farijala kunga
@FarijalaKungaYoung diplomatic generation
Similar User
@kingkimanga11
@jooh89245107
@aman_mamotto
@ISemwali
@MathayoPalangyo
@KacheukaJ
@RainardLeonard
@Blackhat_ke
Mtu Unapoaminiwa Kwenye Kila nafasi/Kazi Itumikie kwa Weledi na Ufanisi Mkubwa huku ukiweka Uadilifu,Nidhamu na Kumtanguliza Mungu hakika ni Msingi wa Mafanikio.
Natoa Pole kwa Waathirika wote wa ajali ya Kuanguka kwa ghorofa,Katika Eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Mwenyezimungu awajaalie uponaji wa haraka majeruhi wote. Kwa waliofariki katika ajali hii Mwenyezimungu azilaze roho za Marehemu Mahali pema.
Mwanadamu Mwenye Tabia Njema na Moyo wa Kusaidia, Mwenyezi Mungu humpa Baraka na Neema. Hivyo Ukiwa na nafasi ya Kusaidia, Saidia kwa Kadri ya Uwezo wako, Mungu atakuinua Zaidi kwa Baraka zake.
Hongera sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa Kuaminiwa na Kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa asasi ya Ulinzi ,Usalama SADC
" *Theme TYF 2024: "Youth Participation in Leadership, Governance and digital* *transformation for Economic Development "* *Ushiriki wa Vijana Katika Uongozi,Utawala na Mageuzi ya kiteknolojia kwa Maendeleo ya kiuchumi*
"*Busara hurithishwa , Ukomavu wa* *Kiuongozi huja kwa Kujifunza."* #Leo nikiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mji Mpya pamoja na Mwenyekiti wa CCM Tawi Mji mpya
Akiba ni nzuri/muhimu siku zote, Ipo siku itasaidia, itakusaidia wakat mgumu Hivyo tuwe na Akiba katika Maisha Yetu Kuna wakati utafika utamaliza muda, Tuwe na maandaliz baada ya maisha ya duniani, Tujiandae vyema kwa Mungu kwa kufuata yale aliyotuamrisha.
Akiba ni nzuri/muhimu siku zote, Ipo siku itasaidia, itakusaidia wakati mgumu , Hivyo tuwe na Akiba katika Maisha Yetu. Kuna wakati utafika utamaliza muda, tuwe na maandaliz baada ya maisha ya duniani, Tujiandae vyema kwa Mungu kwa kufuata yale aliyoyaamrisha.
*Nafasi hii nitatekeleza kwa Weledi na Ufanisi Mkubwa , Tanzania Youth Forum 2024(TYF) 🔥 #Kazi ni Kipimo cha utu*
*Leo Tarehe 31.05.2024 Nimeongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri LOGISO DTC, #Kazi ni Kipimo cha utu. #Uongozi ni dhamana*
*Leo Tarehe 31.05.2024 Ziara Tuliyoifanya Ya kutembelea Wizara ya Habari na Mawasiliano kwa Lengo la Kujifunza. #Kazi ni Kipimo cha utu*
*Leo Tarehe 31.05.2024 Nimeongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri LOGISO DTC , #Kazi ni Kipimo cha utu*
"Uaminifu ni daraja la Kuyafikia Mafanikio, Kutokana na Matendo mema Mwenyezi Mungu hujaalia Baraka inayoambatana na Mafanikio Hivyo Uaminifu na matendoMema tuyaishi katika Maisha yetu Tutafanikiwa"
*Tuendelee Kumtanguliza Mungu kwa kila Jambo hakika Tutafanikiwa*
Urafiki na Udugu wa kweli ni kuendelea Kuombeana Mema. Tuishi kwa kufuata Maelekezo ya Mwenyezi Mungu Tuishi kwa hekima Tuishi kwa Nidhamu Tuishi kwa kujituma
United States Trends
- 1. Arsenal 158 B posts
- 2. Liverpool 127 B posts
- 3. Fulham 60,8 B posts
- 4. Everton 58 B posts
- 5. $DCARS 5.797 posts
- 6. $CUTO 10 B posts
- 7. Arteta 37,5 B posts
- 8. Go Army 11,2 B posts
- 9. Antonee Robinson 2.367 posts
- 10. #Dreamcars 1.796 posts
- 11. $VSG 4.196 posts
- 12. Jota 23,2 B posts
- 13. #LIVFUL 28,8 B posts
- 14. #Caturday 7.765 posts
- 15. Robertson 22,8 B posts
- 16. Odegaard 11,9 B posts
- 17. Martinelli 14,3 B posts
- 18. Robbo 5.929 posts
- 19. #ARSEVE 9.974 posts
- 20. Quansah 6.534 posts
Something went wrong.
Something went wrong.