Similar User
Devota Minja photo

@DevotaMinja

Ananilea Nkya (PhD) photo

@AnanileaN

Nuru Ndosi photo

@Nuru_Ndosi

Bavicha Queens photo

@BavichaQueens

Bruce Cuthbert Mnyakwibata photo

@Mnyakwibat

Chadema Kanda ya Pwani photo

@chademapwani

Zacharia Thomas Obad photo

@Zacharia_Obada

OfficialBawacha Taifa photo

@BawachaTaifa

Chadema Kanda ya Serengeti photo

@ChademaSerenget

Aisha Saleh Madoga photo

@AishaSMadoga

Barnaba Mwandenuka photo

@BSMwandenuka

CHADEMA Jimbo la Hai photo

@ChademaHai

James Mbowe photo

@JamesMbowe4

Deogratias Munishi photo

@DeoMunishi

David Mfugwa photo

@DavidMfugwa2

ChasoUdom Reposted

Ndugu yetu @DEUSDEDITHSOKA hajulikani yupo wapi, ana hali gani na kipi kimemsibu. Sisi ni vijana na sisi ndiyo leo na kesho ya Taifa hili hatuta kaa kimya katika hili na ule mda wa kusimama kuhesabiwa naona wazi umewadia. #FreeSoka #NoBodyIsSafe

Tweet Image 1

Enyi Ndugu zetu watanzania, tunatoa wito kwa vijana wote wenye Nguvu na dhati kwa Taifa hili kujiunga na Chadema na kuzipaza sauti zetu pamoja juu ya kudai Katiba Mpya na bora kwa Taifa letu.


"Magari ya zimamoto yatumia maji ya kuzimia moto kuiosha ndege Mpya huku kikosi hicho cha zimamoto kikiwa hakiwezi hata kuzima kibanda kinachoungua"

Tweet Image 1

Ni kweli kuwa kuna udhalilishaji mkubwa umewahi kufanywa na @ccm_tanzania kuliko huu? Nani alikamatwa? Nani hata alihojiwa? @jjmnyika

Tweet Image 1

Amka mtanzania! Simama ujipiganie! Hakuna mwana Ccm alieshiba tayari na ati anaweza ihisi njaa yako! Wapo busy kuandaa njia za ufisadi na unyonyaji kwa ajili ya vizazi vyao! Wanaajiliana wao na wanao! Yanini uwaunge mkono? AMKA.


ChasoUdom Reposted

MZEE kaambiwa KIPARA kaiweka nchi gizani.. Kawakaaaaaa.. Nikikutana naye popote namueleza kwa sauti ya radi "KIPARA RUDISHA UMEME HARAKA"


ChasoUdom Reposted

Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa vyama vya Kidemokrasia Africa (DUA) Mhe. Freeman Mbowe akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Moldoya Mhe.Maia Sandu, wakati wa Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IDU) unaoendelea Jijini Washindton DC

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Hivi ndivyo Polisi wanatimiza majukumu Yao Kwa nchi zenye Katiba Bora ! Hakuna taarifa za Kiintelijensia wala nini! Polisi Tanzania jifunzeni hapo Kwa jirani!

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

" Mtu yoyote ambaye anahistoria ya kufungwa Gerezani haruhusiwi kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi, kwanini mtu apoteze nafasi ya kugombea wakati alihukumiwa ili ajifunze na abadili tabia yake, na wengine hua wanashinda rufaa zao, sheria hii iondolewe" Mh. Tundu Lissu

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Ukiwakuta ccm wanavoichambua @ChademaTz unaweza ukasema wanayo demokrasia. Demokrasia inaonyeshwa kwa ushindani. @freemanmbowetz amekua akipigiwa kura za mchuano, Samia anapigiwa kura za ndio maana wengine wamekatazwa kuchukua form

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Hatimaye dakika 120 zimemalizika kwa Morocco kuifungasha Spain kwenye foil kama mabehewa ya TRC.! 🤣🤣 Kwa mamla niliyojipa nimemtunuku Yassine Bounou udaktari wa heshima, kuanzia leo ataitwa Dr. Yassine Bounou.

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Hizi DAMU mtalipa.Kuna siku itafika kila aliyehusika na uonevu,utesaji na uuaji atajibiwa.Damu huwa inanena. Bado kidogo Wananchi watachoka na kuanza kujitetea.Nchi itakuwa mbaya. Zuieni huu ukatili na upumbavu unao endelea.Mnaua watu kama mna chinja kuku?Watu wabaya sana nyie.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ChasoUdom Reposted

Baada ya Mahakama kuu kutoa hukumu kwamba aliyekua Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli ALIVUNJA KATIBA kumwondoa kazini CAG Assad (ibara ya 144, na Sheria no.15 ya mwaka 1984 kifungu cha 43),

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Huyu ndiye Simon Simalenga, Mkuu wa wilaya ya Songwe aliyempiga ngumi za jicho binti aitwaye Flirencia Mjenda, na kumharibu jicho lake la kulia. Sababu ya kumpiga ni kwamba mtoto huyu alikua anacheza katika eneo lililozuiwa. Nasikitika sana kwamba bado yupo ofisini hadi muda huu.

Tweet Image 1

ChasoUdom Reposted

Nasikia UVCCM walikua wameshaandika Press ya kumpongeza mama kwa mabehewa ya mtumba, lakini wamelazimika kuichanachana baada ya Kadogosa kusema ni mapya. Wametulia kwanza wasome upepo. Wapo "hoves" 🤣🤣🤣


ChasoUdom Reposted

Ndugu @HKigwangalla amesema mama HAHUSIKI kwenye ununuzi wa "mabehewa skrepa" ya TRC. Lakini kupitia speech hii ya miezi michache iliyopita mama aliweka wazi kuwa tutanunua "mtumba" kwa kuanzia kisha vipya vitakuja mwakani 2023.


ChasoUdom Reposted

Mna skip Birthday ya Nchi ?mnabana matumizi gani?mnatembeza moto Nchi nzima kuzindua Vyoo ofisi za Kata au N/Waziri anaenda Kigoma kuzindua kisima cha msaada cha Sh M 34." Nasikiaga wife anamwambia Our Son,Wewe nitakuchapa,jifunze KUFIKIRI, Itakusaidia kuliko kutafuta Six pack"

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ChasoUdom Reposted

Always say “Insha’Allah” - God willing! Kila lugha na tamaduni huonya; 👇🏽 Hungarian: “ember tervez, Isten végez” English: “man proposes, God disposes” Kiswahili: “Binadamu hupanga, Mungu hupangua” Latin: "Homo proponit, sed Deus disponit" #TutaelewanaTu

#TANZANIA: "Mimi ni kati ya wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu, utakuwa ndio wakati wa kupumzika" -Nape Nnauye

Tweet Image 1


ChasoUdom Reposted

Hii NCHI ina WAJINGA wengi sana....Yaani wale waliosababisha kama NCHI tukapata AIBU kubwa KIMATAIFA kwa kuchelewesha wageni ambao kimsingi wanakuja na tutanufaika nao KIUCHUMI, hawajafukuzwa kazi, na badala yake saizi wanamtafuta aliyerecord tukio hilo ili wamshughulikie🤣🤣🤣

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.