Donatha Msamba
@DonathaMsambaChild of God 😇 Plumber |Painter | an entrepreneur| @YoungAfricansEN fan
Hello MFANYABIASHARA ZIJUE FAIDA YA KUWA NA LIPA NAMBA 1, kupokea malipo kidigitali pasipo kutumia pesa taslimu 2,Gharama nafuu,hakuna kodi mpya ya tozo za miamala pale mteja anapolipia bidhaa kwa kutumia lipa KWA simu 3, gharama ya makato kwa mteja anayelipia bidhaa ni nafuu
Inamaana humu hakuna watu wa makazini Hakuna wanaovaa official Hamzion hizo cardet jamani🥹 Njooni bas kariakoo 25000 Mikoani tunatuma💯
Katika upimaji uzito Mike Tyson kamzaba bao Mpinzani wake au ni kama mwanae tu Jake Paul 😀 ila Tyson hii Mbungi inapigwa Leo
A THREAD.. Leo nilikuwa napass huku X bhana and I found a very interesting post from some account.,Sasa bhana, nikakumbuka mkasa flani hivi.. walk with me.. Ile account inaitwa nadhan 'men's sexual health'. And Ile post inasema..👇 .. #keepingupwithmwax #jabapoint Repost ✊
Demu ambae niko nae almost mwezi mmoja sasa tangu tuanze ku date amenipa huu ujuzi 🤲🏽❤️ Kanifundisha na hivi sasa najua kufuma mwanzo mwisho. What a blessing .!
Ila watu 😂😂🙌
Mnaposali Usiku wa leo naombeni kumuombea na Mama yangu, jina lake Rose Valentini. Ahsanteni 🙏🙏.
Wazee wa UCHU NGU ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 1.Tunasubiri uchunguzi wa Kuteswa na Kupigwa risasi kwa Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) 2.Tunasubiri uchunguzi wa Kutekwa na Kuuwawa kwa Ally Mohammed Kibao 4.Tunasubiri uchunguzi wa Kupotea kwa Shadrack Chaula 5.Tunasubiri uchunguzi…
14/11 Mungu amenipa nafasi nyingine ya kuongeza mwaka 🙏💜 HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Tafuta BIASHARA ya PEMBENI ukiachana na KAZI unayofanya KAZI simple Pata LAINI za uwakala mitandao yote kwa gharama nafuu FAIDA UKAPATE WEWE Mawasiliano 0768466292 Malipo ni baada ya kazi kukamilika Rt🙏
#TajiriLaKihaya Sijui ni mm tu Naliona hili… Ila wanaHARAKATI wa CHADEMA wanam Sabotage saana, TUNDU LISSU! Akiwa na press Hawapost zile short clips -highlights zaidi ya JAMBO TV… Akipelekewa moto na Chawa Hakuna anae mtetea😅 LISSU ni miongoni mwa viongozi wachache…
Nadhani njia pekee ya jeshi letu la polisi kujitenga na tuhuma za utekaji ni kutuambia watekaji ni kina nani au watupe sababu kwanini watekaji hawajulikani,maana hamna mtu hajulikani nchini.
Ngoja kwanza.. kwamba MaCCM yameuza hadi shule huko Ubungo? HOW? 🤕
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WATEKAJI. 1.Watu wanaokuja kututeka mara nyingi au nyakati zote hawapo katika utaratibu rasmi wa ukamataji (uliotajwa katika sheria) kama wanavyofanya Jeshi la polisi. >Hawavai sare (uniforms) >Wanakuja na magari ya kiraia >Hawaonyeshi…
Habari za jioni..NAOMBA TUSOME HII.. mwenzetu @msosi_flavour anauguliwa na mama yake, naomba pale tunapoweza kutoa chochote kwa ajili ya kumsaidia kulipia matibabu yake. Nitaambatanisha account namba anayoweza kupokea pesa. Kuuguza ni mtihani mkubwa sana tumshike mwenzetu mkono🙏🏽
Juzi Kati Chadema Walipanga Maandamano Wangapi Mlitoka Barabarani Kuandamana? Au Ndio Mmeishia Kutukana Tu Mitandaoni? Nikisema Kuwatetea Watanzania Ni Kazi Msinielewe Vibaya Sisi Ni Waoga Sana,Hatujui Tutakalo Na Hatuna Malengo Huu Ukweli Mchungu Watanzania HAPANA KWAKWELI.💔
Kuna vitu inabidi tuungane mazee hata kama tunatofautiana mitazamo kwenye agenda nyingine ila hii ya kutekana hapana,kila mtu akiweza kuwa na access ya kufanya hivi ina mana tofauti zetu za mitandaoni zitahamia huku kwenye kutekana na kuuana. Hakuna anayestahili kukamatwa hivi
Sema Mtu alierekodi pia anaweza asiwe salama kwasababu video inaonekana imechukuliwa kutoka wapi hiyo nyumba usalama kweli utakuwepo
United States Trends
- 1. #PaulTyson 95,6 B posts
- 2. #SmackDown 17,7 B posts
- 3. Goyat 8.740 posts
- 4. Rosie Perez 1.186 posts
- 5. Cedric 5.384 posts
- 6. Bayley 4.654 posts
- 7. B-Fab 3.423 posts
- 8. Cam Thomas 1.954 posts
- 9. Max Christie 1.052 posts
- 10. Hukporti N/A
- 11. #FightNight 3.513 posts
- 12. #NetflixBoxing N/A
- 13. Karoline 36,8 B posts
- 14. Purdue 4.598 posts
- 15. Kevin Love 1.837 posts
- 16. Michin 3.120 posts
- 17. End 1Q N/A
- 18. Paige 10,3 B posts
- 19. Philon N/A
- 20. Candice 6.853 posts
Something went wrong.
Something went wrong.