@AnopholesF Profile picture

Simba Fans Club

@AnopholesF

Mashabiki wa club ya Simba Tanzania

Joined December 2015
Similar User
Moo_Tec photo

@muddyismail94

Temi Kirundwa photo

@thomas_temi

162_good photo

@162_good

Uzalendo kwanza photo

@BarakaMaree

Nanyoriicollection photo

@QueenittoB

Life Of Xpert photo

@EvaristLubangu1

Vimba MWANASIMBA popote ulipo, timu unayo

AnopholesF's tweet image. Vimba MWANASIMBA popote ulipo, timu unayo

Mashabiki wa SIMBA tunavyotembea mtaani. Utajua hujui


Happy valentine day to all SIMBA fans in the world.

AnopholesF's tweet image. Happy valentine day to all SIMBA fans in the world.

Hii ni hatua kubwa sana kwa klabu ya SIMBA. Pongezi kwa viongozi wa SIMBA.

AnopholesF's tweet image. Hii ni hatua kubwa sana kwa klabu ya SIMBA. Pongezi kwa viongozi wa SIMBA.

Kila la kheri majemedari wetu, tupo nyuma yenu tunawasapoti.

AnopholesF's tweet image. Kila la kheri majemedari wetu, tupo nyuma yenu tunawasapoti.

Kila la kheri chama langu, point 3 ni muhimu sana leo.

AnopholesF's tweet image. Kila la kheri chama langu, point 3 ni muhimu sana leo.

Hongera ka kuanza msimu na ushindi mnono.

AnopholesF's tweet image. Hongera ka kuanza msimu na ushindi mnono.

Hongera sana Simba Queens kwa ushindi wa kihistoria, mmeweka rekodi ambayo haitavunjwa leo wala Jana.

AnopholesF's tweet image. Hongera sana Simba Queens kwa ushindi wa kihistoria, mmeweka rekodi ambayo haitavunjwa leo wala Jana.

Anamlea mwanae ili baadae awe mpenzi wa sjmba. #NguvuMoja #simbafansclub

AnopholesF's tweet image. Anamlea mwanae ili baadae awe mpenzi wa sjmba. #NguvuMoja #simbafansclub

Kituo kinachofuata ni kagera.

AnopholesF's tweet image. Kituo kinachofuata ni kagera.

Simba Fans Club Reposted

🇹🇿 @Samagoal_77 on his first start: Two goals ➡️ securing the 𝐖 for his new side. Tanzanian superstar making Africa proud. 🌟

CAF_Online's tweet image. 🇹🇿 @Samagoal_77 on his first start: Two goals ➡️ securing the 𝐖 for his new side. 

Tanzanian superstar making Africa proud. 🌟

Mbwana Samatta! 👊

Fenerbahce's tweet image. Mbwana Samatta! 👊


Simba Fans Club Reposted

Mtendaji Mkuu mpya, Barbara Gonzalez ndani ya @BBCWorld akizungumzia nafasi ambayo ameipata ndani ya klabu. Karibu Msimbazi @bvrbvra #SimbaGoingGlobal #NguvuMoja


Simba Fans Club Reposted

Resilience!! Big up Kiongozi Wetu na heshima nyingi kwake Mhe Rais @MagufuliJP #Hakuyumbishwa Sasa tufungue rasmi the Great Nyerere Corridor 😎🇹🇿 #TanzaniaIsSafe #TanzaniaIsReady #SafeTravels #TanzaniaUnforgettable

Ndugu zangu sote tuweke nembo hizi kwenye shughuli zetu, biashara zetu, bidhaa zetu, kwenye vipeperushi vyetu, channels zetu, websites zetu, kila kona! Itasaidia kujenga imani ya Tanzania kwa Wageni na kila mmoja wetu atafaidika. Tumeshinda vita hii! Tuchangamkie fursa sasa

HKigwangalla's tweet image. Ndugu zangu sote tuweke nembo hizi kwenye shughuli zetu, biashara zetu, bidhaa zetu, kwenye vipeperushi vyetu, channels zetu, websites zetu, kila kona! Itasaidia kujenga imani ya Tanzania kwa Wageni na kila mmoja wetu atafaidika. Tumeshinda vita hii! Tuchangamkie fursa sasa


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.