@HagaiIwale Profile picture

MBALIZI BOY.

@HagaiIwale

Teacher, motivational speaker , writer and phycologist

Similar User
HAMIS HAMIS photo

@Hamishamis377

Luanda Chamkae photo

@LChamkae97761

GInIMbi photo

@FkiriMdamu

Mrs. Me❤️ photo

@MrsMe255

@shija sahani photo

@shijasahan

Mr Lil 🦉 photo

@zeelamanyonyo

Rais wa Mafala photo

@BABA_EUGEN

Dis-minder photo

@Its_Disminder

Gósçhe 🧠+ photo

@hapege15

Obrien Dinglefoot photo

@realdinglefoot

Tanzania mpya photo

@JohnMlay

NJE YA TAFTA YETU KUNA MAUMIVU NA MAJUTO HUENDA NDO YANACHELEWESHA KUPIGA HATUA. nachukia umaskin wa fikra.


Na washukuru rais wao ni wakiume...maana nilishaanza kunyemela.


Nafikiri kuanzia Sasa wanaume tusihangaike kufikiria ni Nini wanawake wanahitaji, hakuna Cha maana Hawa viumbe Huwa wanataka kile kitu ambacho wewe hauna na Mungu alivofundi hakupi vyote 😁😁


Ukiwa na demu malayamalaya nje ya kupata pressure na sukari usisahau kupata shambulio la moyo huku kukosana na washkaji itakua kama kifungashio. @HagaiIwale ✍️


Tuendelee kupambana hadi tone la mwisho Dunia haina huruma kwa mtu yeyote aitwae maskini. @HagaiIwale ✍️


Mwanangu aliibiwa pikipiki mpya Picha linaanza tunaenda polisi kureport tunaambiwa kuna askari pia pikipiki yake iliibiwa toka juzi na haijapatikana😂😂hadi leo. Mwana alizimia . @HagaiIwale ✍️


Note:"mafanikio hayatakiwi kukubadilisha tabia yako". Nitakua mimi daima. @HagaiIwale ✍️


Kuna mwanangu mmoja yeye havai gwanda ila simu zake utaskia ndio mkuu,wale file lao limekaje,ndio ofisa nakupata ovaaa. Huyu itakua mwana yupo kwenye system 😅😅😅


Kuna godoro ukilalia,usiku unaamka umechoka unaamka kupumnzika ili uendelee na usingizi tena 😂😂.MAE @HagaiIwale


Magodor mengine mkigombana ndani usiku linawapatanisha yaan mnajikuta tu mmekutana kati mmekumbatiana na hapo ndo mnaombana msamaha tuuh. @HagaiIwale ✍️


Madereva daladala muwe mnasubiri kidogo mtu akae kwenye seat ndo muondoe gari jaman, Leo nimembusu mwanajeshi na hivi ndo tunaondoka.

Tweet Image 1

Umaskin unaanza pale unapokua umeridhika. @HagaiIwale ✍️


HUYU NI BABU YANGU AMBAE KABLA YA GAME ALISEMA HII GAME NI SARE NDIO MAANA LEO SIKUA ON MOOD JAPO ALISISITIZA BAADA YA GAME YANGA WAPELEKE MBUZI MWEUSI MMOJA,KUKU WEUSI WAWILI NA KIDUMU KIMOJA CHA DAMU YA PAKA PORI😂😂 Bahati yenu frog 🐸🐸🐸MAE

Tweet Image 1

UTOPOLO MSIKAZE HIVYO VICHWA VYENU KAMA VIBUYU VYA WANZUKI MNATAKIWA KUELEWA KUA MMILIKI WA CHUMBA HALALI UKUTANI 😂😂MAE . SOKA SIO UGOMVI NI STAREHE 😂😂😂 @HagaiIwale ✍️


BAADA YA PURUKUSHANI NA WACHAWI USIKU NJOENI TUFANYE BIASHARA SASA NJOONI MUUZE MNUNUE PIA. MAE😅😅 @HagaiIwale ✍️


Siku moja ntaamka asubuhi nitawauliza mnataka niwafanyie Nini. Hii ndio ndoto ya kila mwanaume mtaftaji mbele ya familia yake. @HagaiIwale ✍️


Baadhi ya matatizo hayahitaji funga wala maombi.. Nenda kawaombe msamaha wale wanyonge uliodondosha machozi yao.🙏 Credit:@AziziKasese ✍️


Kwenye maisha shangilia vyote ila sio mateso au matatizo ya mtu Iwe kwa kutoa sauti au kimyakimya. Dunia bado inazunguka @HagaiIwale ✍️


Acha kuishi kwenye maumivu ambayo huenda uliyasababisha kwa bahati mbaya au makusudi kuna muda ruhusu yapite maisha yaendelee siku haijawahi kurudi nyuma kubali achilia. @HagaiIwale ✍️


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.