@ITEC_Micky Profile picture

REMIGIUS SELESTNE

@ITEC_Micky

Similar User
Ezekia Wenje photo

@EzekiaWenje

Paulo Mwita photo

@PauloMwita6

Pascal Yohana Haonga photo

@HaongaHon

Mwaitenda Ahobokile photo

@amwaitenda2020

Shomari Omary Shomari ♈ photo

@shomari_omary

Idrisa Kassim Rubibi photo

@Rubibi_idrisa

CHASO DAR ES SALAAM photo

@DarChaso

Ferdiana Brastus Mukama photo

@FerdianaMukama

Celestine Simba photo

@Celestine_Simba

Tanganyika photo

@joseph_oluros

Ibrahim_Namkoveka🇲🇿 photo

@ibrah_namkoveka

Al Nyagwegwe photo

@bashite0ziro

Eddieeducation photo

@eddieeducation

Clement A Manang photo

@clementmanang

Frank Waise photo

@frankwaise

Tunaweza kukutengenezea mifumo. Mfano mfumo wa malipo Payroll system, mfumo wa mauzo sales & stock management system, mfumo wa mawasiliano, mfumo wa kutunza taarifa za wateja, mfumo wa kufanya tathimini na ufuatiliaji na mengine mengi. Karibu!

Tweet Image 1

Ukweli usemwe.. Liverpool niwashirikina. Ni hivyo.


Mashabiki wa Yanga akili zenu nizakuvukia varabara tu. Tuliwaambia Club bingwa sio Shirikisho sasa mnaanza visingizio eti kundi la simba jepesi.. mnasahau kuwa mlisema nyie timu kubwa.. Pambana ili msiwe kibonde wa kundi.. Pumbavu nyie


Hautajuta kutupatia kazi yoyote ya IT.

Tweet Image 1

Tinno boy, tunahitaji majibu kwanini kijana wetu pendwa Moses Phili unamnyima nafasi ya kucheza? Sisi mashabiki wa simba tunampenda Generali na boli analijua. Hatuko tayari kumpoteza. @ClatousCC @ahmed__ally @SimbaSCTanzania

Tweet Image 1

Yaani Mwenyezi Mungu anaijua kazi Ya Musa, hadi akamtuma kuwaokoa wana wa Israel. Alafu kocha wetu eti hajui kazi ya Musa. Sikiliza Robertinho tunakupenda lakini lazima tumuone uwanjani Musa wetu ili tufike kanani.. Tunasubiri Ngao ya Jamii tuone sasa @jemedarisaid @ahmed__ally

Tweet Image 1

Apewe heshima yake. Kama kocha hampendi. Sisi wanasimba tutamlinda Moses Phili. @SimbaSCTanzania @ahmed__ally @moodewji

Tweet Image 1

Jamaa alitembea kwa miguu kutoka mnazi mmoja hadi Ikulu magogoni kwenda kuomba radhi.. Alafu leo eti anatutisha.. Jinga la mwaka

Tweet Image 1

Tunataka majibu, Kwanini bandari za zanzibar hazipo kwenye mkataba mzuri wa maisha kati ya Tanganyika na DPW? Nani ameruhusu watu wawili kutoka pemba na unguja kuuza ardhi yetu?


Wabunge wa mchongo mlioko Dodoma leo manakazi mbili mbele yenu. 1. Kuwauza watanzania na raslimali zao kwa mwarabu au 2. Kuwaonyesha watanzania kuwa nyie mnastahili kuitwa wabunge kwa kuilinda nchi dhidi ya wezi walioingia mkataba wa kihuni


Tunahitaji watu wenye utayari kama @MwitaJulius2000 Sambaza ujumbe huu umfikie mbunge wa viti maalumu Musoma mjini. Asante sana Kamanda umewakilisha vyema wananchi wakowa Musoma


Wamelooowaa wameloowa

Tweet Image 1

Amekamatwa na mkeka ( Amebeti Utopolo atafungwa jana) Mwamba hatari sana huyu.. Hahaaaaaa

Tweet Image 1

REMIGIUS SELESTNE Reposted

Semina ya Mawakala wa Chadema Digital Jimboni Rombo ikiendelea -12/04/2023.Tunashukur sana kamanda @ITEC_Micky kutoka makao makuu ya chama kwa mafunzo @ChademaTz

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Mtu anaingia kwenye team bora ya wiki ya Michuano mikubwa Africa.. Alafu eti Kocha wa Taifa Stars haoni huyo mtu kama ni potential! @SimbaSCTanzania @George_Ambangil @jemedarisaid @ahmed__ally

Tweet Image 1

Huyu Mshikaji waga mnamuelewa?? Au tumtafutie jina linalomfaa??

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Waandishi zaidi ya 21 wa Kimataifa wamedhibitisha kushiriki kongamano la kuhamasisha utalii. Nafasi bado ipo wai mwaliko kwa kutupigia simu zibazoonekana kwenye tangazo letu.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

REMIGIUS SELESTNE Reposted

BLADIFAKENI! 😁


Shirikisho unapigwa kama ngoma.. Je ungekuka uku kwa wakubwa ingekuwaje?

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.