Hilal Hamsini
@HamsiniHil59331Man Utd Fan💥 Teacher by Professional
Kwenye maisha usisahau kuwa hakuna pengo lisilozibika, hivyo usijipe sana umuhimu!
“𝘈𝘯𝘥 𝘐 𝘬𝘯𝘦𝘸 𝘵𝘩𝘦 𝘳𝘰𝘢𝘥 𝘸𝘢𝘴 𝘭𝘰𝘯𝘦𝘭𝘺 𝘢𝘯𝘥 𝘐 𝘥𝘪𝘥 𝘯𝘰𝘵 𝘩𝘢𝘷𝘦 𝘢 𝘤𝘰𝘮𝘱𝘢𝘯𝘪𝘰𝘯. 𝘚𝘰 𝘐 𝘮𝘢𝘥𝘦 𝘵𝘩𝘦 𝘘𝘶𝘳'𝘢𝘯 𝘮𝘺 𝘤𝘭𝘰𝘴𝘦𝘴𝘵 𝘤𝘰𝘮𝘱𝘢𝘯𝘪𝘰𝘯.”
10.) You can lose a lot of money chasing women, but you can never lose a woman while chasing money.
Ukiona mwanaume anaye amsha ugomvi kisa umesahau birthday yake. Au analalamika hakupewa zawadi ya birthday. Au akipewa zawadi anasisitiza rangi yake anayoipenda basi jua kuna shida sehemu au sehemu ndio imepata shida #ChrisMauki
Pesa na mamlaka ni vitu viwili vizuri ila ni hatari sana vitu hivi viwili vinapoangukia kwenye mikono dhalimu. Majuto na vilio lazima vitawale #ChrisMauki
“Moyo wako ukijawa na shukrani kwa Mungu, tabia na matendo yako vitabadilika.” - Charles Stanley
Kuna zawadi unahitaji akili kuzikataa, nyingine unahitaji hekima na nyingine ili uzikatae unahitaji neema. Kuna walio pokea zawadi wakajikuta wamekuwa zawadi wenyewe #ChrisMauki
Acha ego. Acha vyeti. Acha majivuno. Acha kujishitukiwa. Acha kujifananisha. Acha kuogopa visivyokuwepo. Acha kuogopa macho ya watu. Acha kujali wasiokulipia bills na kodi. WEWE NENDA FANYA.
UKWELI UTAKUWEKA KUWA HURU, LAKINI LAZIMA UKUUDHI KWANZA!
Kwenye maisha waliofanikiwa kidogo husumbua watu sana kwa makelele wakati waliofanikiwa kiukweli wamenyamaza, mafanikio yao ndio yanawasemea. Usisahau, debe tupu kamwe haliachi kuvuma #ChrisMauki
Safari ya kuomba msamaha inaanzia kwenye kujua kuwa umekosa. Tofauti na hapo jua tu mtu ataomba msamaha na asibadilike au hataomba msamaha kabisa ingawa unajua amekosa. Sio kila maamaha ni msamaha, mingine mizaha #ChrisMauki
Unaponyanyuka kimafanikio usisahau kuwa kuna watu waliwahi kukujali na kukupenda sio kwa ulivyokuwa navyo bali kwa jinsi ulivyokuwa #ChrisMauki
Kwenye maisha ni ngumu sana kumsaidia mtu ambaye anahisi wewe ndio unapata faida kwa kule kumsaidia yeye. Nakuhakikishia utachoka tu #ChrisMauki
Usifanye tu maamuzi kirahisi rahisi. Jitahidi kujua madhara ya maamuzi hayo kwanza. Bila hivyo majuto lazima #ChrisMauki
Ipo tofauti ya kujipenda mwenyewe na kuwa mbinafsi. Wengi wanajiongeza kwenye ubinafsi wakijitetea eti wanajipenda wenyewe. Kujipenda mwenyewe hakupunguzi kiu ya kuwapenda wengine #ChrisMauki
Kwenye maisha utakuja kugundua kuwa kumpenda mwingine au wengine ni jambo jema, ila kupenda wengine ukajisahau kujipenda wewe binafsi ni mbaya zaidi. Watu wa hivi kitaalamu wanaitwa “Savers”, wengi wanakufa kwa stress na depression #ChrisMauki
Kuna wakati utakuja kugundua shida na matatizo mengi yaliyokutokea ni kwasababu ulishindwa kutii sentensi ya “mind your own business”. Umejiingiza kujifanya unaupendo sana, unajali sana ukajikuta unaumizwa tu. Sio kila mtu atapokea upendo wako na kuuthamini #ChrisMauki
Kwenye maisha huwezi kutamani kuishi maisha makubwa wakati unataka kulipa gharama ndogo. Huwezi kutamani kwenda mbali kimafanikio na unataka kujiandaa kwa muda mfupi. Mavuno utakayo yanategemea na mbegu uliyoipanda ardhini #ChrisMauki
United States Trends
- 1. Dalton Knecht 17,5 B posts
- 2. #LakeShow 3.516 posts
- 3. #DWTS 25,3 B posts
- 4. Spurs 15,9 B posts
- 5. Cavs 48,7 B posts
- 6. Celtics 55,7 B posts
- 7. #RHOBH 9.609 posts
- 8. Linda McMahon 35,8 B posts
- 9. #WWENXT 27,1 B posts
- 10. #Lakers 1.087 posts
- 11. Tatum 32,6 B posts
- 12. Garland 67,1 B posts
- 13. Kam Jones 1.778 posts
- 14. Chris Paul 2.550 posts
- 15. Honduras 43,8 B posts
- 16. Marquette 4.949 posts
- 17. Keldon Johnson 2.994 posts
- 18. Chase U 5.599 posts
- 19. Cenk 28,2 B posts
- 20. Dorit 4.613 posts
Something went wrong.
Something went wrong.