@DominickByamun2 Profile picture

Dominick Byamungu

@DominickByamun2

Music Music Government & Politics Technology Sports WWE

Joined November 2017
Similar User
TBC Online photo

@TBC_Consulting

Mankinga photo

@DrRayMushi1

Teodos komba photo

@Teodoskomba

JJ Pope 💯 Brazen Hussy ☮️ photo

@drjjpope

ODDS za Maokoto photo

@kidsoul83

mindcontrol photo

@bicko_de

Peter JR photo

@Mjema_joh

MC Mwakyoma photo

@Pascal_mwakyoma

Denis 🐺 photo

@MandeleDenis

kApA 🔥 photo

@kapakalajr

seth saint photo

@Saint93016

Yohana Yombo Komaga photo

@Yohana_Komaga

Kidaya photo

@ChrisKidaya

Dominick Byamungu Reposted

Kama mtego vile lakini jibu lipo wazi kabisa 😁. Kama umeshashtukia mchongo, weka jibu kwenye comment section. #NMBKaribuYako

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Zach wamemkataza asipige picha na jezi safari hii?


Dominick Byamungu Reposted

Vile watu wananiambia kuwa mwanasiasa , gombea gombea. Nawaza muda huu niko zangu France nakunywa wine ya €20 mtu aseme ni kodi yake na kusahau nimeimba miaka 24 🤣🤣🤣. Eeeh Mola niepushie kikombe cha lawama.


Dominick Byamungu Reposted

Twitter bila marafiki ni kupoteza muda na bando. Naomba tushushe handle Kwa wingi hapa. Under 10k drop handles Follow yeyote atakae weka handle yake Pia usisahau Kuni follow Twende kazi wapwa👇

Tweet Image 1

Ndio kwnz 150? Wanachuo wakubakiwe field/ Part time job wasaidie

📍Dar es Salaam ▪️DAWASA YAFUNGA MITA 150 ZA MALIPO YA KABLA DAR NA PWANI, ZOEZI LINAENDELEA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid meters) kwenye maeneo mbalimbali hadi kufikia Mei…

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Ili iwe nn

Mwanaume alie kamilika lazima Advance awe amesoma hizi Combination. -PGM -PCM -PCB -EGM Njee na hapa huna tofauti na mwajuma😀



We jua unavyojua na amua ambavyo unaweza kuamua, usipoteze wkt kutuuliza ukitaka vitabu nenda maktaba.

Bible imekataza Kula nguruwe, Qur-an imekataza Kula nguruwe, nyie mnao kula mnafata mafunzo ya Kitabu gani?



Hiyo ndiyo yenyewe

Watu wa Fasihi eti hii imekaaje, kichwa cha hadithi kuwa kwa lugha ya Kiingereza na hadithi kuwa kwa lugha ya Kiswahili? 🤔



Dominick Byamungu Reposted

Hua ukiingia lodge/guest/ hotel cha kwanza hua unafanyaga nin? Mie hua nazima taa zote nafunga mapazia room iwe giza nawasha video recording ya simu yangu ili niweze kuona hidden camera😂😂

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Nimetembelewa na Mzee Butiku. Amenieleza mafanikio na changamoto ambazo wao walipitia kuanzia mpango wa kilimo wa 1976 na uzoefu wake. Kikubwa kilichomsukuma ni kuja kufahamu nini tunafanya kwenye mpango wetu wa Vijana katika kilimo.

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Kumbe hizi vipara na vitambi zimeanza kitambo 😂! . Niko hapa Ufafanuzi Republic nimetulia kimyaaaaa!!

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Extreme heat and durability testing in Dubai 🐫

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Dominick Byamungu Reposted

Ipi?

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Hiroshima in 1945 vs 2020.

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

Hiki chuo gani jaman naona wamekodi Shabiby kabisaa ili warudi kwao 🤔

Tweet Image 1

we have lost our Father ta Silvery Balili Buberwa

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

#FAHAMU Dkt. Louis Shika amesema jumla ya fedha anazomiliki ni dola za kimarekani bilioni 11 ambazo ni zaidi ya Trilioni 22 za Tanzania, na hivi karibuni anatarajia kuingiza mzigo wake wa dhahabu. (Gold bars)

Tweet Image 1

Dominick Byamungu Reposted

There’s always someone richer. The thing is to find happiness with what you’re doing.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.