@GilbertSixbert3 Profile picture

The Northern light®🎆

@GilbertSixbert3

Just touring the universe ..

Similar User
𝓚𝓲𝓬𝓱𝓸𝓶𝓲 𝓜𝓪𝓷𝓭𝓪𝓵𝓪 photo

@Kichomi11

razaxck ramo'z photo

@ramizxck

MAASAI MUUZA DAWA 🌿 photo

@KimaniDawa

CFCGuy photo

@CFCGuy101

Mrs Rashid photo

@Queenbee1604

NDOBIR S. NASIOKI photo

@Duyujiedamaker

King Kola 🇳🇱. photo

@Kanenamagufa

Eddieeducation photo

@eddieeducation

mathew photo

@kahemamathew

Black blak photo

@masosi_gedion

Kitoi Leena🇧🇷 photo

@kitoileena

Giguna Kalelema photo

@Gigunakalelem

Hussein HM photo

@HusseinHM11

Libuma photo

@dullabuma

Prof.Rahim photo

@Fahimcalleb

The Northern light®🎆 Reposted

Jifunze kung'amua jema kwenye kila baya


The Northern light®🎆 Reposted

Kuna wakati Lucia alikaririwa akisema kwamba walipotokewa na Mwanamke yule, kutokana na hofu waliamua kuifanya iwe siri yao wao watatu lakini Jacinta hakuweza kutunza siri na akawa wa kwanza kusema mbele za watu hivyo ikambidi Lucia aelezee yote waliyoona na kusikia. Baada ya…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

–Akamwambia Lucia, “kawaambie kwamba Mungu amekusudia kuanzisha dunia Ibada kwa ajili ya moyo wangu safi”. Yaani wanadamu wakifanya Ibada wafanye pia Ibada kwa ajili ya moyo safi wa Mwanamke huyu na hayo ni maagizo ya Mungu. Mwezi wa 11 mwaka 2001 wakati Lucia akihojiwa, akaweka…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Ili tupate jibu la huyu mwanamke ni nani hebu tusome kile alichokisema maana kwa maneno yake mwenyewe aliyotamka tutajua yeye ni nani. –Akanyoosha kidole chake juu mbinguni na kusema; “I am a Lady” akimaanisha mimi ni mwanamke. Wengine wanasema vile kunyoosha kidole chake juu…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Kabla ya tukio hili la “miujiza ya jua” kutokea, watoto Lucia, Francisco na Jacinta walikuwa wamewajulisha wakazi wa mji wa Fatima kuwa tukio hilo litatokea siku hiyo na ndiyo maana wakazi wote walikusanyika ili kushuhudia. Watoto hawa walisema waliambiwa na “Mwanamke wa Ajabu”…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Cha ajabu jua hili lilikuwa halichomi wala haliunguzi, wala haliumizi macho licha ya watu kutizama juu! Ghafla jua likabadilika na kuwa kama vile limepatwa (Solar Eclipes), likawa linaonekana kama pete yenye kung’aa sana na mwangaza wa dhambarau ukaijanza nchi yote! Vitu vyote…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Watoto wa Fatima Ilikuwa ni tarehe 13/10/1917 muda wa saa saba na nusu hivi za mchana, wakazi wa mji wa Fatima huko Portugal walikuwa wamekusanyika katika eneo linaloitwa Cova Da Iria, nje kidogo ya mji wa Fatima. Maelfu kwa maelfu ya wakazi hao walisimama mbele ya Lucia,…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Mkutano na waandishi wa Habari kesho tarehe 19 Novemba,2024 . Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe atazungumza na watanzania.

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Soweto Catholic Church, Nairobi. x.com/i/broadcasts/1…


The Northern light®🎆 Reposted
Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Roma locuta; causa finita est.!


The Northern light®🎆 Reposted

Ruby Bridges, alikuwa mtoto wa kwanza mwenye asili ya Kiafrika kusoma shule ya wazungu pekee ya William Frantz nchini Marekani, akiwa na miaka sita mwaka 1960. Ruby alipewa ulinzi na maafisa wa polisi mwaka mzima kutokana na upinzani kutoka kwa jamii iliyopinga watoto weusi…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Kilichofanya Tundu Lissu apigwe Risasi na Magufuli Septemba 07,2017 ni kwa sababu ni "MSEMAKWELI". The 7th🇹🇿

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

📍VIDEO: "Wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura, na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi…


The Northern light®🎆 Reposted

Miaka 70 ya uwepo wa TLS Tanganyika haitakuwa na maana yeyote iwapo TLS itakosa relevancy katika kushughulikia changamoto za Kikatiba na kisheria zinazo waathiri watanganyika.Tunawajibu wa kushape agenda za Taifa.

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Alizaliwa Congo mji wa Lubumbashi akaanza kuimba Muziki akiwa na miaka 14. Akahamia Tanzania akaoa Mtanzania akabuni style yake ya Muziki inaitwa “Kamanyola”. Mtaalamu aliyeimba wimbo maarufu wa Kitambaa Cheupe, Boniface Kikumbi maarufu Kama King Kikii amefariki akiwa na miaka 77

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Kama unatenda haki na unatafuta kipato chako kwa njia halali, huwezi kunusurika kutekwa na wahuni waliojitambulisha ni polisi halafu ukawashukuru tena polisi wakati maharamia hao hawajakamatwa. Nafikiri, TARIMO njia zake siyo za haki na wahuni walitaka kumteka wakagawane mapato.


The Northern light®🎆 Reposted

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika katika misingi ya haki, demokrasia na kwa kufuata misingi ya kisheria ili amani iweze kutawala nchini Rai hiyo imetolewa na Rais wa TEC Askofu…

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

Kwa wale ndugu zangu wanaopenda kupata uwezo wa kuwaona wanga na wachawi siwashauri kabisa. Hii dunia ina vingi vya kutisha visivyoonekana kwa macho ya kawaida na ndio maana hata waganga na wachawi hawazivai hizo nguvu hivyo hivyo ni mpaka wafanye maandalizi maalum.

Tweet Image 1

The Northern light®🎆 Reposted

USIKU HUU NJE YA OFISI ZA MKUU WA WILAYA KINONDONI Wagombea wa CHADEMA wamepiga kambi hadi usiku huu ili kujua hatima za rufaa zao kutoka kamati ya rufaa ya wilaya ya KINONDONI. Nimetafakari sana,kwamba wakati huu Wanawake,Wazee wanaotaka kutimiza haki yao ya Kikatiba ya…

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.