@Daway_PL Profile picture

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘

@Daway_PL

@LFC 𝐅𝐚𝐧⚽ 𝙄𝙣𝙨𝙥𝙞𝙧𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣𝙖𝙡 𝙞𝙘𝙤𝙣,Quote maker,#𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘𝕏,𝒎𝒐𝒕𝒊𝒗𝒂𝒕𝒐𝒓࿄𝙈𝙚𝙢𝙚𝙡𝙤𝙧𝙙||𝟐𝟏:𝟐𝟏||#𝐓𝐇𝐄𝐆𝐎𝐃𝐒𝐎𝐍|𝐍𝐀𝐏𝐄𝐍𝐃𝐖𝐀|

Pinned

Hawa vijana walidhani au kufikiri watakutana tena baada ya hapa?👇

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Ulivyojikausha kama sio wewe ulipata F ya mathematics O'level😂😂🤣🤣🤣🤣


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Magari aina ya RANGE ROVER wala siyakubali hata kidogo nikimaliza kusoma zangu chuo hapa SIBII lazima nimiliki ndinga ya maana sio takataka kama hizo

Tweet Image 1

Mrembo amejaribu had skin care but skin don't care😂


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Wamesogea kwa AUCHO Jinja Maestro 😂😂😂🙌🏿

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Kocha mpya katoka timu ya mkiani kaja kufundisha timu iliyo nafasi ya pili kwaiyo ligi yetu ni mbovu au raisi wetu amekurupuka


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

🤣🤣🤣 imagine njaa ndio inakufanya uvumilie mahusiano toxic 🚮🚮🚮🚮


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Basi ni bora Ufanye hivi Ukimpenda Mtu Mwambie Na Ukimtamani tu one night Mwambie Punguzeni uwongo hii inaumiza sana Mwanaume unaniambia Utanioa nakubar Tuna sex harafu baada ya hapo hata hunitafuti tena🚮


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

BIASHARA 5 ZA MTAJI MDOGO AMBAZO HULETA FAIDA KUBWA. NAZIOMBA HAPA WAKUU 👇🙏

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Mara nyingi Mwanamke ndo mwenye uwezo mkubwa wa kusamehe kuliko mwanaume Binti ukiona ni jambo gumu kusamehe ni kwasababu unakiburi na ujinga uliojiwekea


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Uyo demu sipigi ata mnipe nini 😀

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

🎶 The Weeknd - Reminder. 🎶 Usisahau dharau zao wakati ulipokua kwenye nyakati ngumu.!!!


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Unaambiwa 👇🏽 "KOMBINESHENI IMERUDI" Kwani wewe huogopi ukisikia ngoma kama "DUSHELELE" ama "MVUMO WA RADI" ama tuseme ile ngoma aliyoitumia kurudi kusafisha kiti..... "MWANA"🎶🔥 Patamu hapo 🚶🏾‍♂️

Tweet Image 1
Tweet Image 2

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Huyu kocha kwenye page yake inaonyesha mwezi wa 7 halibeba kombe. Sasa sijui kombe la nini wakuu 😂😂


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Unaambiwa huyu kocha huwa sub zikimsumbua huwa anaingia mwenyewe 😁😁

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

MIMI: Nakufa😭 WATU: Usiseme hivo maneno yanaumba. ___________________ MIMI: Nataka kununua gari. WATU: Unadhani gari ni matako kila mtu analo😂😂💔


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Hii inaonekana itakuwa kali👌

Tweet Image 1

𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Kibongo bongo siku kama ya leo ijumaa muwe mmekaa sehemu mnakula na kunywa afu kuna msela mmoja yeye mda wote anacheka cheka na kupandishia stori juu ya stori, Kaeni mkijua hana mpango wa kuchangia bili uyo 😂😂


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Kama kocha angefukuzwa kipindi tunapata matokeo mazuri ningeelewa kafukuzwa kwa sababu za nje ya uwanja. Ila kocha kafukuzwa baada ya kupoteza mechi 2 hapa tusidanganyane. Mimi nahisi viongozi walitaka kuleta usenge wa kuingilia technical issues na akawakacha 🚮🚮🚮🚮🚮


𝐃𝐀𝐖𝐀𝐘 Reposted

Siku ikifika hata wale wanaofanya kazi mochwari Nao Wanafariki dunia😥 Tuwe na hofu ya Mungu 🙏


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.