@General_H23 Profile picture

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐•

@General_H23

Innallaha ma'as-sabireen

Joined December 2022
Similar User
G E N I U S photo

@professorIV01

Lester_Madrazo photo

@Lester_madrazo

Soy_Rey๐Ÿ‘‘ photo

@Feimaker08

Nduguyetu wa damu๐Ÿค  photo

@sirtino55

70๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ photo

@70sabini

๐’๐ฎ๐›๐ณ๐ž๐ซ๐จ๏ฃฟ photo

@romeus_255

๐™ˆ๐™ฉ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐Ÿ” photo

@zinzazili

Sullybinladen๐Ÿฆ photo

@jax_sully

RICCO photo

@itsricco123

muhibdromedary photo

@muhibdromedary

Barrelatela photo

@barrela_tela

Sematena photo

@sematena19

Taliban~20 photo

@mtaliban051

Timber TZA photo

@timbertzaa

tepth001 photo

@erickjuma2009

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Maisha nnayoishi angekua Mzungu was already passed away


๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Tuache utanii tangu hii track itokee hakuna kuikalishaa mpk now humu tumepewa madini ya Tanzanite huwezi pate sehemu nyengine inaweza kuwa hip hop funga mwaka kabisaโœ๏ธ #Romanza

Tweet Image 1

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

"Ushauri kwa kaka , Mahusiano si hija , Wanawake wasafi wapo kwenye filamu za kuigiza, Kwaiyo ndoa yako inapopinda jiongeze , Mwanamke shetani ukitaka Malaika mtengeneze". #UwaridiJeusi @dizastavina

Tweet Image 1
Tweet Image 2

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Kua Uone tofauti ya HALISI na BATILI, KuHAKIKI na kuBASHIRI , UMASIKINI na UTAJIRI, Usafiri uone tofauti USAFI na UKAFIRI, Kisha uone Kama utaHASI au utaSAWILI,


๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

PIGA SPANA PIGA SPANA!๐Ÿ”ง๐Ÿ”ง


๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

" Hakuna kitu kibaya sana duniani kama shida Haichagui mtu, siku wala mwaka Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi" {Mbaraka mwishehe}

Tweet Image 1

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Uchambuzi chupa moja ya ziada by dizasta vina themes Kwanza tujue kwanini wimbo umeitwa chupa moja ya ziada Maneno โ€œchupa moja ya ziadaโ€ yametumika kama maamuzi madogo ambayo yanaweza pelekea athari kubwa kama ilivyoonyeshwa na mwandishi.... ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ THREAD ๐Ÿงต

Tweet Image 1
Tweet Image 2

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Google Search Engine ipo matatani. Kuna search engine zipo intergrated na AI for Free "Repost " Comment "DM" nikutumie list

Tweet Image 1

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Kufanya Mapenzi na Mwanafunzi wa Shule ya Msingi au Sekondari Mwenye Umri Zaidi ya Miaka 18, Ambaye Ameridhia Kufanya Mapenzi, KOSA au SIO KOSA? Unaitafsiri Vipi Hii Hukumu? ๐Ÿค”โœ๐Ÿพ

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

๐”พ๐”ผโ„•๐”ผโ„๐”ธ๐•ƒ_๐• Reposted

Another round. Ile ngoma anawaelimisha walevi wanaoendesha. Nishashhuhudia kifo Cha mdada na mtoto wake mgongoni Kwa kosa la dogo janja mmoja tu aliyeiba alteza ya baba yake na kwenda kunywa bar. Yule mdada alikatika tunamuona. Siwezi sahau ile siku


Mchana si mchana bila vibao vya nguvu! Leo nakimbiza na mgoma ya mabantu 'tumekukataa' Wewe unaskiliza nini mchana huu?

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.