@AlfredPhil24377 Profile picture

fredyagronomist

@AlfredPhil24377

Joined October 2023
fredyagronomist Reposted

NYASA TUNAKWENDA NA NANI ..? Usikose kufuatilia MDAHALO kati ya magwiji wa siasa Nchini Tanzania, Mch. PETER MSIGWA na JOSEPH MBILINYI (SUGU). Mdahalo huu utarushwa mubashara kupitia Runinga ya STAR TV na mitandao yake ya kijamii katika kipindi cha MEDANI ZA SIASA, siku ya…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

fredyagronomist Reposted

Mfanyabiashara haongezi thamani kwenye bidhaa. Ana nunua chungwa shilingi 100 analiuza shilingi 150. Mjasiriamali ana nunua chungwa na kutengeneza juisi kisha anauza.

Hivi tofauti ya Mjasiriamali na Mfanyabiashara ni nini?



fredyagronomist Reposted

The Point here is: Kuna limitation ya traffic VSAT inaweza kusafirisha, imagine subsea cable inasafirisha zaidi ya 1.2Tbps, hakuna satellite inaweza kufanya hata nusu ya hiyo. Kingine kwenye Satellite, there's usually a fiber optic cable connection kati ya ground station...

Network Engineer. Your humble advice on this! @TOTTechs your team may advise

Tweet Image 1


fredyagronomist Reposted

Siku hizi nikipenda Bidhaa au Huduma, nanunua hisa za kampuni (haijalishi ni ndogo kiasi gani). Imagine toka iPhone zimeanza kutoka, badala ya kununua simu ungenunua hisa za Apple Inc. ungekuwa umenunua hiza za maybe $10,000… ambazo by now (depending on when you invested)…

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

Hadi kuna ngoma yake


fredyagronomist Reposted

I want to tell you Tanzanians, we don't have any uncle or aunt in Europe who will solve our problems. It's a must that Tanzania be built by Tanzanians themselves, this country is rich. -John Pombe Magufuli- (Former President of Tanzania)

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

SIMBA SPORTS CLUB, IMPOSSIBLE IS NOTHING! Nikiachana na suala la Farhan kama Mwandishi wa Habari acha nivae vazi la Mkulima wa Morogoro kama Shabiki wa hii Simba Sports like the good old days, jana baada ya droo ya robo fainali ni sahihi kusema ni wasaa mzuri zaidi wa kuvuka na…

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

Ivona Kamuntu ni mtu wa media kitambo. Zuhura Yunus ni mtu wa media kitambo. Nileteeni picha zao wakiwa na mavazi yanayoonyesha maungo yao ya mwili.


fredyagronomist Reposted

Hakuna shabiki wa mpira ataipita hii Post bila kuretweet na kulike for Chama. Best Midfielder ❤️

Tweet Image 1

"If the money can't solve u're problems eat that money "


fredyagronomist Reposted

Wewe jinga nilishakuambia bora uwe unakaa kimya maana hunaga point


Mbowe ni mwambaaaaaa😂😂😂


fredyagronomist Reposted

Kumbe swala la Bunge kutotekeleza mambo ni ugonjwa wa siku nyingi tu, kuna haja gani ya kuwa na Bunge lisilo na meno.


fredyagronomist Reposted

Girona this season

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

ZAWADI; Gift Package (Headset, Water bottle, power bank na Chest Bag) NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza. #Infinixtanzania #HOT40PRO #KubwaYaMoto #PredictAndWin


fredyagronomist Reposted

Fainali kati ya Nigeria na Ivory coast. > Follow @InfinixMobileTZ > Weka Utabiri wako kwa mfumo wa magoli mfano (Nigeria 08 - Ivory coast 08) > Watag marafiki zako watatu > Retweet hii WASHINDI; > Watu wawili wa kwanza wenye utabiri sahihi na wamefuata vigezo na masharti. 👇

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

#FreeCONGO 🤲🏿🤲🏿🤲🏿

Tweet Image 1

fredyagronomist Reposted

CLARA LUVANGA AMECHAGULIWA KUWANIA TENA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI Tushirikiane Kumpgia Kura Hapa 👇⬇️ Jina lake ni Hilo la. mwisho Hapo ( Latatu ) Kindly Retweet 🙏

— صـوّت للأفضل الآن 🗳️⬇️



fredyagronomist Reposted

Zijue Apps/Software/Websites 3 Ambazo Ni Kama Mihadarati, Hutakiwi kuzijua kabisa kwasababu ni hatari Kwa afya ya watu wengine. Gonga LIKE Kisha shuka na Uzi👇

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.