@FanuelMkisi Profile picture

Fanuel Mkisi

@FanuelMkisi

Common Man

Joined October 2022
Similar User
Che Malone Fondoh 🇨🇲 photo

@Malone_Che_

Anthonymaximo photo

@Anthony14061781

kabaka photo

@DanidInnoc

Shamsa Abdulnuru photo

@shamsanuru93

Rammieh photo

@RamaS20450

CHIDE15 photo

@CHIDE151

Hassanali Mpita photo

@HassanaliMpita

Gforden photo

@hammyson_yasini

G Maker photo

@LamteiGast33790

MAGRETH MASHAURI photo

@MAGRETHMASHAUR1

kirua jr photo

@mjematias

Phatah Ikwachi photo

@HABIBUSHABANI15

Maneno Kiza photo

@maneno_kiza

شراء أثاث مســـــــتعمل شرق الرياض 🇸🇦 photo

@5QQGG

aman aljabri mayuma photo

@AmanAljabri

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Familia yangu itasonga MBELE, haiwezi kurudi nyuma. Haleluya, YESU ni Mzuri.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMANNE YANGU.

Familia yangu itasonga MBELE, haiwezi kurudi nyuma. 

Haleluya, YESU ni Mzuri.

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Jumamosi yangu IMEBARIKIWA na BWANA; Mimi SIFI kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Mimi NITAMALIZA Safari yangu Salama na NITAFIKISHA Umri ambao BWANA amenipangia ili ATUKUZWE!!!. Haleluya, YESU ni Mzuri.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.

Jumamosi yangu IMEBARIKIWA na BWANA; Mimi SIFI kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Mimi NITAMALIZA Safari yangu Salama na NITAFIKISHA Umri ambao BWANA amenipangia ili ATUKUZWE!!!.

Haleluya, YESU ni Mzuri.

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Jumatatu yangu IMEBARIKIWA na BWANA. Mimi ni wa Mambo Mapya kwa kuwa Mimi ni Mpya. Haleluya, YESU ni Mzuri.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMATATU YANGU.

Jumatatu yangu IMEBARIKIWA na BWANA. Mimi ni wa Mambo Mapya kwa kuwa Mimi ni Mpya.

Haleluya, YESU ni Mzuri.

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA; hivyo NITAMILIKI na KUTAWALA. Haleluya, YESU ni BWANA.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMATANO YANGU.

Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA; hivyo NITAMILIKI na KUTAWALA.

Haleluya, YESU ni BWANA.

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. SITAKUFA, wala magonjwa HAYATANIUA, ajali HAITANIUA, wala mapenzi ya chochote HAYATATIMIA Kwangu, ila BWANA Atatimiza Mapenzi yangu; yale NINAYOYATAMANI na yale ANAYOYATAMANI YEYE, YATATIMIA Kwangu, maana Mimi ni pamoja NAYE. Haleluya, BABA Nakupenda.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.

SITAKUFA, wala magonjwa HAYATANIUA, ajali HAITANIUA, wala mapenzi ya chochote HAYATATIMIA Kwangu, ila BWANA Atatimiza Mapenzi yangu; yale NINAYOYATAMANI na yale ANAYOYATAMANI YEYE, YATATIMIA Kwangu, maana Mimi ni pamoja NAYE.

Haleluya, BABA Nakupenda.

Fanuel Mkisi Reposted

“Rule No. 1: Never lose money. Rule No. 2: Never forget Rule No. 1.” — Warren Buffett

moodewji's tweet image. “Rule No. 1: Never lose money. Rule No. 2: Never forget Rule No. 1.” — Warren Buffett

Fanuel Mkisi Reposted

Learn how to close the window that hurt you, no matter how beautiful the view is….

LugumiL's tweet image. Learn how to close the window that hurt you, no matter how beautiful the view is….

Fanuel Mkisi Reposted

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Kwa sababu nimeyapokea Mashauri ya MUNGU BABA yangu; Mimi NIMEBARIKIWA. Haleluya, YESU ni Mzuri.

efathachurch's tweet image. NAIBARIKI JUMATATU YANGU.

Kwa sababu nimeyapokea Mashauri ya MUNGU BABA yangu; Mimi NIMEBARIKIWA.

Haleluya, YESU ni Mzuri.

Fanuel Mkisi Reposted

Samaki anayefumba mdomo wake, hashikwi na ndoano ya mvuvi #ElimikaWikiendi


Fanuel Mkisi Reposted

Kwenye kitabu cha mafanikio kuna kurasa hua hazisomwi kabisa, Tuamke tukaziandike.


Fanuel Mkisi Reposted

Leo focus ipo kwa adui 😅 Moja kati ya vitu maadui zako wanakosea sana ni kukucheka wakati upo chini. Wangejua vicheko vyao ndo vinakupa hasira ya mafanikio wangekaa kimya kama haupo vile. Ukitaka kumuweza adui “Mvuruge akiwa juu aanze kuwaza kushindana na wewe wakati wewe hauna…


Fanuel Mkisi Reposted

"I promise to be the president of all South Africans, not some South Africans." - Cyril Ramaphosa Congratulations to President Cyril Ramaphosa on his ascension to the presidency of South Africa. @CyrilRamaphosa

DrSalimArchive's tweet image. "I promise to be the president of all South Africans, not some South Africans." - Cyril Ramaphosa

Congratulations to President Cyril Ramaphosa on his ascension to the presidency of South Africa.

@CyrilRamaphosa

Fanuel Mkisi Reposted

“I might just be my mother’s child, but in all reality, I’m everybody’s child… I was raised in this society.” -Tupac Shakur

2PAC's tweet image. “I might just be my mother’s child, but in all reality, I’m everybody’s child… I was raised in this society.” 
-Tupac Shakur

Fanuel Mkisi Reposted

Goodmorning! Never hate people just because they are doing better than you learn from them or just mind your own bzness


Fanuel Mkisi Reposted

Usiwaombee adui zako vifo Maana utazika sana ndugu na rafik zako #NiHayoTuKwaLeo


Fanuel Mkisi Reposted

Njia ya Uhakika ya Kuiua Ndoto Yako ni Kuwaambia Watu Kabla Haujaanza Kuifanya!


Fanuel Mkisi Reposted

Ukitaka kuwajua watu waliomaliza muda wao katika maisha yako, pata shida. Ukitaka kusajili watu wapya wenye msaada katika maisha yako, pata shida. Shida huwasogeza mbali wale uliodhani unao, na hukuletea wapya wa kuwatumainia ambao hukuwategemea.


Fanuel Mkisi Reposted

Kanuni za maisha 1. Usipoulizwa, usijibu 2.Usipoalikwa, usiende 3.Usipoombwa ushauri, usitoe ushauri 4.Usiposhirikishwa jambo, usishiriki 5.Usipoheshimika, Jiheshimu 6. Ukipata mtu mwenye uwezo kuliko wewe, fanya naye kazi, usishindane


Fanuel Mkisi Reposted

"Wanaosimama katikati ya njia zetu maishani, hutusaidia kuiona njia sahihi ya kupita." ~Togolani Mavura.

SikilizaTogolan's tweet image. "Wanaosimama katikati ya njia zetu maishani, hutusaidia kuiona njia sahihi ya kupita." ~Togolani Mavura.

Fanuel Mkisi Reposted

Kamwe, Usiya amini machozi ya muuza majeneza msibani


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.