@DevilsiMethod Profile picture

Comrade Devilsi Method

@DevilsiMethod

Proud Dad | Co-Founder @StarwomanFoundation | Chairman YouLead Tanzania Delegation|Executive Committee Member (CCM) - Kunduchi Ward |Social Strategist/Activist

Similar User
Queen Sendiga photo

@queen_sendiga

Joseph Shirima photo

@Shirimajoseph3

upendo mwakyusa photo

@ms_upendo

worthystudios™️ photo

@worthystudios

Godfrey Dominick photo

@Godfrey45713599

StephenR photo

@niyongere44

UVCCM photo

@uvccm_diaspora

Andrew Mboma photo

@AndrewMboma1

wilfred james ndege photo

@wilfred_ndege99

Mohamed Abdallah photo

@Mohamed37986833

Ommy photo

@Ommy59524158

Ibrahim Sengendo photo

@iisengendo

Comrade Devilsi Method Reposted

Jirani mpango ni Land Rover Festival tu! Tukutane Arusha Jirani. @makonda_paul @CloudsMediaLive

Tweet Image 1

"6/10 ✅, tracking down the rest!"

You MUST read these 10 books about Tanzanian political figures. No particular order. 1. My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers by Benjamin William Mkapa A memoir about his childhood, presidency, and his post-retirement involvement in international peace mediation.

Tweet Image 1


Nakisubiri kwa hamu ! Hongereni sana @UONGOZI

We are pleased to announce that a book on the Late Edward Moringe Sokoine, Former Prime Minister of the United Republic of Tanzania, titled “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” will be launched on 30 September 2024 by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. #Sokoine

Tweet Image 1


Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿

ZIARA YANGU SHULE MPYA YA MANYARA GIRLS Leo Agosti 14, 2024, nimetembelea Shule mpya wasichana ya Manyara Girls na kuongea na wanafunzi pamoja na kuwakaribisha rasmi Mkoa wa Manyara wanafunzi 110 waliokwisha wasili shuleni hapa na kuanza masomo yao ya kidato cha tano (5) kwa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Barikiwa kwa sadaka hii Mheshimiwa 🙏.Utu ni uzalendo

Adelason ameenda shule 🙏 Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿



"Nashukuru kwa mwaka mwingine wa maisha. Nikishangilia baraka za Mungu leo na siku zote. 🎉 #SikuYaKuzaliwaYenyeBaraka" Zaburi118:24

Tweet Image 1

Comrade Devilsi Method Reposted

Manyara tumepata fursa ya kuonyesha bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kutengenezwa mkoani kwetu mbele ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan akiambatana na Mgeni Rasmi wa maonesho ya miaka 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es salaam…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Boss 🙏🙏

Unaesoma ujumbe huu. Nakutakia mwanzo wa mwezi wenye baraka na mafanikio. Karibuni sana Manyara. Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿

Tweet Image 1


Comrade Devilsi Method Reposted

MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Leo juni 28 ,nimeweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya sekondari Manyara ya wasichana ujenzi uliogharimu Shilingi Bilioni 3, shule hiyo inatarajiwa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano(5) na sita(6) katika mchepuo wa…


Inspired by my fellow Kenyan youth who are boldly exercising their right to speak up and stand for their beliefs. This is a powerful lesson for all of us. We must secure a bright future for our peers and the generations to come. Feeling motivated and spirited.


Comrade Devilsi Method Reposted

Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo.,Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Amina 🙏😭😔

Tweet Image 1

Comrade Devilsi Method Reposted

Kenyan Government is messing around with the wrong generation


Comrade Devilsi Method Reposted

15/06/2024.Maadhimisho ya kimataifa ya kuelimisha na kupinga ukatili dhidi ya Wazee. Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿


"Duty Calls" 🇹🇿🙏🏿

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Comrade Devilsi Method Reposted

Hii ndio SAFARI ya Mageuzi ya Uwekezaji Sekta ya Kilimo! TIC inasukuma AGENDA hii kwa kuleta UWEKEZAJI mkubwa kwa maramoja Tumeandika Historia✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻


Oh June/July ! 🙏🔥 Brother @thomasjkibwana neno lako kidogo juu ya hizi copies.

Tweet Image 1

Comrade Devilsi Method Reposted

Leo Mei 7, 2024 nimepokea ugeni wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Star Woman Foundation inayojihusisha na kuwajenga wanawake na vijana katika maeneo ya uongozi, uchumi na maendeleo, wakiongozana na Shirika la TIKA kutoka Nchini Uturuki ambao wameungana kuja kutoa pole na…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.