Edwin Thomas
@EdwinThomasyHusband|| Father|| BSc.N || Former Worker at Muhimbili National Hospital || Coordinator General Surgery Department at KCMC ||Chairperson TANNA KCMC BRANCH
Similar User
@myhealthjogging
@sam_md_29
@Dr_Alwatan_DDS
@LaizerMelio
@MK_13C
@asante_mbanga
@emmsamz
@SomatostatinH
@Nyolobi_patrick
@PaschalEutim
@pluto_hellium
@mkunga15
@mujotusu
@zygote222
@yet_tano
Happy Birthday to You My Lovely Daughter, May God Bless you More 🎂🎂
SALAMU ZA POLE.
Ceremony to honor Emeritus Professor Karim Manji on his outstanding academic achievements #Save the date#15 October 2024#
📢 Taarifa Muhimu Kuhusu Ugonjwa wa Mpox 📢 Soma mabango haya kutoka Wizara ya Afya @wizara_afyatz ili ujifunze kuhusu dalili za Mpox, jinsi ya kujikinga, na matibabu. Sambaza kwa jamii yako! 🦠🛡️ NB: Ugonjwa huu bado haujaingia Nchini. #MtuNiAfya #ZuiaMpox #TanzaniaSalama
Elimu ya Afya : Tatizo la Osteoporosis baada ya Ukomo wa Hedhi kwa Wanawake. 1/ 📢 Elimu hii ni kwa ajili ya mama zetu na bibi zetu ❤️. Umewahi kuwasikia wataalamu wakizungumzia kuhusu kuvunjika mifupa au maumivu ya mgongo? Sababu kuu ni “osteoporosis.” Wataalamu wa mifupa…
Madaktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu kutoka @kcmc1971 @muhimbili_mloganzila @muhimbili_taifa watafanya upasuaji kwa wagonjwa wenye vivimbe kwenye ubongo pamoja na watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi katika hospitali ya KCMC kuanzia tarehe 15-19/04/2024
Madaktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu kutoka @kcmc1971 @Mloganzila_ @MuhimbiliTaifa watafanya upasuaji kwa wagonjwa wenye vivimbe kwenye ubongo pamoja na watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi katika hospitali ya KCMC kuanzia tarehe 15 - 19/04/2024
ELIMU LISHE - ELIMIKA KUHUSU MADINI LISHE AINA YA MAGNESIUM Magnesium ni madini lishe muhimu sana kwa afya yetu kama mwanadamu. Madini haya yanahusika katika kazi za kikemia na kifiziolojia zaidi ya 300 mwilini. Baadhi ya kazi ni pamoja na: - Kusaidia utendaji kazi wa…
AFYA | MAUMIVU YA KICHWA Maumivu gani ya kichwa hutakiwi yapuuzia, unatakiwa kuchukulia seriously? ➡️Maumivu ya kichwa mara nyingi sio jambo la kutisha. ➡️Sababu kuu ya maumvi ya kichwa ni maumivu ya kichwa yanayotokana na msongo (tension-type headaches) vilevile kipandauso…
Dondoo🔥 Ikiwa unatamani kula kitu tamu, kula kitu chenye uchachu. Inafanya kazi kweli! Kula vyakula vyenye uchachu kama limau, ndimu. Uchachu unakata hamu ya vitu vitamu. Kumbuka: Sukari hulets hali kuwa na hamu nayo (Cravings )💫
Afya ya Kinywa na Moyo | cc. @elimuyaafya Unaweza kufikiria kuwa kinywa na moyo havina uhusiano wa karibu. Lakini ushahidi unaoongezeka unaonyesha kuwa huenda moyo na kinywa vikawa na mahusiano ya karibu. Watafiti wanashuku kwamba bakteria katikakinywa kichafu chenye ugonjwa…
BANDAMA: Chujio muhimu na mshiriki wa mfumo wako wa kinga BANDAMA yako ni kiungo chenye ukubwa wa ngumi kilichojificha kwenye sehemu ya juu kushoto ya tumbo lako, chini kidogo ya kiwambo na nyuma ya tumbo lako. Ingawa huenda kisiwe kiungo maarufu zaidi, bandama ina jukumu…
Kisukari ➕ Sigara = Mshipa mkuu wa damu unaohudumia mguu kuziba. Matokeo: kupoteza mguu. ✅Pima kisukari ✅Dhibiti sukari ❌Usivute Sigara ❌Dhibiti Pombe
Vyakula vilivyochakatwa viwandani na uhusiano wake kwa Afya Yako ➡️Kuelewa wigo wa uchakataji wa chakula na athari zake kwa afya ni muhimu sana katika kufanya maamuzi yanayofaa kuhusu vyakula unavyotumia mara kwa mara. Uainishaji wa aina ya Chakula Kulingana na namna…
Kuhusu Saratani ➡️Saratani ni moja ya kati ya vyanzo vikuu vya vifo duniani, ikisababisha karibu vifo milioni 10 mwaka 2020, sawa na karibu moja kati ya vifo sita. ➡️Saratani zinazoongoza ni pamoja na: - Saratani ya matiti - Mapafu - Utumbo mpana na puru - Saratani ya kibofu.…
United States Trends
- 1. Pam Bondi 39,5 B posts
- 2. Brian Kelly 2.449 posts
- 3. Gaetz 899 B posts
- 4. Bryce Underwood 11,9 B posts
- 5. #GoBlue 4.317 posts
- 6. Ken Paxton 21,1 B posts
- 7. Aaron Judge 12,8 B posts
- 8. Shohei Ohtani 21,8 B posts
- 9. DeSantis 34,1 B posts
- 10. Rubio 48,7 B posts
- 11. Browns N/A
- 12. Lindor 2.495 posts
- 13. Collins 104 B posts
- 14. Trey Gowdy 7.794 posts
- 15. Dashie 5.881 posts
- 16. Mark Levin 3.042 posts
- 17. Portnoy 1.043 posts
- 18. LSU to Michigan 4.044 posts
- 19. AL MVP 5.776 posts
- 20. John Curtis 41,6 B posts
Who to follow
-
My Health Jogging Team
@myhealthjogging -
Samson Ngonyani
@sam_md_29 -
Abdallah Mohamedi 🦷
@Dr_Alwatan_DDS -
Melio Laizer
@LaizerMelio -
Chris Makoremay
@MK_13C -
Asante Mbanga-RN
@asante_mbanga -
Emmanuela Maira
@emmsamz -
@~Somatostatin!
@SomatostatinH -
NyolobiDr 🩺 💊
@Nyolobi_patrick -
Paschal Eutim
@PaschalEutim -
🕸CASABLANKA ANTANANARIVO°🪶
@pluto_hellium -
Joseph ⚕️
@mkunga15 -
Wesley Mushy
@mujotusu -
AFISA MUUGUZI JOBLESS
@zygote222 -
tomboy
@yet_tano
Something went wrong.
Something went wrong.