@Dickson50196305 Profile picture

SponserTz

@Dickson50196305

I wish to be a leader

Similar User
Daniel Makunganya photo

@DanielMakunga11

athuman mwangu photo

@MwanguAthuman

Frank Mbabu photo

@mbabufrank0

hearthealer💋❤️ photo

@theohearthealer

Ramadhani Tz255 photo

@ruheya_h

Mwenye shida na iyo pesa pia ni sh 20 ya mwaka 1966- 1986

Tweet Image 1

Mwenye shida na iyo pesa anitext,,tujenge biashara

Tweet Image 1

R.I.P Bernad camillius Membe,,,, Jiwe limeanguka,, Mungu akulaze maali pema peponi AMEN

Tweet Image 1

Awa vip tena mbona wanatrend sana,, kulikoni,, anyway angalia walichokifanya👉

Tweet Image 1

Tamaduni ii ni nzuri au wamebugi, japo watoto awajalala bado.

Tweet Image 1

wellocome to tigo pesa app, pakua tigo pesa app ujishindie fedha tasilimu kuanzia 500 na kuendelea


wadau iv hii ya kivuko kua na bilion 7.5, alafu kipya kabisa ni bilion 8 ii imekaaje aise?


Mke wangu jion natoka kazin saa 12 na nusu,, nikukute kwenye Kanga sio kwenye vikuku😀😀😀


follow me

This post is unavailable.

january inachanganya


Midude mikubwa kama ii kuiangusha ni kazi na ukishaliangusha linapata tabu kuamka, 😀😀😀 labda ngoja tuone 2025 lakn sidhani

Tweet Image 1

SponserTz Reposted

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit AKILOWANISHA suruali yake kwenye hafla ya hadhara. Walinzi wake wanapaswa kuwajibishwa , walipaswa kuzuia suruali ya mheshimiwa Rais ISILOWANE. Fundisho: Ukiwa kwenye hali kama hii ni bora kustaafu na kuwaachia wengine waongoze


SponserTz Reposted

Hii picha ni ya kutunza sana tutakuja kuwaambia watoto na wajukuu zetu kuwa Simba tumewahi kuwa na Namba 2 bora na Namba 3 bora kuwahi kutokea Tanzania

Tweet Image 1

SponserTz Reposted

"Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. Naomba tutulie."- Gerson Msigwa

Tweet Image 1

UMOJA PART chama kipya cha kisiasa mnatuchelewesha maana CCM imeshatuchosha kila siku ni wale wale, na naona tumerudi kule, Chadema wahuni tu amna lolote, ACT ndo basi tena akieleweki ni kama genge la wahuni sasa UMOJA PARTY karibuni tujiunge tupo tayali.


Tanzania, Algeria Uganda Niger Najiuliza tutatoboa, ila ingelikua simba kwenye ili kundi angetoboa!!!


SponserTz Reposted

Kwa hiyo Sukuma Gang chama chenu kipya yaani Logo yenu ni picha ya KAMBALE 😁😁

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

mama shikamoo, vip mama uko ikulu ya dar au ii ya apa dodoma, na umeme uko uliko unasumbua kama uku mama, tatizo liko,wapi mama angu, maana naisi unaujumiwa ili 2025 tusikuone mama, nakuoenda mama angu, jitaid basi ka umeme karud kama zama za magu wetu.....😀😀


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.