changamoto kabisa.

Mcheck Whatsapp Direct kupitia link hii wa.link/jfif60

Hapo umeanza kusema

Chelsea wakikutana na timu kubwa wanageuka kuwa Prime Barcelona.. 😂😂



RangerMG Reposted

Chelsea wakikutana na timu kubwa wanageuka kuwa Prime Barcelona.. 😂😂


RangerMG Reposted

Blue is the Color wa Shabiki Chelsea Repost Tujuane 💙💙

babalao__'s tweet image. Blue is the Color wa  Shabiki Chelsea Repost  Tujuane 💙💙

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.