@Ibrahgr Profile picture

Ibrah grabber

@Ibrahgr

WAHOVYO😅👻

Joined October 2023
Pinned

06:00 "Jobless niamke sasa nikapate mihogo" 15:00 "Sema moja kati ya dalili ya kutokua na hela nikula mihogo wanangu" 😂😂😂.

Ibrahgr's tweet image. 06:00
"Jobless niamke sasa nikapate mihogo"

15:00
"Sema moja kati ya dalili ya kutokua na hela nikula mihogo wanangu"

😂😂😂.

Ibrah grabber Reposted

1:NI MUNGU FT MWAMPOSA Huyu jamaa ameanza lin kuimbisha mtaa??au co BULLDOZA

BKisbo80187's tweet image. 1:NI MUNGU FT MWAMPOSA
Huyu jamaa ameanza lin  kuimbisha mtaa??au co BULLDOZA

Ibrah grabber Reposted

Hapa mhuni yupi alitisha zaidi?

udsm_icon's tweet image. Hapa mhuni yupi alitisha zaidi?
udsm_icon's tweet image. Hapa mhuni yupi alitisha zaidi?

Ibrah grabber Reposted

Tacticos njooni tutoane damu kidogo,currently unaenda na yupi KIMMICH. PEDRI

waziri_wa_wapwa's tweet image. Tacticos njooni tutoane damu kidogo,currently unaenda na yupi

KIMMICH.                              PEDRI
waziri_wa_wapwa's tweet image. Tacticos njooni tutoane damu kidogo,currently unaenda na yupi

KIMMICH.                              PEDRI

Ibrah grabber Reposted

Kazi uliyoikataa kisa pesa zake ni za muda mrefu,muda wake unafika kikomo kesho!!vip pesa watakayo vuna wenzio ndio akiba uliyonayo toka uchague njia yako!?Nb muda unakimbia mno jifunze kuvumilia amini katika hatua✍️


Ibrah grabber Reposted

Asake or Gunna

Kama ningefanya rmx ya “Heat” ungetaka nimshirikishe nani mwengine ? “Heat” featuring @countrywizzy_tz 🌡️🔥 Tap in gang 🔗 in bio



Ibrah grabber Reposted

Barikiwa sana janja ila acha kutumia picha za huyo dem 😂

Happy birthday to me 🎂✨

iamkizyh's tweet image. Happy birthday to me 🎂✨
iamkizyh's tweet image. Happy birthday to me 🎂✨


Ibrah grabber Reposted

Chapati laini kutoka Msosi Flavour 😍😍 Chapati maharage veggies 3,000 Chapati beef curry njegere 8,000 Chapati kuku mboga beef curry 10,000 Chapati beef maharage veggies 6,000 Chapati maini maharage veggies 6,000 Namba ya order:0625198207 Tunapatikana: Budget, Sinza Lion🫶🏼

msosi_flavour's tweet image. Chapati laini kutoka Msosi Flavour 😍😍

Chapati maharage veggies 3,000
Chapati beef curry njegere 8,000
Chapati kuku mboga beef curry 10,000
Chapati beef maharage veggies 6,000
Chapati maini maharage veggies 6,000
Namba ya order:0625198207
Tunapatikana: Budget, Sinza Lion🫶🏼
msosi_flavour's tweet image. Chapati laini kutoka Msosi Flavour 😍😍

Chapati maharage veggies 3,000
Chapati beef curry njegere 8,000
Chapati kuku mboga beef curry 10,000
Chapati beef maharage veggies 6,000
Chapati maini maharage veggies 6,000
Namba ya order:0625198207
Tunapatikana: Budget, Sinza Lion🫶🏼
msosi_flavour's tweet image. Chapati laini kutoka Msosi Flavour 😍😍

Chapati maharage veggies 3,000
Chapati beef curry njegere 8,000
Chapati kuku mboga beef curry 10,000
Chapati beef maharage veggies 6,000
Chapati maini maharage veggies 6,000
Namba ya order:0625198207
Tunapatikana: Budget, Sinza Lion🫶🏼
msosi_flavour's tweet image. Chapati laini kutoka Msosi Flavour 😍😍

Chapati maharage veggies 3,000
Chapati beef curry njegere 8,000
Chapati kuku mboga beef curry 10,000
Chapati beef maharage veggies 6,000
Chapati maini maharage veggies 6,000
Namba ya order:0625198207
Tunapatikana: Budget, Sinza Lion🫶🏼

Ibrah grabber Reposted

Madem wengine wakamatwe tu wachapwe hata viboko 70 mbele ya umati kudadeki zao.!!!☹️


