@Chesha98 Profile picture

Chesha Zeboe

@Chesha98

Network Engineer || ๐Ÿ“ป and ๐Ÿ“บ transmission and reception Engineer, All about telecom services.

Joined March 2022
Similar User
Sadam Sadilu photo

@century_son

babaland7 photo

@babaland7

mukulu ngwa photo

@NgwaMukulu

Risasi photo

@trusted_society

Kadalason photo

@victor_kadala

Rockxlyn Dammy photo

@rockxlyn

โ„•๐•˜๐•’๐•Ÿ๐•๐”ผ ๐”น๐• ๐•ช ๐Ÿ€ photo

@ConservaTorAndy

X watalaam kwaninj airtel yangu inasapot twitter na whtsup ila inster na fb haisapoti?


Chesha Zeboe Reposted

TUMEPOTEZA MCHEZO KAMA ALIVYOFUNGWA SIMBA,KMC NA JKT. ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐Ÿ’ฌ "I think you dream that you're going to have moments like this in your career." Kai is thankful for the incredible support from our Gooners! ๐Ÿ™Œ


Chesha Zeboe Reposted
Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

6 Rules to live by: 1.

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

Elevete your Banking standards with Diamond Trust Bank. 1. The access to Mobile banking 24/7 and internet banking 24/7. 2. Unlimited withdrawal at DTB ATMs 3. Free monthly e-statement Get your DTB Amani account enjoy quality services๐Ÿคฉ For more info please visit nearestโ€ฆ

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

Wadau naombeni tena RETWEET ZENU hapa zimfikie tena @ummymwalimu ...Muheshimiwa waziri usituchoke hali ni ngumu tunaomba msaada wako tena ๐Ÿ™.mtoto anateseka na maradhi wazazi hawana uwezo wa kumtibia analia kila siku na maumivu ... Asante

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

RASMI TUNAJITAMBULISHA HIVI LEO....

Tweet Image 1

Kuna watu walituita utopolo...Kiko wapi sasa๐Ÿ˜€

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐—ง๐—ข๐—ฃ ๐—ฆ๐—–๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—ฅ #NBCPremierLeague predator @FistonKalala12 #KlabuYaTaifa #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

Hii mmekufa kinini??


Chesha Zeboe Reposted

The show goes on ! ๐Ÿ‘Š We will face @SimbaSCTanzania in the Quarter-finals of the #TotalEnergiesCAFCL ๐Ÿ™Œ #DimaWydad

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜ ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—”๐—›๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—–๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC sasa tunapeleka ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜ la Kimataifa ugenini๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ #Mwananchi twende ๐—–๐—ข๐—ก๐—š๐—ข kwa Tsh 700,000 tu! (Full Package)

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜ la Hamasa kuelekea mchezo wetu wa Jumapili kesho litakuwa Manzese kuanzia saa 6 mchana #Wananchi Manzese twendeni tukakiwashe๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ #FullHouseFullShangwe #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

Makamu wa Rais wa Yanga SC @Arafat__AH ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo wetu dhidi ya US Monastir, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa, katika Hospitali ya Mloganzila na Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani.

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ TANZIA ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ PUMZIKA KWA AMANI GIRA

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—ž๐—”๐—ฃ๐—” ๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜๐Ÿ”ฐ๐Ÿ™Œ Wananchi Jumatano ya tarehe 08.03.2023 ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa tutacheza mchezo wetu wa nne #CAFCC hatua ya makundi dhidi ya Real Bamako kutoka Mali. ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜ la #Wananchi kwa Mkapa๐Ÿ’ช๐Ÿฝ #TimuYaWananchi

Tweet Image 1

Chesha Zeboe Reposted

Ipi Nukuu kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, ambayo unaikumbuka? Iwe kwa Kiswahili au Kiingereza sawa tu. #JaliluZaidPhotos

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Chesha Zeboe Reposted

Rasmi leo Young Africans SC tumezindua Application ya Mabingwa yenye ubora na maudhui kemkem, historia, taarifa, matukio na takwimu za mambo mbalimbali ya klabu yetu. Pakua na utumie app rasmi ya Klabu. ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ: play.google.com/store/apps/detโ€ฆ ๐—œ๐—ข๐—ฆ apps.apple.com/tz/app/yanga-sโ€ฆ


Chesha Zeboe Reposted

Like kwa Kibu , Retweet kwa Aziz K.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.