@HapuMabula Profile picture

Newtonzvisuals

@HapuMabula

Design Enthusiast || Elevating brands with high quality designs || I'm open for Contracts || Let's collaborate and create something amazing

Pinned

CONNECT WITH US TODAY 0753657829

Tweet Image 1

Resources nilizotumia plus the design itself

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Kuna hii site inaitwa ImageFx( of course ni image generator ),hii inakusaidia kutengeneza picha kwa kutumia prompts ,Site hii inakupa utofauti mkubwa sana wa picha utakayoitengeneza kwa kutumia site hii na site za image generator ,inakupa real image . Cha muhimu tu prompt yako…

Tweet Image 1

Moja ya kitu nimejifunza ni Kwamba AI haitachukua kazi yako Bali anayejuwa kuitumia vizuri ndio atachukua kazi yako. So ni muhimu kuendana na Mabadiliko ya teknolojia ,technology ipo kwa ajili ya kurahisisha kazi na kufanya kazi iwe yenye Ubora na kwa muda mchache .AI haipo…


How it started. How it ended

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Newtonzvisuals Reposted

Kuwa na degree ni hatua, Lakini ukweli ni kwamba degree hailipi bills. Kuna wana wapo chini ya maji: hawana degree, hawana connections, hawana msaada wa kifamilia. LAKINI: wanapiga content, wanauza mtandaoni, wanafundisha mambo waliyosoma mtandaoni, wanafundisha mambo…


Newtonzvisuals Reposted

Tafsiri ya “Kuenjoy” miongoni mwetu vijana ni uwepo pia matumizi ya vilevi ikiwemo pombe, ngono zembe, vyakula vibaya na muziki wenye sauti kubwa (High Sound Music) Bila mambo tajwa hapo juu, tafsiri ya kuenjoy inakuwa haijakamilika. #RedefineHappiness


Tuelewane kidogo : Elewa kwamba Animator na graphic designer ni watu wawili tofauti kabisa. Lakini inawezekana Animator akawa anajuwa kudesign kwahio Usitegemee kuajili graphic designer halafu afanye kazi pia kama Animator sababu ni taaluma tofauti kabisa.

Tweet Image 1

Tumia Rangi Vizuri ,Kila Rangi ina maana yake (color psychology) Rangi zina maana tofauti. Mfano, rangi ya bluu mara nyingi huashiria uaminifu na kitaalamu, wakati nyekundu huashiria nguvu au dharura.

Tweet Image 1

Watu wanahitaji kupewa taarifa muhimu kuhusu bishara / brand yako kwa njia rahisi. Je, machapisho yako ya mitandao ya kijamii yanasaidia kufikisha ujumbe huo? Kama post zako hazivutii macho ya watu, unakosa engagement na wateja muhimu. Fikiria poster ya mitandao ya kijamii…

Tweet Image 1

How it started. How it ended

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Newtonzvisuals Reposted

Kila la Heri kidato cha nne 🙏

Tweet Image 1

Utofauti kati ya CMYK na RGB Kwenye Designing

Tweet Image 1

Designer jitahidi kutumia Grid Systems Grids zinasaidia kupanga vitu kwa uwiano na mwonekano mzuri

Tweet Image 1

Designer hakikisha unatumia Resolution Sahihi Fanya kazi na high resolution ili kuepuka kazi isiyokuwa na quality


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.