GSelemia's profile picture. Forever learner ✍️✍️

George Selemia

@GSelemia

Forever learner ✍️✍️

Joined July 2021
Similar User
ngovi_mwalimu's profile picture. mwalimu

@ngovi_mwalimu

lyimozad's profile picture. the man of dreamz

@lyimozad

Kenedyshirima1's profile picture. Public speaker &Human right Activist
#ChasoAlumni
#Bavicha
#GeneralSecretary@CHASOMoCU

@Kenedyshirima1

Xil3f_H's profile picture. #EE

@Xil3f_H

George Selemia Reposted

RETWEET PLEASE 🔁 TMDA CERTIFIED ✅ WhatsApp Link 👇 wa.me/message/2C7ZPE… Je mtoto wako ana changamoto ipi? •Anakosa hamu ya kula •Uzito kushuka/Kutoongezeka •Anakosa Choo •Magonjwa ya Ngozi •Ukuaji duni (Mwili kuwa dhaifu) N.K naweza kumsaidia. #SokoLetu 0752208997

Gaspinho15's tweet image. RETWEET PLEASE 🔁
TMDA CERTIFIED ✅
WhatsApp Link 👇 
wa.me/message/2C7ZPE…
Je mtoto wako ana changamoto ipi?
•Anakosa hamu ya kula
•Uzito kushuka/Kutoongezeka
•Anakosa Choo
•Magonjwa ya Ngozi
•Ukuaji duni (Mwili kuwa dhaifu)
N.K naweza kumsaidia. 
#SokoLetu 0752208997

George Selemia Reposted

“Ninajisikia vizuri sasa tofauti na mwanzo, nakula mwenyewe na ninakaa. Msijali kila kitu kitakua sawa. Mniombee,” kwa mara ya kwanza Mh. Proffessor Jay ametuma salaam kwetu.

Twaha_Mwaipaya's tweet image. “Ninajisikia vizuri sasa tofauti na mwanzo, nakula mwenyewe na ninakaa. Msijali kila kitu kitakua sawa. Mniombee,” 

kwa mara ya kwanza Mh. Proffessor Jay ametuma salaam kwetu.

George Selemia Reposted

karibu katika mchezo wetu mpya wa kuinuana😁. Tunamfollow Mtu Mmoja Kila Siku Mtu Mmoja Anatoka na 10K Kama Upo Tayari Piga Retweet Tukufollow na Nikuunge mkono 👋👋👋👋👋


George Selemia Reposted

Asiyependa mambo kama haya basi ana matatizo yake binafsi sio ya nchi mwanawane. 👏🏾 #MamaYukoKazini

mkandamizaji's tweet image. Asiyependa mambo kama haya basi ana matatizo yake binafsi sio ya nchi mwanawane. 👏🏾 #MamaYukoKazini

George Selemia Reposted

"Marais" wakutana faragha!

ngurumo's tweet image. "Marais" wakutana faragha!

George Selemia Reposted

Hatimaye hekima imetawala na mlango wa mazungumzo umefunguka. Sisi @ACTwazalendo tokea awali tunasisitiza kwamba mazungumzo ndiyo njia sahihi ya kupata ufumbuzi wa tofauti zetu za kisiasa na kuleta Mabadiliko. Hatua ya Rais kukubali kuonana na Bwana Lissu ni ya kupongeza sana

zittokabwe's tweet image. Hatimaye hekima imetawala na mlango wa mazungumzo umefunguka. Sisi @ACTwazalendo  tokea awali tunasisitiza kwamba mazungumzo ndiyo njia sahihi ya kupata ufumbuzi wa tofauti zetu za kisiasa na kuleta Mabadiliko. Hatua ya Rais kukubali kuonana na Bwana Lissu ni ya kupongeza sana
zittokabwe's tweet image. Hatimaye hekima imetawala na mlango wa mazungumzo umefunguka. Sisi @ACTwazalendo  tokea awali tunasisitiza kwamba mazungumzo ndiyo njia sahihi ya kupata ufumbuzi wa tofauti zetu za kisiasa na kuleta Mabadiliko. Hatua ya Rais kukubali kuonana na Bwana Lissu ni ya kupongeza sana

George Selemia Reposted

Tangu akiwa kijana, Obama alikuwa ananyoa Kwenye Saluni moja ya kinyozi anayeitwa Zariff wa Chicago. Hata baada ya kuwa Rais bado akawa anamuita Zariff Ikulu ili amnyoe. Sasa ni miaka 20 na Obama hajabadilisha hili. Mafaniko ya sasa yasitufanye tuwasahau Marafiki wetu wa Zamani.

ayubu_madenge's tweet image. Tangu akiwa kijana, Obama alikuwa ananyoa Kwenye Saluni moja ya kinyozi anayeitwa Zariff wa Chicago. Hata baada ya kuwa Rais bado akawa anamuita Zariff Ikulu ili amnyoe. Sasa ni miaka 20 na Obama hajabadilisha hili. Mafaniko ya sasa yasitufanye tuwasahau Marafiki wetu wa Zamani.

