@AnsikariV Profile picture

ANSIKARI VICTOR

@AnsikariV

Campaigner for Justice, peace and fraternity/ CDM fan/ environmental conservationist/School administrator/entrepreneur

Similar User
JUSTICE photo

@CosmasSanga19

Babu wa Sebaju photo

@jumasaidi199383

MAKAVEL photo

@freddie_monte

Amon furela photo

@amonifurela

Samwel Sanga photo

@SSanga9

PGO photo

@kujhele

Filipo photo

@lello2015

adamombole photo

@adammgaza

Olobiis 🇹🇿 photo

@Olabiis

BABU JJ photo

@Meelajoseph1

Chizzar photo

@alexchizzar

ANSIKARI VICTOR Reposted

Kulingana na utafiti uliofanywa na TAWIRI, Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba wengi zaidi Afrika. Tanzania inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na idadi kubwa ya Simba kuliko nchi yoyote Afrika, huku ikiwa na asilimia zaidi ya 70 ya wanyama hao barani humo.

Tweet Image 1

ANSIKARI VICTOR Reposted

🖥 We have started - Airdrop is live! ✅ Eligible users: @cihanduran23 @andrewcbr @RangeldarioIvan @Trungha98256244 👇 Get it now: twitter.com/i/lists/174368…


ANSIKARI VICTOR Reposted

Hivi Tunatume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ?


ANSIKARI VICTOR Reposted

Retwet:Prof Shivji Like:Kitenge

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ANSIKARI VICTOR Reposted

Wewe nenda kadeposit. Leo BETPAWA lazima watuite majina yetu yote matatu. RT zikifika 50 naachia Code ya kwanza.

Tweet Image 1

ANSIKARI VICTOR Reposted

"Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu. " Luka 3:14 Naomba RT 1000 pengine itawafikia wale Askari wanobambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa urongo. #MboweSioGaidi

Tweet Image 1

ANSIKARI VICTOR Reposted

Tuone nani mzalendo wa kweli?Retweet kwa Generali Ulimwengu,Like kwa Job Ndugai.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ANSIKARI VICTOR Reposted

retweet kwa fundi 🔄 like kwa shemasi ❤

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ANSIKARI VICTOR Reposted

Retweet kwa Andazi, Like kwa Kigogo

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ANSIKARI VICTOR Reposted

Narudi Tanzania Sio Kuja Kujifungia ndani narudi Kuja kufanya harakati na Kufanya Mikutano ya Kisiasa ambayo ni takwa la kikatiba. @TunduALissu

Tweet Image 1

ANSIKARI VICTOR Reposted

Narudia tena Hospital ya Mkoa wa Shinyanga Kuna wagonjwa wa #Coronavirus .kuna utata wa Mitungi ya Gesi @wizara_afyatz na MSD fuatilieni, DC wa Shinyanga Mjini analiewa vizuri. Tunatoa taarifa hizi Kuokoa Maisha ya Ndugu zetu,nimemsikiliza RC wa Shinyanga yy anaokoa ajira yake.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

ANSIKARI VICTOR Reposted

Hili suala la katiba mpya linaweza kuharibu heshima ya Rais @SuluhuSamia aliyojipatia, kama hatakuwa makini katika lugha zake.


ANSIKARI VICTOR Reposted

😁👇🙌🏻

Mh Rais @SuluhuSamia hatuombi katiba mpya kwako Wala hatutaki kujua Ratiba zako, TUNATAKA KATIBA MPYA SASA.



ANSIKARI VICTOR Reposted

Sasa mwenyekiti wa hivi utamliganisha na wakulima wa mawese.. 😂


ANSIKARI VICTOR Reposted

TUME HURU YA UCHAGUZI then ndio ije KATIBA MPYA !! @KatibaMpyaTZ #KatibaMpyaMovement

Tweet Image 1

ANSIKARI VICTOR Reposted

Walio Wengi Wanadhani Au Wanaitazama Katiba Kwa Kuangalia Leo Yao Tu Na Nafasi Walizonazo Kwa Sasa!! Hawaitazami Katiba Kama Kitu Ambacho Kitakuja Kusaidia Vizazi Vya Baadaye, Wajukuu Zao, Kipindi Wao Wakiwa Hawana Nguvu Na Madaraka Waliyonayo Sasa!!


ANSIKARI VICTOR Reposted

Tunajenga SANAMU kwanza

Hospitali ya rufaa ya Ndanda iliyopo wilaya ya Masasi mkoani Mtwara inakabiliwa na upungufu wa vitendea kazi vya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo mashine ya Oxgen. Zaidi Bofya Hapa.-bit.ly/3xnmpM7

Tweet Image 1


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.