@FANUELSINDIKA Profile picture

FANUEL SINDIKA

@FANUELSINDIKA

#Advocate of Fair distribution of resources # Believe in Family Principles

Joined April 2014
Similar User
JUSTICE photo

@CosmasSanga19

Zedy photo

@Zedy48195456

Shikilie Shikilie photo

@SShikilie77551

Kajoyo Farms photo

@Realkajoyo

Daba photo

@VenanceMalekela

Rajab Senga photo

@RajabSenga4

Ezekia Ntinda photo

@ntinda_ezekia

kungwi la kisemvule photo

@charlse_modest

Buzwag!. photo

@katambala50

DICKSON BUGOTA photo

@diklabugota

Seba Sichone photo

@SebaSichone

bene mbise photo

@BeneMbise

FANUEL SINDIKA Reposted

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Archbishop Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, OFM Cap. 👏 Kanisa Katoliki la Mitume limetimiza wajibu wake


FANUEL SINDIKA Reposted

Ni kwa neema zake Mungu nipo hapa mbele yenu leo nikiwa na nia thabiti ya kutangaza dhamira yangu ya kugombea nafasi ya BAVICHA. Nafasi hii ni ya heshima na wajibu mkubwa,ninaelewa kwa undani mahitaji, changamoto, na matarajio yetu kama vijana wa taifa hili ndani ya chama

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Kiongozi wa Chama cha @narckenya, @MarthaKarua amelaani matukio ya kutekwa nyara, kuteswa na kuuawa kwa viongozi wa upinzani nchini Tanzania. Martha, we're thankful for your love towards the Tanzanian community and express our gratitude to you. We’re comforted to see (you)…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

FANUEL SINDIKA Reposted

‼️WAJINGA WAMEISHA TANZANIA‼️ Naona mmeandaa script ya kijinga kuja kusema utekaji unaoendelea unaendeshwa na raia wa kigeni! Hawa raia mliowakamata Njombe ni raia wa nchi gani!? Wanakuwaje hadi na namba bandia za kitanzania!? Waache kuteka na kuiba nchini kwao waje Tanzania?…

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Mkiwateka na kuwaua watu wetu, tupeni maiti popote ardhini palipo na makazi, wapatikane na familia zipate nafasi ya kuzika kwa heshima. Msitupe maiti za watu mliowateka na kuwaua kwenye mito yenye mamba na mapori yenye wanyama wakali. Acheni uduanzi. Tuna ndugu zetu, wanatupenda.


FANUEL SINDIKA Reposted

CHADEMA kuandamana endapo waliopotea hawatarejea.


FANUEL SINDIKA Reposted

Naona mnatishwa kuwa @DEUSDEDITHSOKA na wenzake watakuwa wameuwawa hii si kweli Wanachotaka tunyamaze wamalizane nao! Nawaambia Soka na wenzake wapo wanatusikilizia! Aminini “kelele” zetu si kwamba hawasikii au hawajali! Tusinyamaze na tusiache kumpigia “kelele” mtu akitekwa -…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

FANUEL SINDIKA Reposted

Wakati tunamsafirisha Edgar Mwakabela, @Sativa255 kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Katavi - Dar es Salaam, KRRH walitaka kwanza walipwe Sh. 2 milioni ya ambulance na posho ya dereva Sh. 600,000. Pia, kulikuwa na escort ya askari polisi wawili ambao walitoka ofisi ya RPC…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

FANUEL SINDIKA Reposted

Dada @MiriamMkanaka anahitaji pongezi katika ishu ya Edger Edson Mwakabela (Sativa). Kazi aliyofanya yeye na vijana wenzie wengi sana ni kazi iliyotukuka, kuna mengi bado hayajasimuliwa kufika hatua ya leo. Kwa bahati mbaya sana hamjui nguvu yenu. Watekaji na wauaji pamoja na…

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

TAARIFA; Matibabu ya Edgar Mwakabela (SATIVA) Habari ndugu zangu wote, Nipo hapa kuwapa taarifa ya maendeleo ya matibabu ya Edgar Edson Mwakabela (@Sativa255) ambaye anapata matibabu The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam. Kutokana na vipimo vikubwa vya madaktari wabobezi wa The…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

FANUEL SINDIKA Reposted

MAONI YANGU KUHUSU MCHANGO WA RAIS. Familia ya @Sativa255 haijapokea fedha za Rais. Katika michango ya 𝕏 hatujapokea fedha za Rais. Fedha hizo kutoka kwa Rais, Sh. 35 milioni, wameingiza katika akaunti ya Aga Khan Hospital. Hatuhusiki nazo. Hadi leo, Julai 2, 2024, Aga Khan…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

FANUEL SINDIKA Reposted

Katika KUPINGA UTEKAJI nchini Tanzania, Mimi NITACHANGIA TZS 100,000 kwa ajili ya MATIBABU ya ndugu SATIVA. Nawaomba na WAPENDA HAKI wengine MCHANGIE MATIBABU YA SATIVA ili KUOKOA MAISHA YAKE.

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Unatolewa Dar/Arusha kisha Katavi umeshateswa sana,wanafika porini wanakupiga risasi ukiwa huwezi kutembea wanakuacha katikati ya pori lenye wanyama wakali. Wakiamini umekufa na wanyama watasaidia kupoteza mwili wako,asubuhi wanakuona kwenye mitandao. Bado una mashaka na Mungu?

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Ni video inayosikitisha....


FANUEL SINDIKA Reposted

JINA; Tito Magoti UMRI; 29 ELIMU; Shahada ya Uzamili katika Sheria na Matendo ya Haki za Kibinadamu, Chuo Kikuu cha York Uingereza, Shahada ya Kwanza ya Sheria, Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tanzania na Stashahada ya Uzamili katika Utendaji wa Sheria katika Shule ya Sheria ya Tanzania…

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Siasa sio "hobby". Hata mimi nilikuaga na huo ujinga. Ushakua mtu mzima jiheshimu na ufuatilie siasa za nchi yako. Anza kuuliza ujue hata kama ni vya kijinga wako watu wengi who will HAPPILY help you. Zijue siasa za nchi yako. Hauna nchi nyingine. Jiheshimu and grow up 🫵🏾


FANUEL SINDIKA Reposted

Katiba ya Zanzibar katika sehemu yake ya kwanza inaeleza kwamba; Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi nyingine ipo wapi? Tanganyika haijatajwa hapo. Katiba ya Zanzibar imeeleza; Zanzibar ni nchi ambayo ina eneo lake lenye mipaka…

Tweet Image 1

FANUEL SINDIKA Reposted

Kuna swali nimeona watu wengi wanauliza na kushangaa kwanini makachero wa jeshi la polisi kutoka Arusha wanakuja Dar es Saalam kwa ajili ya kufanya upelelezi na kumuhoji Boniface Jacob? Polisi wametueleza, Boniface Jacob alizua taharuki na kufanya uchochezi pia Arusha kwa…


FANUEL SINDIKA Reposted

Viuatilifu vyatajwa kuchochea ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.