Ibrah grabber Reposted

Ndo nimefika hapa kujichukulia minofu nikalie ugali

CenturyBoe's tweet image. Ndo nimefika hapa kujichukulia minofu nikalie ugali

Nisonge tu ugali mkubwa ,ninunue miguu ya kuku ya mia tano ,hii buku jero niwahi mechi za mapema nibetie ili nipate hela ya mboga ya baadae 🤝



Ibrah grabber Reposted

Kama kula yako mpaka utoke uvuje jasho zingatia haya,achana na ugomvi hata kama umeonewa,achana na Mambo ya kucheza mpira utamia ulale ufe njaa,achana na wanawake utaharibu ratiba yako ya kazi,achana na kufake maisha utakosa madili kijinga✍️


Ibrah grabber Reposted

Hivi kama hujakubaliana na mtu na utaratibu wake, unaanzaje kumtukana... .. haiwezekani kusema asante/ kwaheri, basi.😹🙌

Finah_Business's tweet image. Hivi kama hujakubaliana na mtu na utaratibu wake, unaanzaje kumtukana...

.. haiwezekani kusema asante/ kwaheri, basi.😹🙌

JAMBO JEMA KUSHUKURU MUNGU Shuka 2, foronya 4 ~Size 7x8-25000 ~Size 8x8-30000 📍Dar delivery ipo, mkoani natuma kwa uhakika 0755 693 113

Finah_Business's tweet image. JAMBO JEMA KUSHUKURU MUNGU

Shuka 2,  foronya 4

    ~Size 7x8-25000
    ~Size 8x8-30000

📍Dar delivery ipo, mkoani natuma kwa uhakika

0755 693 113
Finah_Business's tweet image. JAMBO JEMA KUSHUKURU MUNGU

Shuka 2,  foronya 4

    ~Size 7x8-25000
    ~Size 8x8-30000

📍Dar delivery ipo, mkoani natuma kwa uhakika

0755 693 113


Ibrah grabber Reposted

Hichi je?

Excess300's tweet image. Hichi je?

Ibrah grabber Reposted

Hata Yanga haijashuka kiwango hiki aisee🙆‍♂️

_itsmalume's tweet image. Hata Yanga haijashuka kiwango hiki aisee🙆‍♂️

Ibrah grabber Reposted

Hakuna ambaye hajui 😅😅😅

priscusfani's tweet image. Hakuna ambaye hajui 😅😅😅

Ibrah grabber Reposted

Nisonge tu ugali mkubwa ,ninunue miguu ya kuku ya mia tano ,hii buku jero niwahi mechi za mapema nibetie ili nipate hela ya mboga ya baadae 🤝


Ibrah grabber Reposted

#ZeeLaVita 🥊 Huku Sasa ni KUVUKA MPAKA aise... 🙌 Huo ushauri atoe Kwa wafanyakazi wake bwana... Sie MAJOBLEC atuache tu! 🙌

Jogoo_Msomi's tweet image. #ZeeLaVita 🥊

Huku Sasa ni KUVUKA MPAKA aise... 🙌

Huo ushauri atoe Kwa wafanyakazi wake bwana... Sie MAJOBLEC atuache tu! 🙌

Ibrah grabber Reposted

CHUKUA HII📌 weng mnakimbilia Oa fresh ila hao wenyewe wametoa mimba kibao ila single maza huenda alikataa toa mimba ndio akazaa huyo mtoto think again unaweza oa usipate mtoto au oa single maza ukijua uhakika wa kupata mtoto upo 🤦‍♂️uamuzi ni wako 🥱


Ibrah grabber Reposted

Awe hivi alaf ni single maza nisioe aaah kudadek niuwen 😤

_itsmalume's tweet image. Awe hivi alaf ni single maza nisioe aaah kudadek niuwen 😤

Ibrah grabber Reposted

Music To Be Murdered 🚀🚀

Thereal_taivina's tweet image. Music To Be Murdered 🚀🚀
Thereal_taivina's tweet image. Music To Be Murdered 🚀🚀
Thereal_taivina's tweet image. Music To Be Murdered 🚀🚀

Ibrah grabber Reposted

Mnikumbushe Msanii mwingine tofauti na Byser, ambae tayari ameshafanya kazi na 👇🏽 ~DIAMOND PLATNUMZ ~ALIKIBA ~HARMONIZE ~RAYVANNY 👉🏽Mapoz🎶 👉🏽Mboga saba🎶 👉🏽Inanimaliza🎶 👉🏽Mama la Mama🎶

DullahTheking2's tweet image. Mnikumbushe Msanii mwingine tofauti na Byser, ambae tayari ameshafanya kazi na 👇🏽

~DIAMOND PLATNUMZ
~ALIKIBA
~HARMONIZE
~RAYVANNY

👉🏽Mapoz🎶
👉🏽Mboga saba🎶
👉🏽Inanimaliza🎶
👉🏽Mama la Mama🎶

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.