@AndyHjr Profile picture

Andy Hawanga

@AndyHjr

IT Expert Entrepreneur - Supplier of Gypsum & Pozzolana

Joined December 2011
Similar User
Adiele Daniel photo

@redemeddaniel

2FL¥4Û™ photo

@EMPRYLINC

Pablo Andrés Camazón photo

@CamazonPablo

Shamirah Namugga photo

@ShamirahNamugga

Mtukuleli The Great✳️ photo

@Mtukuleli

Michael Greyson photo

@MichaelGreyso18

Olagoke Suulola™ 🇳🇬 photo

@SunnyolOFFICIAL

brian freeman photo

@brianfreeog

aloyce java photo

@javaaloyce

Miss G photo

@GracyGoodwill

Alphonce Washa photo

@Washa_Jr

prince kimati photo

@prince_kimati

Mosa photo

@Sibmod

Patrick Bida photo

@PattieWaCattie

Dhambi ni aibu kwa watu wowote.

Tunakumbuka siku ya Kuangamizwa kwa Mji wa Yerusalemu: HAKI HUINUA TAIFA; BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WOWOTE. Mfalme wa milele na Bwana wa mabwana, uliyetuita katika Injili, twakusihi, tujalie kufahamu mapenzi yako ya wokovu: ili tuyatambue mambo yanayohusu amani yetu



Unajionaje?

Unajionaje nafsini mwako? Ninaomba hii iwe tafakari yako kwa siku ya leo. Unajionaje?



Hakika ni Upendo Mkuu aliounesha Mungu wetu kumtoa Mwana wake wa pekee kufa msalabani kukombea wanadamu kutoka utumwa wa dhambi chini ya muovu shetani. Ubarikiwe Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia kwa zawadi hii ya Pasaka.

Kheri ya Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote. Katika siku hii ambayo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukumbu ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, tuendelee kujifunza katika upendo wake mkuu wa kujitoa kwa ajili ya wengine.  Upendo kwa muumba wetu, utusukume kuishi katika njia…

Tweet Image 1


Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un. 💔💔

Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar…

Tweet Image 1


Andy Hawanga Reposted

I am deeply saddened to learn of the passing of the President of Namibia, His Excellency @hagegeingob, a dear brother, a venerable Pan Africanist and a great friend of Tanzania. On behalf of the people of the United Republic of Tanzania, I send my condolences to the people of…

Tweet Image 1

Andy Hawanga Reposted

With utmost sadness, we received news that H.E @hagegeingob President of #Namibia, has passed away. We’ve lost a distinguished African statesman, true friend & an elder brother. Our thoughts & prayers are with his widow @KalondoMonica & family & the Namibian people. MHSRIP🇿🇲🇳🇦

Tweet Image 1

Happy birthday to you Mama Maria Nyerere. My prayers that Our Almighty God grant you good health and bless you.

Mama yetu wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo anatimiza umri wa miaka 93. Tuungane pamoja kuendelea kumuombea afya njema, furaha, amani, na wakati mwema katika kumbukumbu hii muhimu kwenye maisha yake.

Tweet Image 1


Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary

Tweet Image 1

Ni maombi yangu Mungu ambariki huyu jamaa na kila aliyehusika kuwapa hawa ndugu zetu mtaji huu. Naomba wasiachie hapo, badala yake wawasaidie kuwapa mbinu za biashara na kuwapatia namna ya kuwafikia wateja.

Share na Retweet wengi waone ni moja ya motivation na inspiration nzuri sana kwa watu wenye uhitaji Ubarikiwe ❤️



Tahadhari muhimu sana. Soma chukua hatua.

Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako Jiandae ki saikolojia 1.Hakikisha gari iko vizuri 2.Safiri mchana tu 3.Waza kufika salama na si saa ngapi 4.Epuka mafuta ya vichochoroni 5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na…



May his soul RIP. 💔 💔 💔 💔

Bongi Ntuli has sadly passed away after a battle with cancer at the age of 32. Condolences to family, friends and AmaZulu - a true warrior and servant of the game - gone too soon. RIP 🙏

Tweet Image 1


Wadau, tufanye kusogea @abbybellagroup kwa chap. Ukiichukua hii unapata usafiri na pia mchongo wa kibiashara.

Mil. 15 tu za kitanzania Gari kwa ajili ya Bolt inauzwa Njoo inbox 0687966656 Jinsi ya kulipia usiogope

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Kamata mchuma IST ukapige biashara ya taxi mtandao kwa marejesho ya kila mwezi ndani ya miezi 10.

Je? Unahitaji kuongeza kipato? Una ndugu mwenye tatizo la Ajira?? Usijali Pata gari na uitumie kama uber, bolt au taxify n.k ikuongezee kipato au impe dogo ajira! Kuna mchongo *MCHEZO NA IST* Kwa Tshs. mil. 1.3 kwa muda wa miezi 10 Utapata IST kutoka JAPAN. 0687966656 nchek

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Kwa fedha taslimu za Kitanzania Tshs. 31M unapata ndinga ya ndoto yako. Sogea na wasiliana na @abbybellagroup wakupatie huduma maridhawa.

Hii ofa nimeombwa nije na Bei Jamani ni Tshs. 31 mil. UBAONI



Kwa matumizi binafsi ama Biashara njoo ujipatie ndinga iliyo katika ubora wake.

Kwanini uteseke kwa daladala? Kwanini usimiliki gari uongeze kipato!? Kwa uifanya Bolt, uber, taxify n.k Kwann ununue gari iliyochoka hapa dar???? Kwa shilingi 12.9mil. Za kitanzania Tunakumilikisha *Toyota Corolla Spacio Model 2003* *TUNARUHUSU KUNALIPA KWA AWAMU*

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Weka $8,000 tu mzigo ukufikie kwa chap-haraka. Changamkia mambo mazuri kipindi hiki utashukuru badae.

*LAND ROVER DISCOVERY 3 S* Month/Year 09.2005 Color WHITE Mileage 109,000 km Steering Right Transmission AT Fuel GASOLINE Drive System 4WD Doors 5D Displacement 4000cc Model code ABA-LA40A *CIF TLL DAR ES SALAAM : 8,000$*

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Wadau karibuni; hapa utapata gari ya ndoto yako na kwa bei inayoeleweka yaani bei rafiki kabisa.

*2010 Toyota Vanguard 50,150 km, 240S S-PKG, BEAUTI FUL WINE RED WITH 7SEATS 4WD* Model CodeDBA-ACA33W Registration Year2010/09 Manufacture Year- Mileage50,150 km Engine Size2,360cc SteeringRight TransmissionCVT FuelGasoline/Petrol Number of Seats7 Price: *5,000$

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Ujumbe mujarabu sana huu 🔥 🔥. Hakika ni vema kuhakikisha kila kurasa ya kitabu chako inakuwa na jambo la kumfunza mtu.

Hakikisha kurasa za kitabu chako zinasomeka vizuri kabla ya kuondoka hapa duniani usiwape watu kazi ya kupamba kurasa zako zipambe sasa ukiwa mzima kwa kujitoa na kusaidia wengine, ishi na watu vizuri. Umaarufu wako au nafasi yako isikufanye ukadharau wengine, Its me…

Tweet Image 1


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.