@AmaniHakimu Profile picture

K🅰️🅱️ULULE.

@AmaniHakimu

Sports,Reading,Listening 🎧, Jobless

Similar User
Yours David photo

@_DavidMassamba

Anderson photo

@anderson_saimon

SungweCost photo

@sungweone

kibwerebwere__ photo

@KiBWeReBWeRe_

Wilson photo

@Wilson7J7

Steiger photo

@Wanchope_13

MLATINO 🏴 photo

@lexmlatino

Christiano Raphael photo

@MrChristiano_

man_chuse photo

@chuse1990

Pazi_MomO photo

@PaziMeddy

Shakur photo

@tinoagu12

#OCTAVIUS photo

@octaa01

Mkuujr5 photo

@mkuuJr5

Mchomvu Jr photo

@Mchomvu45_

Msoro🇹🇿 photo

@YoungHommie19

K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Tarehe 5/11 mwanangu @Thereal_taivina alishinda 10M. Akanipa GANJI 3M. Nikatenga 500K kwaajili ya kugawa humu ndani. Niligawa sana pesa ile siku humu. Usiku muda ukiwa umeenda sana mida ya saa 2 usiku kuna DM ya huyu dada nilifungua. Huyu dada hakuwa anaomba hela. Alikuwa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Nimetumiwa DM nyingi sana leo vaada ya kuanza kugawa GIVE AWAY YA USHINDI WA MILIONI 10 wa @Thereal_taivina Huyu ndio ameniumiza sana Roho yangu. Kuna picha za mtoto wake amenitumia kalala kitandani zimeniumiza sana. Alikuwa anataka yeye anipe mimi 20K nimbetie apate pesa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


😂😂😂😂😂

Kuna watu hapa hua wanasukuma makusudi ilimradi amani isiwepo.

Tweet Image 1


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Zingatia neno GOGONI

Tweet Image 1

Wataalamu wa maswala ya IT naombeni msaaada wa kuzipata hizi sura za wakamataji zikiwa clear. Nina kazi nazo.



K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Uchunguzi wetu wa awali unaonesha kwamba hawa vibaka waliojaribu kumteka mtu katika hoteli ya Rovvenpec Resort Dar ni askari waliopo kwenye kikosi cha Task Force kinachosimamiwa na Mafwele kwa baraka za Betina. Jamaa walifanikiwa kumfunga pingu mkono mmoja lakini akawashinda.

Tweet Image 1

K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Kuna wakati Mwanamke hakupendi na hana hisia na wewe ila tu hataki kukupoteza, huyo ni Mwanamke hatari zaidi.


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Nimefurahi sana ulivyorudisha hicko 30k cha CHAWA wa CCM. Nimekutumia 50K. 30k ya kurudishia CHAWA. 20K ya kukubali UWEZO l🫡 Yanga ikishinda leo nikumbushe nikutumie 100K Tusogeze bili ya matibabu. SAFI SANA. KWA HESHIMA.🫡

Tweet Image 1

Am so sorry sir 🙏🙏 huu wako haukuwa msaada.

Tweet Image 1


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Waungwana mlioingia kwenye ndoa, nina swali Baada ya harusi inachukua muda gani mkeo kuanza kukujibu atakavyo, na wewe mwanaume ni muda gani unaanza kumzibua makofi mkeo?


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Ni furaha ya aina yake kumuona @ProfessorJayTz akipita na mistari ya moja ya nyimbo zake akiwa pamoja na @feroozgram “Nikusaidiaje” 🙌🏾 Hakika unastahili kupewa MAUA YAKO 💐


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA! Nimekua na mazingira magumu sana ya kifedha tangu nimeanza uguza mzazi for 3+ years ago Nimeingia madeni, umasikini/ufukara & a lot you can't even tell + Sikuweza fanya kazi yoyote Wakuu naomba msaada wa chochote 0749688788 (Paschal Nkololo) 🙏


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Ishi humo Mungu akupe uvumilivu na Nguvu uweze kuyashinda yote

Tweet Image 1

K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Kikeke; Wewe umefika lakini mbona hatuoni watu? Mbowe; “Niwaulize nyie, watanzania mlivyo” so sad💔


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Tumepitia miaka michache migumu Simba, lakini ushindi wa leo umenifurahisha sana. Vijana ni wapya na wachanga lakini wamepigana kwa moyo wao wote. Very proud of them! Simba Nguvu Moja! 🦁💪🏽


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Pasta Kinyambe, huna ubongo na bandiko hujaandika wewe. Landa kuweka emoji tu. Kwanza, hii inathibitisha kuna demokrasia ndani ya CHADEMA. Aliyeshinda amekataa rufaa. Kamati Maalum iliyoundwa imempa haki yake. Pasta Kinyambe ulipokataa rufaa, ukakimbilia CCM kusikilizia rufaa


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Salaam. Anapelekewa Wheelchair leo. Asante

Huyo Binti ambae nimeweka taarifa zake hapo kwenye Post yangu niliyo pin ndio huyu. Anapitia changamoto ambayo mimi binafsi imenigusa. Naomba msaada wako. 0616663627 Twaha yusuph mselewa

Tweet Image 1
Tweet Image 2


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Imetoka jam moja hapo Tabata kuna gari limeharibika njiani sasa akashuka Mhaya mmoja kwenye Range Rover baada ya kuona kuna upenyo wa kupita mbele ya gari iliyoharibika kulikuwa na IST ya Mtu ana lafudhi ya Kinyakyusa kabisa, Mhaya akasema “Kaka sogea basi ili gari ipite” ikabidi…


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

MAMA JOHN daah huyu Mama, Mwenyezi Mungu amjalie heri sana alitupa chumba cha Elfu40 watu watatu Mimi na Ndugu zangu pale Tabata Dampo, tunalipa kwa kugawana kama elfu18 kila mmoja kwa mwezi, akawa anatupa msaada wa maji bure na Umeme alitusave sana. Huwa napita kumwona, leo…


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Unajiuliza amekosa Nini mpaka ahangaike kupigania watu Wengine,Kama ni nyumba nzuri anayo Mke mzuri Anae watoto magari na kadhalika,Unagundua kuwa nchi hii inahitaji watu watakao umia Kwa ajili ya Wengine,Watu watakao pigwa Kwa ajili ya Wengine, Retweet 2000 Kwa Heshima kwake

Tweet Image 1

K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Ugeni mzito unaingia Mahakamani hapa, ni Mhe @freemanmbowetz akiambatana na Mhe @jjmnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salumu Mwalimu.


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Mama Ebra Amenihadithia Story Leo Amenambia Nikiwa Mdogo Sana Kipindi Tunakaa Ngaramtoni Chuga, Tulikuwa Tunasafiri Kwenda Tanga Basi Tulipofika Moshi Stand Nikashuka Kwenda Kuchimba Dawa Nikisindikizwa Na Sister Angu, Tukiwa Msalani Tukapoteana Na Sister Nikatoka Msalani Na…


K🅰️🅱️ULULE. Reposted

Thanks Kaka kwa kunitag. Nina uelewa na hii course kwa 30% naweza kusema. Pale chuo @aru_university kuna course 2 tofauti - Urban & Town Planning, Environmental Engineering. Unaweza kuajiriwa kama Afisa Mipango Miji, Afisa Mazingira (Serikali) Kuna mashirika ya kimataifa…


This account does not follow anyone
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.