@Dommymaiza Profile picture

@CIVILIZED FARMER

@Dommymaiza

| Animal scientist | Mkulima, #Semi_za_Kilimo | Seventh Day Adventist | Ecclesiastes 9:10 | Manchester city fan |

Similar User
V E N N A📸 photo

@vennatz1

Mzee wa kazi chafu photo

@VNgailo

Christopher Lyatinga photo

@Chriss_Lyatinga

AGAFE photo

@tussiwe

king lameck photo

@king_lameck

SungweCost photo

@sungweone

Israel photo

@israelmoses_

kibwerebwere__ photo

@KiBWeReBWeRe_

mimah msang photo

@Mimahmsang

Ntunda boy😎 photo

@IsackNtunda

Dokta suley photo

@dokta_suley

MLATINO 🏴 photo

@lexmlatino

Urassa_junior 🇹🇿 photo

@UrassaEvody

Anko nedd photo

@ankonadeem

Pazi_MomO photo

@PaziMeddy

Pinned

Maisha ya utafutaji yanahitaji uvumilivu na subira isiyo na kifani, kwa sababu unaweza kuwa bora sana kwenye kujituma lakini bado ukashangaa kuwaona waonatumia nguvu ndogo wanakupita kwa kasi kubwa mithili ya airforce one, ndugu rafiki; ingali pumzi ipo basi wakati wako upo.🙏🙏


@CIVILIZED FARMER Reposted

Dear Johnson Evans, praying you all come out safely. Poleni, Kariakoo.

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

Tumekua pamoja utotoni, Japo ulikuwa mtoto wa Kishua, Leo kwenye Ajali ya Ghorofa umetutoka, Pumzika kwa Amani Neema 🥹💔🕊️

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

#VIDEO Vilio vimetanda Kariakoo asubuhi hii baada ya jengo la gorofa kuporomoka ambapo mmoja wa wanaolilia kufukiwa kwa Wapendwa wao ni Mama huyu ambaye amedai Watoto wake wamo chini ya kifusi hicho. Mwingine amedai Mdogo wake yupo chini amefukiwa na kwamba mwanzoni alikuwa…


@CIVILIZED FARMER Reposted

Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam. Nimeuagiza Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, na…


@CIVILIZED FARMER Reposted

Simu ziite

Nipigieni basi 0627757020/0754302242

Tweet Image 1


@CIVILIZED FARMER Reposted

Taarifa zilizotufikia zinasema Jengo la ghorofa limeporoka Kariakoo na Congo Jijini Dar es Salaam. Jitihada za kuokoa vitu na manusura wa ajali hiyo zinaendelea✍️ #KitengeIpdates


@CIVILIZED FARMER Reposted

Success isn’t a straight line, It’s full of detours, setbacks and reroutes But each twist and turn is teaching you something Keep going, keep believing and don’t give up on yourself The journey is worth it.


@CIVILIZED FARMER Reposted

Hawajakutana barabarani Kinana & Kikwete Jana kwenye msiba sijui wapwa wanajua hsitoria yao hawa wawili tokea jeshini? 😃 Bi Kizimkazi lazima apate stress huko Barbados!🤣 #TutaelewanaTu How it started.. How it’s going…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

@CIVILIZED FARMER Reposted

"KOPA NYEKUNDU na MVUA" Ni dawa ya kudhibiti ugonjwa wa madoa ya bacteria kwa kutumia viambata chake cha Cuprous oxide 862g/kg mettalic copper 750g/kg. Mara nyingi bacteria spot hushambulia mmea mara tu mvua inyeshapo. -Thread- (1/2)

Tweet Image 1
Tweet Image 2

@CIVILIZED FARMER Reposted

“Soko la ajira limekuwa gumu kiasi kwamba, ufaulu wa darasani pekee hautoshi kukupa ajira.” - Mhe Jakaya Kikwete

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

Kalima tikiti analalamika matunda machache na vitenesi, wakati ratiba yake ya mbolea kaweka mara mbili na zote katumia mbolea aina ya UREA. Nimempatia mtiririko mzuri wa uwekaji wa aina za mbolea kulingana na stage ya mmea,hakika kafurahi sana kuelimika💚


@CIVILIZED FARMER Reposted

Bro usiwahi tamani kujua dark side ya huyo dem upo naye, you are not as stronger as you think 😂


@CIVILIZED FARMER Reposted

Ndoto ya kila mkulima mdogo ni ipo siku moja atachanganya MBOLEA kwa koleo.🙏

Tweet Image 1
Tweet Image 2

@CIVILIZED FARMER Reposted

Giuliano Simeone scored his first senior goal for Atlético in front of his dad 🤗

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

@CIVILIZED FARMER Reposted

Jamaa angu kupanda mbegu kwenye seedling trays 2 tu analalamika macho yanauma😄

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

"Mwenye shamba kasafiri"

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

Kwanini utumie chokaa ya kilimo? Chokaa ya kilimo hoi ni chokaa maalumu inayoandaliwa kwaajili ya kilimo kwa kulenga kupungua tindikali kwenye pH ya udongo kuruhusu virutubisho vingine viweze kufanya kazi. Zijue faida za chokaa kwenye kilimo -Thread-👇

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

✔️inaongeza pH ✔️ Inadhibiti fungus ✔️ Hufanya matunda ya mmea yawe ya kijani ✔️Inaboresha matumizi ya mbolea hivyo kuwezesha mizizi kufyonza virutubisho ✔️ Inasaidia mmea kuchipuka haraka ✔️inasaidia mmea kutokufa/kuoza baada ya kupanda

Tweet Image 1

@CIVILIZED FARMER Reposted

Maisha hayajawai kuwa fair! Ile pesa unayotamani uipate kama mtaji kuna wana wanaichoma bar.


@CIVILIZED FARMER Reposted

Kipindi hiki Cha Kiangazi huwa tunamwagilia usiku Hivyo ni muhimu Kuwa na vifaa kama hii #saumufarms

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.