@Brama_A37 Profile picture

JEREMY✨️

@Brama_A37

MU Alumni| Father and SON| Economist| Teacher ✍️ #SSClub #ManUnited #RockCityMonster Rais wa Chama Cha Watu Wabaya Duniani #CHAWAWADU

Pinned

“Mpendwa naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo” (3 Yohana 2)


JEREMY✨️ Reposted

Ila jamani, hata kama ingekuwa nyie...mnaongoza nchi masikini kama #Afughani..haifati utawala wa sheria properly,inavunja human rights, ubadhirifu umetapakaa kwenye ofisi za umma #Accountability hakuna...mngeacha kujiwekea Kinga ya kutoshtakiwa? Hebu kuweni wakweli.


JEREMY✨️ Reposted

KOMBO MBWANA IS OUT. Repost 200 kwa huu ushindi.🔥🙌🏿

Tweet Image 1

JEREMY✨️ Reposted

Na kodi nayolipa ina kazi gani? Kodi yangu ndo imewapa nguvu serikali kusema inatibia bure waathirika wa Kariakoo.

Mwalimu mbona sijakuon kkoo kweny uokozi?



JEREMY✨️ Reposted

Mtazamo wa kina, wapi unadhani Dini (Imani) imelegalega katika kuwafunda vijana kuwa na maadili mema?


JEREMY✨️ Reposted

Huu mgahawa nihame Sasa washanikariri nikiingia tu wanaleta wali wa buku mezani bila kuniuliza🥲


JEREMY✨️ Reposted

BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa tumetoka kweny JAMII ambayo ukiwaambia UKWELI unageuka ADUI kwao hivyo tumeaminishwa kuishi KINAFKI ili tuonekane WEMA KWAO. Morning Africa.


JEREMY✨️ Reposted

Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. (Mithali 17:12) Neno la Bwana.


JEREMY✨️ Reposted

Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. (Mt 5:27) Neno la Bwana.


JEREMY✨️ Reposted

Humu ndani kuweni makini na MATAPELI...na watu wanaojua kila kitu. #Accountability


JEREMY✨️ Reposted

Kwa Afrika hii...Rais ninayemkubali ni mzalendo Tshisekedi tu. Ameionyoosha DRC...sasa imekuwa na demokrasia nzuri na pia kuna uwajibikaji. #Accountability

Rais wa Congo Félix Tshisekedi ametangaza kuwa hatazamii kuwania muhula wa tatu katika mpango wake wa kurekebisha Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) miaka minne kabla ya kumalizika kwa muhula wake wa pili na wa mwisho wa miaka mitano. Akiongoza mkutano huko…

Tweet Image 1


JEREMY✨️ Reposted

Watu wa Mungu salama! Njia za uzazi wa mpango je zimeruhusiwa kibiblia?


JEREMY✨️ Reposted

Aweso anaongea haya ,hajawahi kutuonesha watu waliowajibishwa kisheria kwa kula hela za miradi ya maji..... Sisi tunaona kama anatania tu. #Accountability

VIDEO: Serikali imeelekeza kutekelezwa haraka kwa miradi ya maji wilayani Kilindi mkoani Tanga ikiwamo ile iliyopo katika kijiji cha Mgera na Kisangasa kata ya Kisangasa kutokana na pesa ambazo zimekwishatolewa kwa ajili ya miradi hiyo. Akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mgera…



JEREMY✨️ Reposted

Ahsubuh yote hii tayari nimeshajichanganya, Mama Dullah ameniagiza Sabuni mimi nimenunua MIHOGO... Kubababake hii Week ikwishe tuu 😥


JEREMY✨️ Reposted

Biblia inatoa mwongozo wa kuwarudi watoto wakikosea (kuwatandika fimbo) ni sawa kwa ulimwengu wa leo?


JEREMY✨️ Reposted

Hakuna Watu Wanaokera Kama Hawa WAJINGA wanaoingiza Masiasa Yao ya Kipuuzi Kwenye Uhai wa Watu! Inakera Mno!


JEREMY✨️ Reposted

Sherehe za kuupokea mwenge zinakesha ila zoezi la kuokoa watu linasitishwa sababu ya giza


JEREMY✨️ Reposted

Kabla Hamjaenda Kwenye Mishemishe Jitahidini Kuwaachia Hela Wake zenu Wanapigwa Miti huko Nje Kwaajili ya Vitu Vidogo Vidogo Sana.🤔


JEREMY✨️ Reposted

Subira yavuta KHERI.

Tweet Image 1

JEREMY✨️ Reposted

Maisha ya bongo ni kama unaanza game ya 4-0. Unaanza na kuzaliwa kwenye umaskini, unapata elimu ya mchongo, afya na Lishe na Mchongo, halafu bado kuna Serikali inayotakiwa kukusaidia, ndio inakupiga msumari wa mwisho.


JEREMY✨️ Reposted

Toka mama Samia naingia madarakani ni lini Zitto kabwe aliitisha press ya kumkosoa,au Kuchambua Bajeti ya seriakli toka mama samia kaingia madarakani?,Je Zitto kabwe wa utawala wa Magufuli ndio huyu Zitto kabwe wa mama? Ukilamba Asali lazima uwe mtumwa kwa boss wako.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.