Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria songwe. @Sheria_Katiba
MSLAC: Elimu ya msaada wa kisheria ikiendelea kutolewa hapa halmashauri ya Wilaya ya Chemba kata ya Gwandi katika vijiji vya Gwandi na Rofati. @Sheria_Katiba
Afisa dawati la huduma za msaada wa kisheria halmashauri ya wilaya ya Iramba-Singida wamtembelea mwananchi nyumbani kwao Ruruma-kiomboi na kumsikiliza changamoto iliyokuwa inamkumba . Mslac nyumba kwa nyumba. @Sheria_Katiba
Ifakara wafurahia baada ya kunufaika na Kampeni ya misaada wa kisheria ya Mama Samia; Yaani Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) #DrSSH #Tanzaniakwanza #Maendeleo #Matokeochanya #katibanasheria #sisinitanzania
Mradi wa ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo–Busisi) umefikia hatua muhimu katika utekelezaji wake. Kufikia Oktoba 13, 2024, ujenzi ulikuwa umekamilika kwa asilimia 93, na matarajio ni kwamba daraja litaanza kutumika rasmi ifikapo Desemba 30, 2024. Daraja hili lenye…
Haki inapiga hodi nyumba kwa nyumba yaani unafuatwa ulipo 🤔hii Tanzania raha sana #sisinitanzania #mslac #matokeochanya #kaziiendelee #SSH
Mwaka 1954 ndio kwa mara ya kwanza mkoa wa Lindi ulipata Hospitali, lakini majengo mpaka huduma zake hazikuwa za kisasa, huduma kubwa hazikupata nafasi. Leo Hospitali hiyo imepandishwa hadhi na kuwa ya Kanda, huduma zote za Kibingwa sio tatizo tena kwa wana Lindi. @wizara_afyatz…
𝗝𝘂𝗺𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘇𝗲𝗲 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝗹𝗲𝗺𝗮𝘃𝘂 𝟮𝟮,𝟵𝟮𝟳 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗽𝗮𝘁𝗶𝘄𝗮 𝘃𝗶𝗳𝗮𝗮 𝘀𝗮𝗶𝗱𝗶𝘇𝗶 (𝗔𝘀𝘀𝗶𝘀𝘁𝗶𝘃𝗲 𝗽𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝘀 & 𝗧𝗲𝗰𝗵𝗻𝗼𝗹𝗼𝗴𝘆) 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗸𝗶𝗽𝗶𝗻𝗱𝗶 𝗰𝗵𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟯/𝟮𝟰. 𝗩𝗶𝗳𝗮𝗮…
"KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA (MSLAC) KUFIKA MTAA KWA MTAA" - WAZIRI DAMAS NDUMBARO #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
Aliyozungumza Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro tarehe 14, Desemba 2024
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Ubia wa Wadau wa Maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership (Southern Africa & GWP Africa Coordination Unit), alishiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi hiyo uliofanyika tarehe 13 Desemba, 2024, mjini…
𝗝𝘂𝗺𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝘀𝗸𝗮𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝘂𝗵𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝟰𝟴𝟴 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗮𝗷𝗶𝗿𝗶𝘄𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝘄𝗮 𝗳𝗲𝗱𝗵𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟯/𝟮𝟰 𝘚𝘩𝘪𝘳𝘪𝘬𝘢 𝘭𝘢 𝘏𝘪𝘧𝘢𝘥𝘩𝘪 𝘻𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢 (𝘛𝘈𝘕𝘈𝘗𝘈): 𝘈𝘴𝘬𝘢𝘳𝘪 217 𝘔𝘢𝘮𝘭𝘢𝘬𝘢 𝘺𝘢 𝘜𝘴𝘪𝘮𝘢𝘮𝘪𝘻𝘪 𝘸𝘢…
Waziri Ndumbaro Afunguka, Atoa Shukrani Kwa Bunge La Tanzania Kutunga Sheria Ya Kuwalinda Watanzania Wasio Na Uwezo, Wanyonge ,Maskini. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano…
KAMPENI HII ITAKWENDA KAMA MWENGE NA ITAMFIKIA KILA TANZANIA- Waziri Dkt Damasi Ndumbaro.. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan
"KWA UMOJA WETU TUMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUTUPATIA RAIS SAMIA, NCHI IKO SALAMA ,NCHI INASONGA MBELE KATIKA KILA ENEO " - DKT. NDUMBARO #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan
Haiba yake ni mwenye kusaidia, hapendi kuona watu wakiwa kwenye matatizo, anapenda kuona kila mmoja ana furaha na anafanikiwa. Rais Samia ni mwenye Utu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
Tupo tayali kuwahudumia wananchi wa h/m ya momba. ##sisinitanzania #matokeochanya @mslegalaidcampaign @sisinitanzania
📍 Stendi ya Zamani, Morogoro 🗓️13 Disemba 2024 WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AWASILI KATIKA VIWANJA VYA STENDI YA ZAMANI Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa Dkt Damas Ndumbaro amewasili katika uwanja wa Stendi ya Zamani Kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria…
United States Trends
- 1. #mondaymotivation 19,8 B posts
- 2. Good Monday 42,5 B posts
- 3. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 4. Victory Monday N/A
- 5. #MondayVibes 2.407 posts
- 6. #MARK_Fraktsiya 261 B posts
- 7. Immanuel 4.614 posts
- 8. Carti 45,3 B posts
- 9. Trump 2028 7.548 posts
- 10. Alex Bruesewitz 10,2 B posts
- 11. Geno 18,2 B posts
- 12. Mona Lisa 38,5 B posts
- 13. Sam Howell 6.204 posts
- 14. Burna 29,4 B posts
- 15. Yellowstone 12,2 B posts
- 16. Acheron 6.182 posts
- 17. #BaddiesMidwest 14,9 B posts
- 18. Ernie 4.767 posts
- 19. Klay 14,1 B posts
- 20. Feliz Navidad 19 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.