@Abdul69054424 Profile picture

Mnyambaa

@Abdul69054424

I was born to make different

Mnyambaa Reposted

"Ushiriki wa wananchi katika mikutano utatokana na jinsi viongozi wao walivyopatikana kwa maana ya demokrasia" @techaagwambo #DemokrasiaYetu | #OpenGovWeek


Mnyambaa Reposted

Uzi : UJUMBE WA LEO UTAKAO KUFUNZA KITU...😔 1. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Kuna watu wanapata sapoti kutoka kwenye familia zao, Na kuna watu wanatoa sapoti kwenye familia zao, Akishajijua yeye yupo kundi gani.!? Basi Anatakiwa aache maisha ya kuigaiga...🦍 Endelea nazo Chini...👇

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mnyambaa Reposted

P. S Ukiwa na Self Respect kwako mwenyewe hata watu wengine watakuheshimu. - Kama umependa ujumbe huu, fanya kuretweet, kulike na kunifollow. Peace ✌ and Love ❤


Mnyambaa Reposted

Kilele cha mlima mmoja ni kitako cha mlima mwingine, mrefu zaidi. Na tuendelee kupanda. Allah bless you 😍🙏🏽 #RoyalTourTanzania

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

Wana simba kazi imebaki kwa madiba. Weka handle yako,retweet na like upate follow back👇


Mnyambaa Reposted

KILIMO ▶Rais Samia leo amekabidhi pikipiki 7000 na vifaa vya kupimia udongo kwa ajili ya ma afisa Ugani. ▶Lengo ni kuongeza uzalishaji, kipato cha mkulima na kuondoa njaa nchini. ▶Bashe, Waziri wa Kilimo, ameomba Sh. 150B kwa ajili ya kutoa ruzuku kwa wakulima nchini.

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

If you want to become "mentally tough", read this:


Mnyambaa Reposted

Kura

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

"Ni bahati mbaya nchi yetu inaongozwa kwa kubahatisha, kila kiongozi anayeingia madarakani ni kama mpita njia ambaye anachuma mali na kuondoka.Hakuna mkakati wa pamoja na endelevu wa kulikwamua taifa kimaendeleo" Jenerali Ulimwengu.

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

"NI MTU ASIYEKUWA NA UTIMAMU WA AKILI PEKEE (KICHAA) AWEZAYE KUSEMA MCHAKATO WA KUIPATA KATIBA MPYA USUBIRI KWANZA" - JENERALI ULIMWENGU https://t.co/8sR1BWGNjP

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mnyambaa Reposted

My boys are sending a clear message to the World for #Peace


Mnyambaa Reposted

Behavioral Psychology You Should Know. - Thread -


Mnyambaa Reposted

Kama Mbowe kweli ni Gaidi, basi si kwa tafasiri ya gaidi nayoifahamu. Kama ukarimu, kujitoa, kusema ukweli na kupigani haki ni ugadi, basi gaidi namba moja ni Mungu, mana ndiye atufundishaye haki na kuikeleza. Samia Mwanangu, ipe CCM hadhi yake, hatukuwa hivi.

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Mtandao na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID) Bi. Samantha Power leo tarehe 03 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mnyambaa Reposted

"Nimemweleza Mheshimiwa Rais kwamba hatuna wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wale wanaodaiwa kuwa ni wabunge CHADEMA tumekwisha wafukuza kwenye Chama, tumekwishatoa taarifa bungeni." Mhe. @TunduALissu https://t.co/nmSnMT9lWb

Tweet Image 1

Mnyambaa Reposted

Footage of the moment President Samia, for the very first time, met and held brief talks with opposition leader Tundu Lissu in Brussels, Belgium.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.