Similar User
@kobelo_paulo
@AmourHemed45741
@gilbeima1
Mimi bado niko kwanza kwenye maombi ya Soka, Toka Last week nimesema nitamlilia Mungu for Soka na Watanzania wengi wanafanya hivyo
BREAKING: Hata kama ana madhaifu yake, tutamkosoa, lakini ubinadamu wake uko pale pale. Taarifa tunazozipata ni kwamba Rais hali siyo nzuri sana, ingawa yuko Hai. Tumuombee. @TanzaniaLeaks itazidi kuwahabarisha kadri tutakavyoendelea kupokea taarifa. #TanzaniaLeaks
Rest easy, Lawrence (@LNMafuru). Kumbukumbu kwamba wewe ulikuwa mmoja wa wazalendo wachache wachapakazi mno itadumu milele. And hopefully, baadhi yetu tutapata fursa ya kudumisha legacy yako. Umeondoka kabla sijakushukuru kwa kuwa miongoni mwa viongozi serikalini ambao…
Mbele ya macho yako Mungu alimwondoa yule gaidi ili wewe @SuluhuSamia uje kurekebisha pakubwa alipo haribu. Badala yake unamuua Mzee Kibao kwa mateso makubwa na unakuja jugamba jukwaani; NDIYO MIMI NI MUUAJI" Vipi ndugu zetu kina Soka? Utaendelea kuwashikilia mpaka lini?
Nimetua Kigoma, kwa dharura, kusimamia wagombea wetu waliokatwa kuteuliwa. Wakati viongozi wetu wakuu @ACTwazalendo wanaendelea kupambana kitaifa kuhakikisha wagombea wetu wanarejeshwa, wazee wa Ujiji wameamua kushughulika na wasimamizi wasaidizi kwa namna yao! Ngoja tuone....
Kama kawaida ya jeshi la polisi kutumika kuharibu uchaguzi, muda huu askari wa jeshi la polisi @tanpol wakibandika majina ya wagombea wa ccm nje ya muda kisheria huku wakiwa na mitutu ya bunduki. Hii ni baada ya kuwaengua wagombea wote wa upinzani huko Machame. Kuna siku mtalipa
She is serious sick 😷 very serious we are not joking 🙃 🥲🥲🥲
BREAKING: Kwa kawaida @TanzaniaLeaks ikiongea, tunaambiwa wazushi. Haya, aliondoka Marekani kwenda kutibiwa Barbados anaumwa nini? Eti Marekani watanzania watavujisha taarifa. Mbona sasa zimetufikia?
USALAMA WAKE UKO HATARINI WANATAKA WAMMALIZE HUKO HUKO KWA RAUL CASTROL MWAKA UJAO UNA VITA SANA, Wakati wa hotuba naambiwa Kesho kuna mic zimetegeshwa walitaka ku mu omari Ali Juma na mpango bado unaendelea
Ukifatilia post zangu za juzi nliandika kila kitu machawa wakantukana
TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, NCHINI CUBA
Mpina amesema, "Nani aliyekubali kwamba sisi tunakubali uwekezaji wa Bilioni 687, nani aliyekubali kwamba sisi tumekubali rate ya kugawana mapato na DP World kwa ratio ya 40 kwa 60? Nani aliyekubali?" BabuTale hakuna Kitu wanaelewa ni Kugonga Meza tu 😁
Chino kuna watu wansema wamekushtukia 😂😂😂😂😂😂😂 Msikilize huyu... Video kwa Comments👇
MASAUNI NA SAMIA MUACHILIENI HURU MCHUNGAJI SSESSOA. Mch. Shysneli Ssessoa, alikamatwa na Jeshi la Polisi ( @tanpol ) Kahama —Shinyanga toka Septemba 21, 2024. Mara baada ya kutoa maoni yake kufuatia kifo cha kikatili cha Mzee Meddy Ali Kibao.(RIP) Mchungaji alifikishwa…
👉Hawa mliowakamata wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi na ugaidi, hatuwezi kuleta mizaha kwenye jambo nyeti libalobeba hatma ya maisha ya watanzania wanaotumia miundombinu inayogharimu fedha za walipa kodi 👉Vyama vya upinzani ifike mahali muunge kukemea hizi hujuma
#Attention TRC na PCCB 👉Hizi hujuma zinafanywa na wamiliki wa makampuni ya Mabasi 👉Ni vita ya kibiashara 👉Meza ya mchambuzi imebaini
United States Trends
- 1. $MAYO 9.914 posts
- 2. Tyson 388 B posts
- 3. Pence 44,1 B posts
- 4. Laken Riley 39,1 B posts
- 5. Dora 22,2 B posts
- 6. Ticketmaster 16,4 B posts
- 7. Kash 71,3 B posts
- 8. Mike Rogers 8.266 posts
- 9. Cenk 10,7 B posts
- 10. #LetsBONK 5.708 posts
- 11. Pirates 18,7 B posts
- 12. #FursuitFriday 15,5 B posts
- 13. Debbie 15,8 B posts
- 14. Mr. Mayonnaise 1.376 posts
- 15. Iron Mike 16 B posts
- 16. The UK 433 B posts
- 17. Gabrielle Union N/A
- 18. Scholars 10,7 B posts
- 19. Oscars 13,9 B posts
- 20. Al Gore 3.272 posts
Something went wrong.
Something went wrong.