@DeeCello Profile picture

sajo

@DeeCello

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Joined May 2019
Similar User
Chugaman Gwantaman๐Ÿ๐Ÿ’ซ photo

@DonKelv29107100

sajo Reposted

Siku moja mafuta yaliisha kwenye hii chuma, nikampigia simu Mwanangu ni Winga Kariakoo pale akanitupia kama 60,000 kuweka wese nisogee ilimlazimu ashuke kwenye daladala atembee kusaka Wakala, kuna siku gari ilizingua sana hii Mwanangu Said ni Fundi pale Sinza akaiweka sawaโ€ฆ

Tweet Image 1

sajo Reposted

TAARIFA YA KUTEKWA KWA NONDO Kwa masikitiko, tunapenda kuwataarifu kuwa Kiongozi wa @NgomeyaVijana ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi hii. Tunatoa wito kwa vyombo vya usalama kuchukua hatua za haraka kuhakikisha usalama wake na kumrejesha salama.

Tweet Image 1

sajo Reposted

WANAWAKE WALIONDOLEWA ADHA YA KUUNGUA JIKONI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwanamke akiungua jikoni namtilia shaka na uwanamke wake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


sajo Reposted

Kwa kilio hiki ni alikuaxrafiki ake kweli au alikua mtu wake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ni ile body linakubali ila roho inakataa ๐Ÿ˜‚ Unabidi tu ujimwambafai namna hii


sajo Reposted

"Magufuli hakuua watu kwenye uchaguzi wa Vijiji na vitongoji ila huyu mama anauwa watu"-; Mhe. @TunduALissu


sajo Reposted

INAFUNZA..!! Ukweli Mtupu.๐Ÿ˜‡


sajo Reposted

Wewe sio kwamba pesa ni ndogo sema una jikuza tuone unahudumiwa bn


sajo Reposted

Ndio maana ya YAS sio? Sawa tutakutana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tweet Image 1

sajo Reposted

UUMBE HUU UFIKE MBALI ILI UWAFIKIE WAHUSIKA๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ BROTHER KAONGEA MADINI MATUPU


sajo Reposted

Hakuna dem unapiga peke yako,ni suala la muda tu kutambua hilo.


sajo Reposted

Kuna wakati inabidi uwadanganye hata rafiki zako ili kila mtu awe na furaha, Ukiwa unapata mshahara wa Million wakikuuliza sema napata laki 3 au napata Million ila haitoshi, Kuonesha unafurahia unachokipata ni kunawaumiza akili na utaarika negative energy. Uwazi sio dili.


sajo Reposted

Kaka yangu mpendwa KM @jjmnyika, ndugu zetu George Sanga na wenzake walipata kesi ya mauaji wakikipambania chama kipate kura 2020. Nimejulishwa kwamba @ChademaTz imeshindwa kutoa mawakili kwa ajili ya kesi yao inayoanza 18/11/2024. Tafadhali tusiwavunje moyo,tutafakari hili jambo

Tweet Image 1

sajo Reposted

Wafalme, Kama mtoto mkali asipokuelewa, yupo mwingine atakuelewa Kama usipochaguliwa kwenye interview, kuna fursa nyingine zitakuja Quit living in scarcity. Ulimwengu ni mkubwa na una fursa za kutosha.


sajo Reposted
Tweet Image 1

sajo Reposted

KANUNI KWA WANAUME......... 1.Usirudi tena kwa mwanamke aliyecheat. 2. Kamwe usiruhusu mwanamke akudharau. 3. Usipe kamwe mkono umekaa chini. 4. Kamwe usiende kuvunja ili kuwavutia wengine. 5. Kamwe usile kipande cha mwisho cha kitu ambacho haukununua. 6. Daima kuwa na tamaaโ€ฆ

Tweet Image 1

sajo Reposted

Mnaobisha hawa sio @tanpol mtakuwa MNA MAVI VICHWANI. Jamaa alifungwa PINGU mkono mmoja. Na kwenye mabishano hawa MAPOLISI walisema wao โ€œsisi ni ASKARI twende GOGONIโ€ Hawa ni WATEKAJI ni kikosi maalumu cha FAUSTINE MAFWELE (TASK FORCE). Hawa wanamiliki SILAHA za Moto na zaโ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2

sajo Reposted
Tweet Image 1

sajo Reposted

Kazi ya LANA. Walio laaniwa makwao ndio wanafanya hii kazi. KAZI YA WASENG.

Tweet Image 1

sajo Reposted

Mwanamke amekomaa sana au Mwanaume ni mlaini sana? Me, Hili jamaa lina matatizo.


Wazee wa Bata tukutane pande izoo

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.