ICCAO
@ICCAO2INTEGRATING CAPACITY AND COMMUNITY ADVANCEMENT OR,VISION; A community in which youth attain the ability to survival,protection,development and participation.
Similar User
@LSFTanzania
@CSO_Network
@tayobeco
@IrlEmbTanzania
@USAIDTanzania
@MsichanaUwezo
@SwedeninTZ
@UNFPATanzania
@tpsftz
@UMATItz
@PactTanzania
@ItsKamala
@WiLDAFTz
@WomenFund_TZ
@TAMWA_
Ukeketaji. Ndoa za utotoni. Ukandamizaji wa kijinsia. Haya yote ni mifano ya ukatili wa kijinsia ambao bado umekita mizizi barani Afrika. Takwimu zinaonyesha kwamba maelfu ya wanawake na wasichana wanakumbana na ukatili huu kila siku. #TokomezaUkatili #ICCAOTanzania
Day 3 loading... After two insightful and impactful days of discussions on family planning with like-minded organizations, we’re excited to dive into the third and final day! #ICCAOTanzania
Maneno ya vijana kutoka Mara na Pwani baada ya kampeni yetu ya michezo ya #UleviSioDili yanatupa matumaini na nguvu ya kuendelea!#KijanaUwezo #MichezoKwaMabadiliko #ICCAOTanzania
Kwa kila mtoto, kila haki! Tunapoadhimisha Siku ya Mtoto Duniani, tunakumbushwa kuwa kila mtoto anastahili fursa ya kuishi kwa usalama, afya, na elimu bora. #WorldChildrensDay #EveryChildEveryRight #ICCAOTanzania
Siku ya 1 na 2 za Mafunzo chini ya Mradi wa Ulevi Sio Dili! Mafunzo yetu ya siku mbili yalilenga kuwawezesha vijana kwa ujuzi wa kupata kipato mbadala ili kuwasaidia kujiepusha na matumizi mabaya ya pombe na madawa ya kulevya. #UleviSioDili #ICCAOTanzania
🚨 WITO KWA WANAFUNZI WA MKOA WA MARA! 🚨 Je, uko tayari kutumia sauti yako kuleta mabadiliko? Shiriki katika Mashindano ya Uandishi wa Insha kupinga changamoto mbili kubwa: Ukeketaji wa Wanawake (FGM) na Ukatili kwa Watoto. #ICCAOTanzania
Kupitia klabu za Sikio na Bega, @iccao_tanzania inafanya kazi muhimu ya kuwawezesha wasichana mashuleni kwa kuwajengea kujiamini na kuwa sauti ya mabadiliko. Tunajivunia kuona wasichana wetu wakijifunza kujisimamia, kushirikiana na wenzao, na kufanikisha ndoto zao kwa ujasiri!
Vijana ni Nguzo ya Mabadiliko! Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakaribia kufanyika tarehe 27 Novemba mwaka huu, na hapa @iccao_tanzania tunaamini kwa dhati kuwa vijana wanapaswa kuwa mashujaa wa mabadiliko katika mchakato huu. ✊🔥 #ICCAOTanzania
Ndoa za utotoni na ukeketaji vinatowesha utoto na kuchochewa watoto wa kike kuacha shule na hivyo kuwaweka hatarini zaidi kukumbwa na ukatili wa majumbani na umaskini wa maisha.@Zamuyawabunge
Kinachosababisha Ndoa za utotoni kwa mkoa wa Shinyanga ni Mila na desturi na tamaa za wazazi kupata mali.
Don’t Be Misled! There are many myths about alcohol – some say it helps reduce stress, boosts creativity, or is just a way to “have fun.” But the truth is that alcohol comes with serious risks to health and youth development. #UleviSioDili #ICCAOTanzania
Life is better when you’re in control. This #SoberOctober, let’s encourage youth to choose healthy habits over harmful drinking. Alcohol might seem like a way to fit in or handle stress, but it’s not worth the long-term costs. #UleviSioDili #ICCAOTanzania
World Mental Health Day 2024: Mental Health at Work Today, on #WorldMentalHealthDay, we’re shining a spotlight on the importance of prioritizing #MentalHealthAtWork. Workplaces play a major role in shaping our mental well-being. #ICCAOTanzania
Uko kwenye safari ya kuacha matumizi ya dawa za kulevya au unamfahamu mtu anayehitaji msaada? Simu yako ni chombo chenye nguvu – piga 119 kwa msaada na ushauri bila gharama yoyote. #UleviSioDili #ICCAOTanzania
Very honored to have our Executive Director @SaleheZahra to have been chosen by Sprout to participate in its Leadership for Change for emerging young leaders across Africa and Europe. #YouthLeadership #CollectiveImpact #SustainableChange
Kwa mafanikio ya mradi wa Ulevi Sio Dili, ushirikiano kati ya wadau wote ni muhimu sana. Ushirikiano kati ya serikali, jamii, na ICCAO unahakikisha kuwa tunafikia malengo yetu ya kupambana na unywaji wa pombe kupita kiasi na matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana.
Ndoa za utotoni si ukiukwaji tu wa haki za binadamu, bali ni kikwazo kwa elimu, afya, na ndoto za mtoto wa kike. Tunatoa wito kwa viongozi wetu kuchukua hatua na kuweka umri wa kisheria wa ndoa kuwa miaka 18 bila ubaguzi wowote. #WaacheWasichanaWakue #BadilishaSheria
Hakuna mtoto anayepaswa kuolewa kabla ya umri halali. Viongozi wetu wanapaswa kuzingatia haki za wasichana kwa kuongeza umri wa kisheria wa ndoa hadi miaka 18. Kwa pamoja, tunaweza kumaliza ndoa za utotoni na kuunda mustakabali ambapo kila msichana yuko huru kufuata ndoto zake.
United States Trends
- 1. #mondaymotivation 19,9 B posts
- 2. Good Monday 42,8 B posts
- 3. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 4. Victory Monday N/A
- 5. #MondayVibes 2.419 posts
- 6. #MARK_Fraktsiya 263 B posts
- 7. Immanuel 4.614 posts
- 8. Carti 45,3 B posts
- 9. Trump 2028 7.594 posts
- 10. Alex Bruesewitz 10,3 B posts
- 11. Geno 18,2 B posts
- 12. Mona Lisa 38,6 B posts
- 13. Sam Howell 6.212 posts
- 14. Burna 29,5 B posts
- 15. Yellowstone 12,2 B posts
- 16. Acheron 6.188 posts
- 17. #BaddiesMidwest 14,9 B posts
- 18. Ernie 4.783 posts
- 19. Klay 14,1 B posts
- 20. Feliz Navidad 19,1 B posts
Who to follow
-
LSF
@LSFTanzania -
Tanzania CSO Network
@CSO_Network -
TAYOBECO Tanzania
@tayobeco -
Irish Embassy Dar
@IrlEmbTanzania -
USAIDTanzania
@USAIDTanzania -
Msichana Initiative
@MsichanaUwezo -
Sweden in Tanzania
@SwedeninTZ -
UNFPA Tanzania
@UNFPATanzania -
Tanzania Private Sector Foundation (TPSF)
@tpsftz -
UMATI TANZANIA
@UMATItz -
Pact Tanzania
@PactTanzania -
Kamala Dickson
@ItsKamala -
WiLDAF Tanzania
@WiLDAFTz -
Women Fund Tanzania Trust
@WomenFund_TZ -
Tanzania Media Women
@TAMWA_
Something went wrong.
Something went wrong.