Msafiri Egno Haule
@Haule_MsafiriI, The Life-Long Student/Political Scientist/Guided by Principles/MKULIMA
Similar User
@MichaelNyamanza
@NoelMtafya
@Baba_Biii
@3rickii
@MpandaBoniphace
@Jmanya83
@jumanne_mk
@ChullyMussa
@YOUNGBO70224099
@BahatiPadri
@shao_thomas
@EmilyMwakilembe
@Odil_mahiri
Mzee Warioba ametimiza wajibu wake, hatumdai, hana deni lolote kwetu.
😄😂
Sherehe za mapinduzi zinafanyika, haifutwi Sherehe za muungano zinafanyika Siku muhimu ya Tanganyika ndio kila wakati inapangiwa matukio mengine
Lazima tusema sasa hivi amani imepungua sana, tusije kufikiri amani ni utulivu, kuna watu wanaogopa kwa haya yanayotokea.
WALIOJARIBU KUMTEKA MFANYABIASHARA DEOGRATIUS TARIMO WAKAMATWA
Mzee Warioba "Mchakato tumemaliza sasa hivi, na yametokea yale yale na chanzo chake ni wasimamizi wa uchaguzi, hili kwangu naona kama tukiendelea na utaratibu huu, tunajenga mazingira ya kuleta vurugu ambayo itahatarisha amani yetu"
Mateso anayopitia @mdudechadematz yamechochiwa na maamuzi ya Mahakama Jana! Ndo maana nikasema mahakama nayo ni katili, imeshindwa kuwalinda watu!! Siku watu wakiamua kujilinda itakuwa balaa!
Pamoja na Kumshikilia @mdudechadematz hatuwezi kuhangaika sana kWa sababu tunajua waliomshika na polisi wanalijua hilo kWa hiyo baya lolote litakalo mpata Mdude tunajua wa kumuwajibisha! Mapolisi msichojua ni kuwa mdude mahabusu haijawahi kuwa tishio kwake!
Nakataa kabisa kwamba Abdul amepanga njama atekwe kubadili agenda. Lakini naweza kukubaliana na hoja kwamba DOLA KATILI inaweza kuhusika KUMTEKA Abdul. DOLA KATILI ambayo IMEHARIBU na KUPORA uchaguzi inaweza kufanya lolote la KIPUMBAVU kuhamisha mjadala wa UMMA. Tusimuonee ABDUL
Kawaida: Jambo hili mliseme mkiwa mnamaanisha kabisa. Linahusu maisha yetu vijana. Tusitengeneze Taifa ambalo Vijana wa CCM ndio wawe na haki ya kuishi. Tuwe na Tanzania ambayo Vijana wa vyama wote wanaweza kutofautiana itikadi lakini wakajadili mambo. Nondo ni Mwanademokrasia.
You're a man. Act poor. Act broke. Act like a useless man. Have more than you show and speak less than you know. It’s very dangerous to showcase what God is doing in your life around unhappy people.
Watu pekee wenye uhakika na furaha kwenye hii nchi ni watekaji, polisi na viongozi. Na viongozi focus yao kubwa ni kufanya matamasha yao na kusifiwa.
Wanaotekwa ni vijana wenzetu, Je, sisi kama vijana tutaendelea kumuachia Mungu tu, tutachukua hatua au hayatuhusu? Tutaendelea kukaa kimya hadi lini au hadi tumalizwe wote?
Nini kinaendelea kuhusu Abdul Nondo. 1. Je stand ya Magufuli kuna CCTV CAMERA? 2. Je stand hii ina Mkuu wa Ulinzi na usalama na kuna uangalizi wowote wa abiria na Mali zao? 3 Je CCTV Canera mpaka sasa zinaonesha Jambao gani? 4. Je Polisi walitakiwa kutuambia kwa maandishi ya…
…. John Mnyika alipotoa Taarifa za Ali Kibao kutekwa na baadae kuuwawa Sio MSM wala Police walichukulia jambo lile kwa Uzito na upesi, badala yake walianza kumtisha na kutaka kumgeuzia kesi Leo umejifunza nini, na kama hujajifunza hutakaa ujifunze kitu kwenye SIASA za TANZANIA.
Sitaki kuamini kuwa watekaji wamewazidi nguvu na maarifa askari wetu. Haya matukio ni mengi sana na hakuna hata ambalo tumewahi kupata majibu zaidi ya neno "UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA". Nani wa kututoa kwenye mkwamo huu ikiwa mamlaka zimeshindwa kuwakamata hata walionekana wazi
Huu siyo wakati wa kutamba na takwimu za ushindi au kushindwa.Lazima sasa kurudi mezani na kukaa kama watu timamu kuona namna bora ya kutoka hapa.Kuna mkwamo na lazima tupate ufumbuzi jumuishi.
Ujue hawa Kenge watatumaliza tukiendelea kuwachekea?, wametuweka level ya kuku wao kutoa uhai ni rahisi Kama mwenye kuku anavyoamua kuchinja kuku wake? Kila siku nasema mtu anayetoa uhai wa mwenzie ni wa kutengwa na Jamii!!
Wazee walishasema! Na tumeona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!!!
CJ badala ya kufunda mahakimu juu ya kutenda haki, kuwa na weledi na maadili! CJ unatumia muda mrefu kumchamba Prof. Maina! Heshima yake si sawa na yako! Majaji waliotoka kwenye mfumo wa serikali wapo na hakuna kitu utatufanya! Hukumu za hovyo kibao zinashusha morali ya wananchi!
United States Trends
- 1. Spotify 1,98 Mn posts
- 2. $TOAD 4.457 posts
- 3. Pete 807 B posts
- 4. $PHNIX 5.909 posts
- 5. Brian Thompson 109 B posts
- 6. CEOs 18,7 B posts
- 7. Isak 20,2 B posts
- 8. United Healthcare 80,1 B posts
- 9. Nunez 21,2 B posts
- 10. Apple Music 221 B posts
- 11. Diontae Johnson 3.325 posts
- 12. Newcastle 43,2 B posts
- 13. Quansah 7.549 posts
- 14. Subsonic 3.968 posts
- 15. NASA 78,1 B posts
- 16. #NEWLIV 19 B posts
- 17. Chipotle 7.470 posts
- 18. Gomez 110 B posts
- 19. ACLU 45,2 B posts
- 20. Supreme Court 132 B posts
Who to follow
-
James Michael Nyamanza
@MichaelNyamanza -
The Goal is to be USEFUL✍🏽
@NoelMtafya -
👁Kisanga👁
@Baba_Biii -
Dollar Bill
@3rickii -
Boniphace Mpanda
@MpandaBoniphace -
Jm
@Jmanya83 -
Jmilimba JK
@jumanne_mk -
Chully Mussa Mkani
@ChullyMussa -
BATHROMAYO
@YOUNGBO70224099 -
bahati padri
@BahatiPadri -
JENERAL
@shao_thomas -
Emily
@EmilyMwakilembe -
XVIII
@Odil_mahiri
Something went wrong.
Something went wrong.