@yahayakadume1 Profile picture

yahayakadume

@yahayakadume1

Allah Ndie Muweza wa Yote!

Joined May 2013
Similar User
AFRICa photo

@MkwawaHassan

Francis Lushinge photo

@lushingef

dullah mussa photo

@dullah_mussa

Unakuta mtu Chakula chenyewe kakipata Kwa Mateso,,Bado tena anakiwekea na pilipili.


Sisi wote tunapitia Mengi Usije kuweka Mengi Yako Kwa Mtu.


Kwenye Maombi Yako Omba Mungu akupe bahati.Kuna Muda bahati ni Bora kuliko Juhudi.


Ukivumilia Unaonekana huna pa kwenda......... Ukienda Unaonekana huna Uvumilivu.


Unasubiri Message ya Hela inaingia Message ya Mvua 😂😂


Karibu Africa ambapo wanaume huwa wanatumia umaskini kumpima Mwanamke kama ni wife Material 😂😂 ila hawatumii pesa kumpima kama ni manager mzuri wa budget...


Sio kama hatuna shida ila wanaotusaidia ni waungwana hawatutangazi.

Tweet Image 1

Kuna watu wanapost RIP Kila Week,Hadi unaogopa kuwa na urafiki nao.


Mnasema Mapenzi yanauma!!!!Hivi umewahi kulipwa deni lako mbele ya mtu anaekudai....


""Kuwa Makini changamoto za Kimaisha zisikufanye umpe Mwanadamu Nafasi ya Mungu....Muache Mungu aitwe Mungu.""

Tweet Image 1

Hasira zako zisikufanye umwambie mtu aende akashtaki popote... Kuna wengine wanaendaga kumshtakia MUNGU.

Tweet Image 1

Sasa nimeelewa kwanini tulikuwa tunafundishwa hesabu za kukopa.


""Hatuwezi kufanya Mambo sawa Kwa wakati Mmoja""Nyakati hazifanani,,Yuko anaetangulia Leo na Yuko atakae tangulia kesho.

Tweet Image 1

Siku zote,,USINGIZI SIO KIPAUMBELE KWENYE UTAFUTAJI


Tunaishi kwenye kizazi ambacho ubaya unapewa kipaumbele kuliko wema.🤛

Tweet Image 1

Wanasema Ushujaa wa Mwanaume sio gym,,,ni kurudisha tabasamu la Mke wake lililopotea.

Tweet Image 1

Muda Mwingine,kitu kikubwa Unachotakiwa kufanya ni kutabasamu tu,,acha Maisha yaende kama yalivyopangwa...

Tweet Image 1

Hatujawahi Kupotea kwasababu hatukujua tunaenda wapi.

Tweet Image 1

Watu dhaifu wanaishi sana......Kwa sababu wanaogopa kujaribu Kila kitu......NO RISKS.

Tweet Image 1

Kwenye Maisha siyo lazima Ushinde Kila Mapambano,,,ila ni lazima upigane Kila vita vilivyopo mbele Yako.....✍️

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.