@BMandandu Profile picture

mandandu Jr

@BMandandu

if u don't have the fact silence will be the better way

Similar User
Anthony Denja photo

@AnthonyMayala01

Reyansh . Risk everything... Regret nothing... photo

@reyansha91

Ashura Khamis photo

@AshuraKhamis4

Ziya🥀 photo

@Ziya936

Suma Mzee photo

@SumaMzee2

Mangi photo

@Mangi_Mtata

Abs🇮🇳🇮🇳🇮🇳 photo

@AbbasLesnar2

qelvn photo

@qelvne

mandandu Jr Reposted

Sick & Tired of being sick and tired


Atafia uwanjani Sasa, familia imshauri Sasa, kazi na umri haviendani

Kutana na Robert Carmona mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwasasa anaekipiga katika klabu ya Atlético Nuevo Casabo iliyopo Katika ligi daraja la nne nchini Uruguay. Mwamba huyo kwa Sasa ana umri wa miaka 62 na anacheza bila shida yoyote Ile na hana mpango wa kustaafu.

Tweet Image 1


"Sometimes You gotta leave your brain out of it and decide with your heart. It's the only way you 'll ever have peace with it".


mandandu Jr Reposted

We rise by lifting others


mandandu Jr Reposted

Jisemee Mwenyewe kuliko kupoteza Muda kuanza kudiscus Maisha ya Watu wengine


Mzee wangu alishawahi niambia Dunia hii hata ukiuza mavi yupo ambaye atakuja kuuliza bei

Ukitaka kujua dunia ina mambo mengi hii Masta atapata kama pisi nne mpya na manzi atapata kama wana wengine sita wapya humu humu ndani...sababu ya hayo yaliyotokea leo.



mandandu Jr Reposted

Maumivu Huletwa na Mtu Na Huondolewa Na Mtu Pia. Tunakinaiwa NaKupuuzwa Na Mtu Na,Tunathaminiwa Na Kuheshimiwa Na Mtu. Kwahiyo,Kuna Mtu Baada Mtu.


Asiyekubali kishinda sio mshindani uncle tujifunze kukubali


mandandu Jr Reposted

Ukifanikiwa kurudi nyumbani ukiwa mzima wa afya ni jambo la kumshukuru Mungu sana! Dunia imekuwa na vurugu nyingi na kifo hakina taarifa wala hakichagui location


mandandu Jr Reposted

Life is explainable if the Universe is purposeless.


mandandu Jr Reposted

“Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.”


mandandu Jr Reposted

Unaweza kuhesabu ni mara ngapi umepata shida, confusion, kukosa amani na uelekeo. Halafu Mungu, Malaika, na mbingu zinakuangalia zikisema "Laiti Ungalijua..." Kila kitu chema kwa ajili yako kipo, ila IMANI ya kukuletea, kujua, na kuviishi iko wapi?


mandandu Jr Reposted

Inafika muda unaogopa hata kuongeza new people kwenye maisha, People are fuckin weird man 🙂


Anayekupenda hawezi kukunyima Fursa akhy

Bora upate fursa ya kuaminika kuliko kupendwa



Today is two years anniversary of my mom passing away and I just wanted to say to anyone whose mom has died that it’s hard. It’s really, really hard,”


Joy hongera bhana 🤦‍♂️

Enzi zangu 🤣🤣



Ww ni mwafrika mwenzetu kweli?

This post is unavailable.

Nimemuona mtaalamu mwenyewe Thabit Pengo hapo

Kampuni ya mabasi ya Happy Nation imeshika nafasi ya pili kwa Kampuni bora inayotoa huduma bora na salama kwa mwaka 2023-2024 Hizo Tuzo ziliandaliwa na LATRA na zimetolewa leo mkoani Dodoma. Wanastaili pongezi sana kwao

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


mandandu Jr Reposted

Kuna baadhi ya mambo wala hayahitaji maombi, yana hitaji wewe tu kutimiza wajibu wako.


Aisee ila Joy hongera bhana kwa mbio 😀

This post is unavailable.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.