Similar User
@KimaniDawa
@Duyujiedamaker
@Aloyce__Temba
@Richard47470137
@cknziku
@kyaruar1
Kwenye maisha yangu nimepata KUPORWA kwa mtutu wa BUNDUKI mara 2 so far, mara ya KWANZA ni mwaka 2003 nilipovamiwa na MAJAMBAZI usiku nyumbani kwangu... Na mara ya PILI ni kuporwa USHINDI kwenye UCHAGUZI wa 2020 😎
I really feel sorry for Arsenal fans, I only supported them for today & I feel depressed just watching them today, imagine supporting them all your life. #TOTARS
Tanzania mwanasiasa wa upinzani wa kweli ni Mbowe tu! Hata umfanyeje hawezi ku bend. Wamemfunga,wamemfilisi,wameharibu biashara zake,wamemchafua sana etc lakini hajawahi kuikana imani!! Kwa sasa tutasimama na huyo! Labda aje kubadilika na yeye
Abunuwasi kaamka anachana mistari 🎤🎤 anadai ataingia studio atoe kibao cha 2021 "Walipeleka vifaru vya muungano, baraza la Tanganyika, mfumodume kwa COVID 19, baraza la kiumeni, mimi kiongozi wa WOTE, barazani ninyi wenye imani na msiotoka kule, msikaribie. Say yeah, yeah!" 🎤
"Hatuwezi kwenda kwenye meza ya majadiliano na @MagufuliJP, ili kuendelea kumuweka @MagufuliJP madarakani." @zittokabwe
Aliyekuwa Mgombea Udiwani huko Mpwapwa Deo Mahinyila na wenzake 15, wamepewa dhamana na mahakama kuu kanda ya dodoma leo! Deo na wenzake walikamatwa kwenye heka heka za kupambania ushindi wake wa udiwani! Tunaamini atawahi mitihani yake ya Law school (7/12/2020) atafaulu tu, Amen
Walichofanya Kamati Kuu Chadema ni kama ule msemo wa mtaani huku kuwa Zege halilali aisee.
Kuleana, kufahamiana,kubebana na kupendeleana kwa ccm ndio maana nchi imefika hapa, ufisadi,wizi na kuharibu nchi. Halima tulimpenda sana lakini linapokuja suala la principles na haki, lazima hatua zichukuliwe. Maamuzi magumu lakini maamuzi muhimu kwa chama na nchi.
Ila @freemanmbowetz aiseee! Huyu jamaa ana busara zimevuka kiwango cha kawaida cha binadamu wa kawaida! 👉Mwenyekiti Mungu akupiganie sana na sisi hatutakaa tukuache peke yako 👉Tutalia na wewe na kucheka na wewe yaani hatutakaa tukuache ! @ChademaTz tunakupenda kwa moyo wote
Sasa tulale! Yaani tuna raha kuliko watawala na Diwani wao ✌🏻
“Eti Mimi nimemtuma Halima Mdee! Over my dead body. I’ll never betray this party” @freemanmbowetz You nailed it, kaka.
Our plan to spend the night in Hoima was frustrated as police blocked all roads. We drove to Migera but police under DPC Patience Namara and OC Byaruhanga ordered all hotels not to host us. We had to spend the night on the roadside, sleeping in vehicles! In our own country!!!
Kuna kawimbo Tangu Asubuhi kananijia. "UWT mbona Hamtokei Mama weeeeeeeee Tushackoka kuwa subiri Mamieeeeeeeee FANYENI kama Mnakuja Mtuambieeeeeeeeee Kama Chai tushapika alfajiriiiiiiiii Kamati ya Mapokezi inawasubiriiiiiiiiii Kuna Chapati na Sambusa za Pilipiliiiiiiiii
Upinzani wa #Tanzania chukueni mfano wa @HEBobiwine huko Uganda - halilii posho, kufungwa na hataki nafasi katika meza ya Museveni au kuridhiana - ye aliibuka kutoka harakati na anasema #WeAreRemovingADictator anaaminika kwa sababu haongei kisiasa #TutaelewanaTu
UWT mbona Hamtokei Mama weeeeeeeee Tushackoka kuwa subiri Mamieeeeeeeee FANYENI kama Mnakuja Mtuambieeeeeeeeee Kama Chai tushapika alfajiriiiiiiiiiiii Kamati ya Mapokezi inawasubiriiiiiiiiii Kuna Chapati na na Sambusa za Pilipiliiiiiiiii
Katibu mkuu nimekuelewa, naamini Watanzania wamekuelewa pia, umetoa ufafanuzi mzuri. Kuna mambo ya Msingi ya kujadili hasa kuhusu mtu kutolewa usiku magereza na kesho yake kuapishwa, Jaji aliitwa wapi ili maamuzi yafanyike? Kamati kuu tarehe 27 nitashiriki kwa uwezo wa Mungu.
Sisi tutimize wajibu wetu wa kuwafukuza kwanza, Kama watakuwa wabunge wa mahakama au wa Ndugai, hilo ni jambo lingine.....hapa dunia nzima itakuwa imetuelewa.
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Sehemu ya Ripoti Human right watch Polisi mmoja baadae alimdhalilisha kijinsia kwa kumshika isivyofaa akiwa kituo cha polisi, alisema. Alisema kwamba mmoja ya maafisa ambaye alimtambua alitishia kumuua kwa kumwambia, “Uchaguzi huu hautoisha kabla sijakuua.”@CatherineRuge
United States Trends
- 1. Jokic 11,7 B posts
- 2. Pete 291 B posts
- 3. DeSantis 34 B posts
- 4. Kerr 6.998 posts
- 5. Mavs 12,1 B posts
- 6. Podz 3.183 posts
- 7. Clemson 24,9 B posts
- 8. Nuggets 16,4 B posts
- 9. Brea 2.587 posts
- 10. Kentucky 19,1 B posts
- 11. Wiggins 2.724 posts
- 12. Jamal Murray 1.466 posts
- 13. Bama 41 B posts
- 14. Marcus Smart 2.573 posts
- 15. Kuminga 2.278 posts
- 16. NBA Cup 14,7 B posts
- 17. Grizzlies 6.214 posts
- 18. #MFFL 4.008 posts
- 19. azealia 3.646 posts
- 20. #GSWvsDEN N/A
Something went wrong.
Something went wrong.