@IAmChildOfTheK1 Profile picture

I Am Child Of The King

@IAmChildOfTheK1

Footboll

Similar User
Brighton Gutu photo

@gutu_gutu1

Ndo Yale ya mwenda zake afu Samia pia style


SAMIA wanawake walikupemda Sana lkn Sasa hivi hakuna hata moja mwanamke anaekupenda kutokana na makali ya maisha mikodi kibao MNASHINDWA NINI KUJIFUNZA KWA RAIS WA ZAMBIA,


SAMIA uku mtaani hawakutaki hata mmoja wanaokupamba ni hao mawaziri wako na wabunge wasiyojielewa ndo Wana kupamba, Lakini kiukweli hakunaanaekupenda hata moja mtaani, wewe Kama mama ndo ungejua UCHUNGU. ya watoto afu wee ndo umekuwa MWIBA zaidi,


MAMA umebugi sana unauwa wananchi wote, wewe unanunuliwa kila kitu mpaka nguo zote je mwanchi wa Ali ya chini anamaisha gani? NDO MAANA TUNAWABUNGE HOVYO BUNGENI WA CCM, kapende DALADALA tembelea MADUKA uone mwenyewe, yaan SAMIA umewasababishi wananchi maisha MAGUMU Sana,


Jamani watanzania tunapata shida sana kuhusu mafuta kupanda Bei, hii Dili ni ya watu wachache tu wanaoleta maumivu kwa watanzania ml60, RAIS Samia sijui anafanya nini ikulu kuumiza wananchi jamani, CCM time inayokuja mtapata shida sana MUNGU. anawaona maovu yote mnayoyatendea


Mama Samia Rais wa jamhuri wa Tanzania mbona bado umeshikilia MBOWE asiye na hatia?? Kwanini unamfunga MBOWE bila kosa? Kumbuka na wewe unafamilia una watoto yeye pia anafamilia Kama wewe, mwachilie unajua kabisa hili swala liko mikononi mwako wewe ndo unamfunga MBOWE


Nawakumbusha Tena wasitokee watu wapuuzi Kama huyu hapa eti muheshimiwa MUNGU, Hilo jina tuliogope sana ni la mwenyewe,peke take tu aketie MBINGUNI, haya uliyemuita mungu yuko wapi? MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU,


Maria hii imekaaje Mi nimeipenda hii sisi pia inatakiwa tufikie hatua Kama hii, CCM. ndo hawapendi hali Kama hii, wakubali wasikubali yatafika tu,

Tweet Image 1

Lema unaona hii aliyekuwa spika anavosema bro, aliwaumiza Sana bungeni hata mitaani pia afu anasema usimwombee kifo tafadhali, Mambo yanabadilikaga tu jamni tumwohope MUNGU,

Tweet Image 1

twitter.com/Kiganyi uyo kizuzu_/status/1479028549562556418?t=Ab1YL1ux5huGtfK3cJyfxg&s=09


Duh noma hii, Ndugai alikunywa NIPA bado inamtesa, Ila jamani Ndugai ni mgonjwa tokea kipindikile alivompigia ndg take ukichaa ulianzia hapo, hapa hakuna spika angekuwa na akili Ajiuzulu tu aisee,


Alikunywa pombe za kienyeji ndo CCM walivyo watu wa ovyo kupindukia hakuna mfano, wapigadili BOT wenyewe hao hao, nilijua tuna viongozi kumbe tuna majizi ndo wanatuongoza aibu kwa TANZANIA


Inatia AIBU Sana , MAJALIWA MPANGO BASHIRU ni wezi wakubwa BOT, yaan bora mjiuzulu tu, japo BASHIRU alishapigwa chini, Spika angekuwaanfata demokrasia bungelingechukua hatua kutokuwa na Imani na WAZIRI MKUU MAKAMU hawafai katika uso wa TANZANIA,

Tweet Image 1

VILAZA KWELIKWELI Sasa hivi ndo mnaonae, wakati mlishampigia Samia makofi eti anafaa saivi mnaanza Tena, UJINGA ni wa kwenu CCM na mtakula matapishi yenu, Na mjue SAMIA ni mzanzibari, Anafanya hivyo akijua atarudi kwao nzanzibar na Mtauzwa kweli kweli, mjifunze kwanzi sasa


Cjawahi kuona watu WAPUMBAVU Tena MAZUZU Kama Hawa mnachezea maisha ya watu afu unasema eti MUNGU. sipopenda,Kumbuka anaweka watawala madarakani ni MUNGU, Mtapigwa chini ndo mjue MUNGU akipenda,


Ni aibu mtupu kwa serikali uwwzo wa kufikiria ni mdogo sana hapo ndo uwezo wao ulipofikia

Tweet Image 1

Mama Samia mnaona Mambo haya? Afu unawaambia uma rti wananchi wamekubali TOZO ni utapeli ambao serikali inawafanyia wananchi wake, afu ZUZU yeye ni kupitisha tu bungeni kisa yeye ni spika UZUZU, msiumize wananchi kisa mkomadarakani,

Tweet Image 1

Nilishawaambiaga JOB nguai anapenda kujikomba anajipendekeza kila kukicha spika asiyejielewa hata siku moja, ZUZU ameanza kujipendekeza, eti serikali ya SAMIA sikivu aibu kubwa, serikali sikivu ndo iwabambikizie watu KESI. za kipuuzi hivi, JOB pole imeishiwa

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.