George Selemia Reposted

Madam President Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha uwezo wake mkubwa wa kuongoza nchi, ametoa speech nzuri katikati ya viongozi wenzake wa Dunia. Ikawe heri kwake na arudi nyumbani salama. #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿


George Selemia Reposted

Taf someni kitabu hiki. Utafiti wetu ukadhihirisha kwamba wenzetu Maasai wanakosa hata haki zao za kiraia (citizenship rights) kuwa na serikali yao ya mtaa. Yaani sheria za Mamlaka ya Ngorongoro ndio zina nguvu zaidi kuliko sheria zingine.

A translated Kiswahili version of Maasai Rights in Ngorongoro.Watu,waandishi wetu msiangamie ama angamiza wenzenu kwa kukosa maarifa @mshambuliaji @IssaShivji @Udadisi @PINGOsForum @HAKIARDHI @NavayaoleNdasko hiyo kopi inapatikana maktaba HAKIARDHI.

bernardbaha's tweet image. A translated Kiswahili version of Maasai Rights in Ngorongoro.Watu,waandishi wetu msiangamie ama angamiza wenzenu kwa kukosa maarifa @mshambuliaji @IssaShivji @Udadisi @PINGOsForum @HAKIARDHI @NavayaoleNdasko hiyo kopi inapatikana maktaba HAKIARDHI.


George Selemia Reposted

It has been 23 days since this patient arrived to the hospital and nobody has come to visit. this Pigeon comes every morning and rest on his chest. Later discovered that this man, used to seat in the park near by, and feed the 🕊 Pigeons in the park. Pure GODs love ♥️

Betsbreedt1's tweet image. It has been 23 days since this patient arrived to the hospital and nobody has come to visit. 
 this Pigeon comes every morning and rest on his chest. Later  discovered that this man, used to seat in the park near by, and feed the 🕊 Pigeons in the park. Pure GODs love ♥️

George Selemia Reposted

FEDHEHA NYINGINE: Mchezaji ambaye yupo kwenye eneo la offside hapaswi kunufaika na deflection au kucheza mpira uliookolewa na kipa. Sio goli halali kisheria. Another joke kutoka kwa mshika kibendera

privaldinho's tweet image. FEDHEHA NYINGINE: Mchezaji ambaye yupo kwenye eneo la offside hapaswi kunufaika na deflection au kucheza mpira uliookolewa na kipa. Sio goli halali kisheria. Another joke kutoka kwa mshika kibendera

George Selemia Reposted

Retweet widely so they can see it📌

CanaanArinda0's tweet image. Retweet widely so they can see it📌

George Selemia Reposted

‘Mzee Baba’, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. JK, karibu sana Musoma. Tunajua kuna takribani Kilometa 1,179 kutoka Kijijini kwako Msoga hadi hapa mjini Musoma, lakini kwa Mapenzi Mubashara uliyonayo kwa Chama chako, umeona umbali sio ‘inshu’ na umefika.

CloudsMediaLive's tweet image. ‘Mzee Baba’, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. JK, karibu sana Musoma. Tunajua kuna takribani Kilometa 1,179 kutoka Kijijini kwako Msoga hadi hapa mjini Musoma, lakini kwa Mapenzi Mubashara uliyonayo kwa Chama chako, umeona umbali sio ‘inshu’ na umefika.
CloudsMediaLive's tweet image. ‘Mzee Baba’, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. JK, karibu sana Musoma. Tunajua kuna takribani Kilometa 1,179 kutoka Kijijini kwako Msoga hadi hapa mjini Musoma, lakini kwa Mapenzi Mubashara uliyonayo kwa Chama chako, umeona umbali sio ‘inshu’ na umefika.

George Selemia Reposted

"When a rich man is sick, a poor man will pay him a visit to say sorry and wish him a speedy recovery. When a poor man is sick, he waits to recover then goes to tell that rich man that he has been sick" ~ Chinua Achebe

Africa_Archives's tweet image. "When a rich man is sick, a poor man will pay him a visit to say sorry and wish him a speedy recovery. When a poor man is sick, he waits to recover then goes to tell that rich man that he has been sick" ~ Chinua Achebe

George Selemia Reposted

Nataka kufollow watu 100 Mda huu..👇🙌🔥 Weka Handle yako like and retweet 🙌🙏🔥 Hakikisha Una follow back Chap chap..🙌🙏🔥🔥


George Selemia Reposted

PESA huongea lugha moja tu!,ukinitunza leo nitakusaidia kesho


George Selemia Reposted

🙏✌️

Unaemdharau leo na kumchukulia poa inawezekana ndiye atakaye amua hatma yako kesho mheshimu kila mtu bila kujali yupo katika hali gani Leo kwa sababu hujui kesho atakuwa nani?? Mtumishi wako Leo anaweza kuwa bosi wako wa kesho kwa sababu kwenye maisha hakuna kinacho dumu milel



George Selemia Reposted

Mtu hata badili maisha yake Kama hakuanza na kubadili fikira zake........ sijui tunaelewanaa?


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.