Edwin Ayieko
@EdwinAyiek646MD || Dirrector at De Ayieko Pharmacies || Father & Husband || S.D.A Member || CHADEMA Kahama Municipal || Young Africa Club Fan.
✅
Mwenye neno na aseme sasa.. kama hayupo na ANYAMAZE MELELE.
Kiumeni 💪
Tusivimbe tukajisahau. Hii imenikumbusha jamaa alijengelea kaburi la Membe. Na lilichimbwa na hao hao unaowaona kama vibaka. Mungu atusaidie sana.
Bro/sister hapa mtaani kwako kuna watu huwa unatupita. Ni vijana fulani ambao tumechoka hivi. Ukituangalia ni kama wavuta bangi, walevi, tumechoka kimaisha, hatujawahi hata kubadili nguo. Kwa haraka haraka ukiangalia tu sura zetu unahisi kabisa sisi ndo wezi au vibaka wa…
Uskute huyu jamaa alimuuliza Samia eti Unaitwa nani!? Kama hamjui vile🤣🤣
Kuachia ilikuwa lazima hata iweje.
Baaado hajasema, yaan apo badooo!!
Chakula cha mchana unashushia na Kikaragosi 😂😂😂 na bado baadae jioni tena 😂😂😂
🤝
Hii ikaku-motivate Nguruwe ndio mnyama anayechukiwa na jamii fulani duniani kote, lakini bado ananenepa,ananona na kunawiri kila siku!! Usiogope kuchukiwa….Stay strong!!
Wakisema wamesahau WAKUMBUSHE!
Throwback Thursday ya Wananchi.💚💛 Please Retweet ifike mbali.
Nimeliona hili kwa vitendo🤝
Usiwaumize wazazi wako kwa kuwafurahisha watu wengine, Watu wengi wako tu pale unapokuwa na kila kitu, lakini unapoishiwa wazazi wako daima watakuwa na wewe.
Kama kibaki alishinda uraisi akiwa kwenye "wheel chair" kwa sapoti ya Odinga, Mwamba anashinda akiwa jela na hakuna shida. ✌️✌️✌️✌️
Hii siku itangazwe kitaifa iwe fundisho kwa makampuni yote.
‼️CHONDE,CHODE ,JIONGEZE‼️. Shangazi @MariaSTsehai mshauri mhe @TunduALissu ATANGAZE siku ya kurudisha LINE ya TIGO ,tutamsindikiza kwa MAANDAMANO hadi Makao Makuu ya @Tigo_TZZ Tutarudisha line zetu kuonyesha HASIRA na iwecFUNDISHO kwa makampuni mengine.
Wamtume Mafwele sasa🤣🤣🤣
Pamoja na magumu yake yote, ila kuna muda alikuwa anakuwa na kamoyo ka kujali na kuguswa, huyo mama yenu hata kuigiza tu kashindwa.
Sa Mwenyekiti wetu kwenda kuskikiza kesi nayo imekuwa kesi? Kuna mambo yanatia hasira sana basi tu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Reuben Ntobi, alikamatwa na polisi waliovaa kiraia na kumzuia kuingia ndani ya viwanja vya Mahakama ya Kisutu. Amepelekwa Central Police DSM. @Ntobi_ alifika Mahakamni kusikiliza kesi ambayo Jamhuri imemshtaki @ExMayorUbungo
📌
Ikitokea kesho nimekufa kwa kupigwa risasi na Polisi, msilie; shangilieni kwa kuwa sintakuwa nimekufa kwa kuiba au kudhulumu mali ya mtu bali kwa kupiginia haki na hasa hasa haki ya kuishi. Haki inayolindwa si tu na katiba yetu bali pia na sheria za kimataifa.
📌
Maeneo 7 ambayo unapaswa kuwa nayo makini 1. Kuwa makini na Amani yako. 2. Kuwa makini na Malengo yako. 3. Kuwa makini na mahusiano yako. 4. Kuwa makini na Imani yako. 5. Kuwa makini na Afya yako ya Akili. 6. Kuwa makini na Maisha yako. 7. Kuwa makini na Wewe mwenyewe.
United States Trends
- 1. soobin 96,6 B posts
- 2. Cowboys 70,1 B posts
- 3. KADOKAWA 36,9 B posts
- 4. Clippers 12,1 B posts
- 5. Eliza 13,3 B posts
- 6. Texans 52,4 B posts
- 7. Jerry 42,6 B posts
- 8. #EeveeDay N/A
- 9. Fultz 1.553 posts
- 10. Norman Powell 2.034 posts
- 11. #پاکستان_میری_پہچان N/A
- 12. Lindy 3.770 posts
- 13. Eevee Evolution N/A
- 14. Cooper Rush 12 B posts
- 15. sabrina 114 B posts
- 16. Keon Ellis 1.751 posts
- 17. #AskShadow 7.613 posts
- 18. Mixon 18,2 B posts
- 19. The Herta 28,1 B posts
- 20. Dyson Daniels 2.912 posts
Something went wrong.
Something went wrong.